East Afrika Hotel-Arusha


Umesahau jengo refu kuliko zote Arusha---Jakaya Kikwete Ngorongoro Tower
 
Kwa majina yaani kubwa nadhani zaidi ni New Arusha Hotel hizo nyingine zilizobaki sio mbaya mt. Meru ndio ilikuwa the best
 
We jamaaa wa ajabu sana uwezi ukalinganisha Arusha kwa kutumia Mwanza bana tafuta miji mingine
mwanza kuna nn ww? Jiji lmepanuka sana ila mitaa imechoka mno!
Ziwa tu ndo linaiweka kwenye dira!
 
Kiukweli usafi unaridhisha sana ,ni jiji ambalo linakuwa kwa kasi kila nyanja ni ngumu kukuta uchafu umejazana kwenye mitaro ,kiukweli usafi unaridhisha ila sio kwa viwango vyote.
Mwaka jana niliona Jiji la Arusha liliongoza kwa usafi upande wa majiji...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…