Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,372
- 55,041
Hiyo barabara itakuwa ya Kimataifa itakapokamilikaBaada ya kuwaondoa wezi maccm barabara zinazidi kuboreka kila uchwao!
[HASHTAG]#ukawa4Life[/HASHTAG]
Yaani nimetikisa kichwaHali ni ngumu sana
Mi naifahamu vizuri, hata mimi nilishangaa sana.Yaani nimetikisa kichwa
Sio wa ajabu na mimi nimeona ajabu watu kusema baada ya Dsm ni MwanzaWe jamaaa wa ajabu sana uwezi ukalinganisha Arusha kwa kutumia Mwanza bana tafuta miji mingine
Ile hotel jengo ni la PPF,aliyekodishiwa kwa mara ya kwanza alikuwa ni Mohammed msomali aliyekuwa na Paradise na City Garden na Taanso na Tansoma,aliposhindwa kuiendesha kwa namna moja au nyingine,kuna Consultant wake huyu Mohammed aliyekuwa anamiliki Bar ndani ya hyo hotel maan yule msomali hauzi pombe anaitwa Mihail Kirov mbulgaria ndiye ameikodishiwa sasa hivi,kwa hyo jina lazima aweke jina jipya mkuu!Wakati ninaondoka mwaka jana(November) niliacha hotel hii ikiwa inatambulika kwa jina hilo EAST AFRICA HOTEL ila baada ya kurudi juzi Arusha nimeshangaa tena Hotel hiyo imebadilishwa jina na sasa inaitwa GOLD CREAST.
Sasa sijajua huu uchumi uligonga hodi kwenye hiyo hotel na kuuzwa ila yote ya yote tuachane nayo,nimependa sana ukuaji wa mji wa arusha hasa miundombinu nimekuta imeongezwa ikiwa ni sambamba na ujenzi wa barabara ya kutokea Moshi kuingia Arusha ila ikiwa bado ipo kwenye ujenzi (ila inakuja kuwa barabara atakayokuwa na viwango vya kipekee katika miji mikubwa hapa nchini.
Pili,nimeona ujenzi wa hotel mpya ya Hyatt Regency,Kijenge ni moja ya majengo yatakayoiweka Arusha kuonekana jiji la kipekee sana,pia kukamilika kwa jengo la PPF PLAZA kumefanya jiji lizidi kunoga kwa majengo mazuri.
Kiukweli mji huu kama utaendelezwa hivi naona kama unakuja kuupiku Mwanza tena kwa kasi ya ajabu ,kwa mawazo yangu (Mwanza kwa sasa inaizidi Arusha idadi ya watu ila miundombinu na majengo Arusha iko juu)
EAST AFRICA-GOLD CREAST
Tumejipanga mwaka huu tutaisoma.
Dah kumbe madeni yamebisha hodi kwenye hizo hotelSnowcrest ya pale ngulelo na mt. Meru zote zinadaiwa inabidi zipigwe mnada i hope hao Hyatt Regency ndio itaiweka Arusha kwenye jina tena
Ooh kumbe,naona ipo moja kule mwanza nayo inaitwa Gold Creast itakuwa ndo main brach anaanza kusambaa mikoani sasa.(asante kwa taarifa)Ile hotel jengo ni la PPF,aliyekodishiwa kwa mara ya kwanza alikuwa ni Mohammed msomali aliyekuwa na Paradise na City Garden na Taanso na Tansoma,aliposhindwa kuiendesha kwa namna moja au nyingine,kuna Consultant wake huyu Mohammed aliyekuwa anamiliki Bar ndani ya hyo hotel maan yule msomali hauzi pombe anaitwa Mihail Kirov mbulgaria ndiye ameikodishiwa sasa hivi,kwa hyo jina lazima aweke jina jipya mkuu!
Nakushangaa sana na ulimbukeni wako kwenye fikra zako.Hivi watanzania tuna mapepo ya aina gani....MTU mzima anasifia majengo yaliyopo mjini wakati yeye anakaa maeneo ambayo hata barabara ya kupishana magari mawili hakuna....hayo majengo wanakaa wahindi ..waarabu na watalii wewe yanakusaidia nini ...labda kuyashangaa shangaa wakati unazurula mjini mchana na jua Kali hata mfukoni hauna hata mia
Vipi hali ya usafi ya Jiji umeionaje kwa ujumla...??Hiyo barabara itakuwa ya Kimataifa itakapokamilika
Kiukweli usafi unaridhisha sana ,ni jiji ambalo linakuwa kwa kasi kila nyanja ni ngumu kukuta uchafu umejazana kwenye mitaro ,kiukweli usafi unaridhisha ila sio kwa viwango vyote.Vipi hali ya usafi ya Jiji umeionaje kwa ujumla...??
Vipi hali ya usafi ya Jiji umeionaje kwa ujumla...??