East African middle class | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

East African middle class

Discussion in 'Kenyan News and Politics' started by Mekatilili, Feb 17, 2012.

 1. Mekatilili

  Mekatilili JF-Expert Member

  #1
  Feb 17, 2012
  Joined: Oct 16, 2011
  Messages: 1,113
  Likes Received: 198
  Trophy Points: 160
  HAYA, habari ndio hii kutoka kwa African Development Bank...

  Size of middle class in total population in EAST AFRICA /2010


  Kenya - 44.9%
  Uganda - 18.7%
  Tanzania - 12.1%
  Rwanda - 7.7%
  Burundi - 5.3%

  Proportion of people living under $1.25 per day in East Africa in 2010

  Tanzania - 82.4%
  Burundi - 81.32%
  Rwanda - 74.43%
  Uganda - 51.53%
  Kenya - 19.72%


  Graphs na links hizi hapa,
  http://www.afdb.org/fileadmin/upload...%20Pyramid.pdf

  6889797503_ef7b463b89_z.jpeg 6889797599_74dbcc6ecd_b.jpeg
   
 2. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #2
  Feb 17, 2012
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 7,940
  Likes Received: 1,498
  Trophy Points: 280

  Size of middle class in total population in EAST AFRICA /2010


  Kenya - 44.9%
  Uganda - 18.7%
  Tanzania - 12.1%
  Rwanda - 7.7%
  Burundi - 5.3%

  Proportion of people living under $1.25 per day in East Africa in 2010

  Tanzania - 82.4%
  Burundi - 81.32%
  Rwanda - 74.43%
  Uganda - 51.53%
  Kenya - 19.72%
  Hapo kwenye red si kweli aheri masikini wa Tanzania kuliko wa Kenya,na Kenya watu wa chini ambao ndio wengi ni maskini zaidi kuliko wa Tanzania,hata ukiangalia ajira zaidi ipo Nairobi na Naivasha kwenye mashamba ya mauwa zaidi ya hapo hakuna kitu,na hawana njia zaidi za kuwapatia kipato
   
 3. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #3
  Feb 17, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  Tz hakuna accurate
  data

  hizi data si zenyewe
   
 4. Mekatilili

  Mekatilili JF-Expert Member

  #4
  Feb 17, 2012
  Joined: Oct 16, 2011
  Messages: 1,113
  Likes Received: 198
  Trophy Points: 160
  @Mfianchi Wewe have you been to Kenya kweli ama unasema tu? Umewahisikia mji unaoitwa Nakuru? Nakuru is the fastest growing city in Africa and the 4th fastest growing in the world, unafahamu Mombasa ambayo ni center ya utalii afrika mashariki yote na mahoteli ya kimataifa, je wajua Kisumu? Hivi majuzi wamejengewa international airport mpya na ni among the fastest growing in East Africa, Do you know Eldoret? ama Kericho mji ambao ndio center ya kilimo na chai inatoka huko. Mji wa Thika ndio industrial capital na kuna viwanda vya hali ya juu! Usisahau sekta ya utalii mwaka jana grew by 32% and brought in 98billion Kenyan Shillings na kila parks ziko pande zote Kenya. Mbona ukweli hampendi?
   
 5. Mekatilili

  Mekatilili JF-Expert Member

  #5
  Feb 17, 2012
  Joined: Oct 16, 2011
  Messages: 1,113
  Likes Received: 198
  Trophy Points: 160
  Data straight from the AFDB kabiliana na ukweli! ama shock!
   
 6. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #6
  Feb 17, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  katazame data za cellphone industry utashangaa
   
 7. omujubi

  omujubi JF-Expert Member

  #7
  Feb 17, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 4,144
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Asante sana mkuu kwa kuleta hizi takwimu maana kuna mtu kaleta thread hapa mwanzoni wa juma juu ya maduka ya nguo ya Woolworth kufunga biashara zao hapa Tanzania. Habari hiyo nakumbuka ilitoka kwenye gazeti la The Eastafrican.

  Katika makala hiyo walijitahidi kueleza na kutoa takwimu kama hizi na hapa ndio nimepata ushahidi kuwa kwa hali hii ina maana kuwekeza Tanzania ni kutafuta kupata hasara tu. 82.4% ya watu wasiokuwa hata na uhakika wa kula mlo mmoja kwa hakika hawawezi kusupport biashara yoyote, wenyewe maisha yao ni katika kiwango cha 'substance living'.

  Kwa bahati mbaya kabisa hizi takwimu zinaonyesha umasikini huu wote kwenye nchi ambayo ndiyo yenye rasilimali nyingi kuliko zote. Na rasilimali ya msingi kupita zote ni WATU, pia ina AMANI! ...Tanzania ina idadi kubwa ya watu zaidi ya hizi nchi zote. Hapo sitaongelea rasilimali zingine maana hizo zimepigiwa kelele nyingi sana mpaka mtoto wangu mdogo wa miaka miwili anazijua!

  Naamini tunao Watanzania wenye uwezo wa kuongoza nchii hii na kuongeza hii 12.1% ya middle class na kufikia angalau 30%, tuache kungangania watu wanaoleta umasikini badala ya usitawi wa jamii yetu.
   
 8. livefire

  livefire JF-Expert Member

  #8
  Feb 17, 2012
  Joined: Oct 31, 2011
  Messages: 811
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  hardworking economies, i like the report coz it sure reflects what's happening on the ground. Boss, could you kindly post a link/report on the telephony segment as a follow up.
   
 9. omujubi

  omujubi JF-Expert Member

  #9
  Feb 17, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 4,144
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  mkuu hao kwenye underline/red and bold umeelewa unachomaanisha au mimi ndiye sijaelewa!???

  Anasema propotion ya watu wanaoishi chini ya $1.25 kwa siku (Proportion of people living under $1.25 per day), yaani wale watu ambao hawana hata uhakika wa mlo mmoja: Kenya ni asilimia 19.72% na Tanzania ni 82.4%.

  Je hapo umesoma na kuelewa hizo takwimu? Kumbuka pia Middle class (hawa ni watu wenye uhakika wa maisha kumbuka) ni karibu 50% kwa Kenya na 12.1% kwa Tanzania! Na hapo hujaongelea High class society ambayo kwa Kenya inaonekana ni kama 36% na TZ ni kama 5% ya watu wote.

  Angalia vizuri na uelewe wanachomaanisha mkuu, ila nakubaliana na mkuu The Boss anayesema kuwa TZ hakuna accurate data lakini justification ya madai yake sidhani kama is all that strong, had it been so, Woolworth wouldn't have come up with that idea of closing business in TZ. Ni maoni yangu
   
 10. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #10
  Feb 17, 2012
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Umaskini wetu ni mtaji kwao. Maskini hawezi kuhoji kulikoni. Ndio maana wamekazana kutujengea shule za kata wakati watoto wao wanapelekwa Ulaya au Feza.
   
 11. M

  Mfwatiliaji JF-Expert Member

  #11
  Feb 17, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 1,325
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  hapa inaelekea tutapata ukweli..
   
 12. b

  bagamoyo JF-Expert Member

  #12
  Feb 18, 2012
  Joined: Jan 14, 2010
  Messages: 4,525
  Likes Received: 2,108
  Trophy Points: 280
  Wakenya wamechanganyikiwa na kuwadanganya ADB(unajua tena ma-researchers wa Ki-Afrika kwa kulipua mambo), lakini hapa Jamiiforums watu hatudanganyiki.

  Nadhani Kenya mtu akiwa karani, manamba wa kuchuma majani ya chai au kwa kurahisisha mtu akiwa anapata mshahara kwa kuajiriwa anajiita 'middle class' wakati watu wa mataifa mengine kama Tanzania, Burundi, Uganda na Rwanda wanaufahamu mkubwa juu ya nani ni 'middle- class' ktk jamii zao.

  Mfano mzuri tuchukuwe nchini Uingereza ambapo pia watu hawaelewi dhana ya ' middle -class' ni nini:

  The proportion of people who say they are middle-class has risen by nearly half in 40 years, a report says.

  Forty-three percent of people surveyed said they were middle-class, compared with 30% of people in 1966.

  But most - 53% - said they were working-class. The report also suggests that many are confused about which class they belong to.

  The survey, carried out for the Liverpool Victoria Friendly Society, saw 1,000 people interviewed in March.

  Middle-class builders?!^*"?

  Conducted by the Future Foundation, the survey found that 36% of builders questioned regarded themselves as being middle-class, while 29% of bank managers said they were working-class.

  Read more source: BBC NEWS | UK | More claiming middle-class status

  My take:
   
 13. Mtafiti1

  Mtafiti1 JF-Expert Member

  #13
  Feb 18, 2012
  Joined: Mar 5, 2011
  Messages: 264
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Umeulizwa kama unaijua Kenya weye au unasikia redioni na TV tu!
  Hizo takwimu zinahusu sana na zinaelezea mengi katka uchumi.
  Tanzania tuna hali ngumu sana kimaisha.
  Jiulize kwanini hakuna franchise inadumu Tanzania. Kuanzia akina Chick-king, Steers, na sasa haya maduka ya Truworth, 4u2 etc. Yote yanategemea middle class.Ukiangalia Kenya, kila kukicha ni ma malls ya kufa mtu yanajengwa. Kuanzia yale ya zamani kama Sarit Centre, Ya ya Centre, Village Market hadi sasa kubwa lao Wesgate.Hapo hujazungumzia ma supermarket makubwa kama Uchumi, Nakumatt etc.Tanzania kuna vidukawalla vya wahindi na wapemba na wachagga,wasafwa etc, supermarket zinaanzishwa na kufa kila siku. Mnakumbuka Shoprite along Nyerere Rd? Ya Mayfair ishajifia siku nyingi. Kwa kifupi middle class ndio roho ya kukua na ku survive haya ma franchise na maduka makubwa.Maskini anapitapita kufaidi aircondition humo ndani na kushangashangaa tu.
   
 14. b

  bagamoyo JF-Expert Member

  #14
  Feb 18, 2012
  Joined: Jan 14, 2010
  Messages: 4,525
  Likes Received: 2,108
  Trophy Points: 280

  Pia wewe hujui maana ya dhana 'middle- class' ktk global village view , yaani watu wanao kwenda kununua posho ya sembe, nguo , mobile phone , urembo n.k ktk ma-shopping mall ndio middle class?

  Mtu Afrika akitengeneza $2 - $20 kwa siku tunamwita middle- class ''The ADBG notes that the middle class in Africa – those who make $2 to $20 per day - represents about 34% of the overall population, or about 313 million people. This compares with around 196 million middle class individuals a decade ago'' http://www.moneywatchafrica.com/2011/05/wall-street-journal-highlights-africas.html.

  Hiki ni kitu cha kujisikitikia na siyo kujisifia hata kidogo juu ya uwepo wa 'middle -class ' Afrika na ndiyo maana makampuni makubwa ya kimataifa yanatunyonya sana kwa kusifia kumlipa mtu kuanzia $2 mpaka $ 20 kwa siku Afrika.
   
 15. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #15
  Feb 18, 2012
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Empirical facts
   
 16. Mshiiri

  Mshiiri JF-Expert Member

  #16
  Feb 18, 2012
  Joined: Jun 16, 2008
  Messages: 1,893
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  Kaka safi sana hata mimi nakuunga mkono, tuletee zile zenyewe wakome wenyewe. Asante.
   
 17. b

  bagamoyo JF-Expert Member

  #17
  Feb 18, 2012
  Joined: Jan 14, 2010
  Messages: 4,525
  Likes Received: 2,108
  Trophy Points: 280
  WHO IS THE MIDDLE CLASS - American perspective

  Overview

  America is sometimes called a "middle-class country," but nobody - not economists, sociologists, or the U.S. Census Bureau - seems to have a clear definition of who the middle class actually is.

  The notion of where a dividing line between "middle class" and "working class" might be is an elusive one.

  In November 2003, Chris Baker of THE WASHINGTON TIMES reported in "What is middle class?" that the Census Bureau shows the middle 20% of the country earning between $40,000 and $95,000 annually. The Drum Major Institute for Public Policy, a non-partisan and non-profit organization, reports that the middle class has conventionally come to mean families with incomes between $25,000 and $100,000 each year.

  But if you ask the American people, you'll get yet another response. According to statistics from the National Opinion Research Center, as reported by Baker, large numbers of American define themselves as "working class" or "middle class," including:
  • 50% of those families who earn between $20,000 and $40,000 annually
  • 38% of those families who earn between $40,000 and $60,000 annually
  • 16.8% of those families who earn over $110,000 annually
  As NOW reported in "Middle Class Squeeze" (December 13, 2002), the shape of income distribution in America is changing and many are finding it increasingly difficult to afford housing while keeping up with necessities such as food, clothing, transportation, and health care.

  In Baker's article, Anirban Basu, chairman and CEO of Optimal Solutions Group, explains, "Based on those [income data] numbers, the statistical middle class can't afford the middle-class lifestyle. I think that's why there is so much confusion about what it is and why so many people have trouble identifying themselves as anything but middle class."

  With the 2004 campaign year underway, the Drum Major Institute has surveyed the major Democratic candidates to find out where they stand on protecting the middle class and restoring mobility to poor and working families who want to earn their way into the middle class.

  Read the candidates' records and proposals on such issues as minimum wage, bankruptcy abuse protection, federal regulation of credit card and lending industries, health insurance, unemployment insurance and more in "The Myth of the Middle? Campaign 2004 on America's Middle Class."

  Also, read President George W. Bush's plan to strengthen America's economy on the White House page for Jobs and Economic Growth.

  Sources: United States Census Bureau; Drum Major Institute for Public Policy; THE WASHINGTON TIMES.

  Sources: NOW. Politics & Economy. Who is the Middle Class? Overview | PBS
   
 18. Mekatilili

  Mekatilili JF-Expert Member

  #18
  Feb 18, 2012
  Joined: Oct 16, 2011
  Messages: 1,113
  Likes Received: 198
  Trophy Points: 160
  Pole lakini sidhani umeelewa the facts! You are not considered part of the middle class if you make $2-$20 but it is if you spend that amount per day. $2 will get you much more in Tanzania than it can in the US. That is why there is a weighted C.P.I (consumer price index) with the base being the cost of living in New York and you will see that life in a city like nairobi is almost 90% times cheaper that life in NY. The said middle class is also stratified from the lower end to the upper end and the formular is accepted by all major economists in the world. This data was also produced in conjunction with the governments of all the countries that are listed.
  Here we have a challenge to better ourselves because believe it or not, the data was much worse 5 years ago. We have a long way to go and should be aware of the reality and grow our countries.
   
 19. Mekatilili

  Mekatilili JF-Expert Member

  #19
  Feb 18, 2012
  Joined: Oct 16, 2011
  Messages: 1,113
  Likes Received: 198
  Trophy Points: 160
  2.1 The middle class can be defined in
  relative or absolute terms. In relative terms,
  the middle class is defined as individuals or
  households that fall between the 20th and
  80th percentile of the consumption
  distribution or between 0.75 and 1.25 times
  median per capita income, respectively
  2
  .
  Using the absolute approach, the middle
  class is usually defined as individuals with
  annual income exceeding $3,900 in
  purchasing power parity (PPP) terms
  3
  or with
  daily per capita expenditure between $2 to $4
  and those with daily per capita expenditures
  between $6 and $10
  4
  .
  2.2 The middle class is widely
  acknowledged to be Africa's future, the group
  that is crucial to the continent's economic and
  political development. But it is difficult to define
  exactly who falls into this key group and even
  harder still to establish how many middle class
  people there are in Africa. Recent estimates
  put the size of the middle class in the region in
  the neighborhood of 300 to 500 million
  people, representing the population that is
  between Africa's vast poor and the continent's
  few elite. Africa's emerging middle class
  comprises roughly the size of the middle class
  in India or China.

  We can choose to call them whatever we want but that does not take aware from the fact that 19.72% of Kenyans live on less than $1.25 per day and these people make up the most impoverished segment of our society without the access to most basic amenities the figure is worse in the rest of the other East African countries.

  On the other hand, the upward mobility has realized the upswing in the numbers living on over $1.25 a day. These are the FACTS we can argue semantics but can not deny the FACTS! There are many that will seek to discredit the reports but the sooner we accept the reality the better and we can learn from this and make our countries much better.
   
 20. b

  bagamoyo JF-Expert Member

  #20
  Feb 19, 2012
  Joined: Jan 14, 2010
  Messages: 4,525
  Likes Received: 2,108
  Trophy Points: 280
  The Americans nor the British can tell you for sure who are the middle class, the stats/data dont tell the whole story. We know for sure Kenyans too are confused but the biggest 'mabanda' estates (Lunga Lunga/ Mathare Valley) in Africa are in Nairobi, Kenya.
   
Loading...