East African Federation (EAF) public Views

=NMKENDA;74]Please anybody who believes from the heart that there are profits/benefits for us THE PEOPLE, please use this place to convince me, I badly need to take this in, as it is here, with us, I need to, I have to know it, (not the political side only)
THANK YOU FOR YOUR TUITION!!!

Salaam! ama kwa hakika baada ya salaam nami nikufahamishe ni buheri wa afya. Mpaka hapo utakuwa umepata ujumbe kuwa kizungu simo oops samahani lugha ya kiingereza kidogo chenga twawala yaani kuifahamu walau kuomba maji nimo lakini tukifika kwenye yale magoli yenyewe nilikuwamo uwanjani tu lakini mhh!

Ndugu yangu imebidi kuanza kwa masikhara lakini nia ni kufikisha ujumbe wangu kuwa hata nikiwa sina mambo hayo hilo shirikisho ni kama kumfariji mfiwa kwa utani kwa sisi wenye utamaduni wa kuuendeleza hata wakati wa machungu ingawa ndugu yetu jumuiya yuko hoi bin taabani na hatima yake kifo cha taratibu huku akiugulia kwa machungu na atakapofariki dunia atapewa jina jipya la marehemu lakini kwa kuwa yeye ni maarufu ataitwa hayati na kupewa heshima zote za watu mashuhuri.

Faida ya shirikisho haiwezi kuonekana leo wala kesho kwani ujenzi mzuri ni ule ambao umehusisha ubomoaji mkubwa kabla ya kukamilika na hiyo faida wataipata vitukuu wetu kwa mimi kijana wa miaka ya mwanzo wa thelathini hata mwanangu wa miaka miwili hatopata faida hiyo kwani shirikisho letu la afrika mashariki litachukua muda mrefu kutuletea faida.

kwa mimi wa Tanzania ni vigumu kupata au kuona faida kwani mie ni jaa la bidhaa mbovu, elimu mbovu na siasa mbovu kutoka kwa majirani zangu.
Hakuna faida kwa shirikisho kama mwendo wa kuanzishwa kwake ni kama kauli mbiu ya serikali ya awamu ya nne ya mabavu, munkari na mbio za kuangamiza vijana kwa ahadi ya KUTOA ajira maana si KUWAPA ajira watendaji wa hilo shirikisho miaka kumi tano hadi ishirni na tano ijayo ambao watakuwa wanaponya vidonda vyao vya sasa vya virungu vya mgambo na kusukumwa na makonda kwa kung'ang'ania kuwa kama viongozi wa sasa ambao wamekaa kurudisha takrima yao ya wakati wa uchaguzi.

Huko kwa mfalme wa mwisho wa uskochi ndio kwanza tumepindisha katiba ili tuendelee lengo likiwa kuwa rais wa kwanza wa shirikisho na kule kwa bwana Ki-stay wanasiasa wanatumia neno ufisadi kwenye serikali ambayo wao wenyewe waliiweka kwa ufisadi kutaka kupata URAHISI ili waendelee kuwaangamiza wananchi wao , sasa unategemea sisi tutapata faida kweli au wao watarudisha takrima zao.

Kabla hata ya hiyo jumuiya kuanzishwa 1967 tayari hakukuwa na faida bali ni hadithi au simulizi za babu kumkanya mjukuu kwa misemo,mafumbo na methali tu kwani Watanganyika + Wazanzibari = Watanzania hatukuwa na muungano wa mjadala kama huu.watanzania tuliungana kwa mawazo na kuuendelea kwa faida ya wote bila ya kujali wachache ambao walipinga.

Kabla ya uhuru tulikuwa katika tawala tofauti na hizo ndizo ambazo zimetupa nafasi ya kuwa mitazamo tofauti. Nikianza na sisi watanzania tulikuwa katika utawala ambao tuliweza kutumika kwa maendeleo yao halafu tukajikusanya kwa kuunganisha tamaduni zetu hasa lugha ili tuweze kuelewana kwa kukusanya lugha zetu za kibantu, kukopa maneno ya waharibu oops samahani waarabu na kutohoa maneno ya hao watawala wetu na kuwa na umoja na hapo ndipo tuliposahau tofauti zetu na kuwa wajamaa.

Ndugu zangu walioamua Mzungu Arudi Ulaya Mwafrika Apate Uhuru walisahau kuwa yeye alikwishatumia hesabu za kugawanya aweze kutawala kwa kuangalia wewe usiyeweza kutamka neno fulani ndio bwege na mwenzako akamfanya yuko juu kama jirani wengine walioangaliwa kwa urefu wa pua ,mwili na rangi ya ngozi ambapo unyama kama huo ndio ukawa mfumo wao ambao wanazuoni wanauita ubepari umiliki mkubwa ukawa uko kwenye nanihii.

Na wale ambao watatoa rais wa kwanza wakajiona wazungu weusi utafikiri wanajua maana ya mzungu.ngoja niwakatize kuna kahadithi kamekuja kichwani kuhusu uznungu

kuna bwana mmoja alikuwa mbishi kama Kunta Kinte kwenye simulizi za aleksi hakutaka kutawaliwa kwa hiyo akawa anapingana nao halafu anakimbia kwenda sehemu nyingine na kuanzisha yale yale ili mradi tu asitawaliwe.lakini nguvu zake zilikwisha baada ya kugundua kila anakokwenda anakutana na mtu mweupe na yeye kukubali ameZUNGUkwa.

jamani naomba udhuru kiduchu kabla sijaendelea na poroja zangu zisizokuwa na mpango kuhusu shirikisho nakwenda kwenye kilabu cha masnga kujiliwaza kwa moja moto moja baridi kwani tayari nimeZUNGUkwa. Halafu leo kuna kabumbu kati ya sisi na Senego.

Tulieni kwa zaidi kama mko kwa kinyozi kama nimekosea mie kuku nina kamba kubwa mguuni yaani mie mgeni tena jogoo ingawa kuku ni kuku tu jogoo jina.
 
First the United Republic of Tanzania must educate their citizens on EAC, what is EAC, what is the purpose of it and how they will be benefited from EAC, i do beleive more than 50% do not ungerstand what is it, and even its purpose and also how they will be benefited.

I do not think if it wise for Tanzania to join EAC without educate their people first,Goverment must understand that they are there to participate 30 million people majority of them do not know much about that.

I understand what is EAC and also i know the purpose of it and even how we tanzanian will benefit but what about the others?

Also i think its too early for EAC to allow Burundi and Rwanda to join,
they must finish their problem first,
sadik mwilima, Michigan USA
 
I really wonder when all people give as reasons for Rwanda and Burundi not entering the EAC/F is "their problems", who of Tanzania, Kenya, Uganda does not have problems? People talk about the genocide, when will you realize that Rwanda for example has made a tremendous improvement in political, social and economic reconstruction and stop being simply malicious, biased or misguided by whatever you read/hear from people whose intentions you don't know?

Bias won't help any of us at all. If the issue is the unfortunate events that happened in Rwanda more than a decade a go, does it mean the EAC are morally, politically, socially, economically...mention it well off than Germany because of the Genocide it had 2 generations a go? I am a Rwandese, I have live in all the three countries (Kenya, Tanzania & Uganda), I can say with surety which people in the region are posting the anti-Rwandese articles here. And you know, mnapoteza mda jameni, hate or not, wanyarwanda wataendelea kuwepo inside and outside the region!

I give you a piece from South Africa's Business day News Paper of March 26, 2007.

Dianna Games
Johannesburg

A BILLBOARD on a main road in Kigali, flagging the services of the Rwanda Revenue Authority, urges people to pay their taxes to enable them to reduce dependence on foreigners.

Notwithstanding the irony that the revenue authority was established with funding and expertise from the British government, the wording reflects the determination of Rwandans to be in charge of their fate.

Kigali is a hive of activity, and myriad hand-painted signs advertise the services of burgeoning entrepreneurs across the city. Top businessmen are difficult to pin down as they juggle meetings and international travel.

New buildings are under construction in the city centre and a shiny new shopping centre, Rwanda's first, seems to be doing good business.

But the determination of President Paul Kagame to erase the problems of the past and focus his country forward is taking time to pay off.

Foreign aid still accounts for as much as 60% of the budget, while a good chunk of the government's own revenue base is made up of taxes from a smattering of foreign companies.

Multinationals include cellphone operator MTN, whose yellow branding is typically everywhere, and the US's Terracom; brewer Heineken; British American Tobacco (though it is now concentrating its regional operations in Nairobi); France's Total; and Kenya's Serena Hotels.

It has been more than a decade since the 1994 genocide and, against that backdrop, Rwanda has come a long way. Rwandans relate to events in terms of "before" and "after" and assessments of their country's progress seem to date back just a decade or so.

Despite the challenges, Rwanda shows what good leadership can make to a country's fortunes. The upfront, "take no prisoners" style of the president is noteworthy. Reconciliation is at the top of the agenda and ethnicity is all but outlawed.

Most businesses interviewed on a research trip to Kigali last week highlighted the government's success in getting the country back on track after the very dark days of the early 1990s.

Developing the private sector and attracting investment are also key focus areas of Kagame's government and it takes this priority very seriously, they say, often driving, rather than leading, business.

Targets are set in almost every area of the economy and people are being driven hard to meet them.

Zero tolerance of corruption is another noteworthy aspect of the government's bag of tricks and even though most people regard it as an issue hardly worth mentioning, the government is taking it seriously.

Kagame's job is tough enough, given the complex political dynamics of his country, but there are also other formidable challenges he has to tackle.

First, Rwanda is a landlocked country that has to rely on two or three large countries (Uganda, Kenya and Tanzania) to move goods to and from ports; its biggest potential market is the eastern region of the Democratic Republic of Congo, a still-unstable area that occasionally fires missiles across the border at Rwanda; it has a small and mostly poor and unskilled population; strong neighbours to the east with which to compete; and no natural advantages outside tourism.

But Rwandans are determined to find a positive spin on the issues. The eastern Congo is a big opportunity, people say, because it produces nothing of its own.

In tourism, Rwandans say the dominant regional player, Kenya, provides an opportunity for Rwanda to draw tourists from this hub. And, they add, Kenya is becoming an overtraded and expensive destination and Rwanda's emphasis on ecotourism and conservation will pay off in time.

People are also upbeat about turning Rwanda's landlocked position into an advantage by emphasising its central location as a services centre for other countries in the region. And its tough anticorruption stance is a plus in a region where corruption has reached epidemic proportions.

Problems of scale in this small economy are starting to be circumvented by innovative collaboration schemes in trade, agriculture, energy provision and financing, leveraging the business expertise of big companies.

Rwandans point out that the country may not have oil or diamonds but it has what countries that do have those advantages do not -- political stability, good governance and leaders with the determination to succeed.

And I agree. I have interviewed people in many African countries that have much greater advantages than Rwanda. But nowhere else have I come across a country where the people list their government as the country's competitive advantage.
 
Afrian Universities 1 to 100 ranking

wengi katika mjadala huu wamekuwa wakisema eti elimu ya uganda na kenya iko juu zaidi sasa nimewaletea msimamo wa ubora wa vyuo vikuu barani africa ili wajionee kuwa university of dar inaongoza kwa afrika mashariki. mfmo ule ule tunaosema kuwa kusifia vitu vya nje tu sasa mkiona chuo chetu kimewekwa juu mnaanza usema information ni misleading, "nafikiri mwalimu alituletea uhuru wa bendela sasa tunahitaji mtu wa kuleta uhuru vichwani mwa watu maana watanzania tulio wengi bado vichwa vyetu vinahitaji ukombozi"
namba iliyotangulia inaonyesha msimamo barani africa na namba ya mbele inaonyesha msimamo ki dunia
CONTINENT RANK UNIVERSITY COUNTRY WORLD RANK

1 UNIVERSITY OF CAPE TOWN 356

--------------------------------------------------------------------------------
2 RHODES UNIVERSITY 563
--------------------------------------------------------------------------------
3 UNIVERSITY OF PRETORIA 604
--------------------------------------------------------------------------------
4 STELLENBOSCH UNIVERSITY 643
--------------------------------------------------------------------------------
5 UNIVERSITY OF THE WITWATERSRAND 702
--------------------------------------------------------------------------------
6 UNIVERSITY OF THE WESTERN CAPE 1,057
--------------------------------------------------------------------------------
7 UNIVERSITY OF SOUTH AFRICA 1,355
--------------------------------------------------------------------------------
8 UNIVERSITY OF KWAZULU NATAL 1,535
--------------------------------------------------------------------------------
9 AMERICAN UNIVERSITY IN CAIRO 1,659
--------------------------------------------------------------------------------
10 UNIVERSITE DE LA REUNION 2,023
--------------------------------------------------------------------------------
11 UNIVERSITY OF THE FREE STATE 2,357
--------------------------------------------------------------------------------
12 NELSON MANDELA METROPOLITAN UNIVERSITY 2,753
--------------------------------------------------------------------------------
13 UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM 3,403
--------------------------------------------------------------------------------
14 UNIVERSITY OF ZIMBABWE 3,549
--------------------------------------------------------------------------------
15 UNIVERSITE CHEIKH ANTA DIOP DE DAKAR 3,607
--------------------------------------------------------------------------------
16 UNIVERSITY OF NAMIBIA 3,632
--------------------------------------------------------------------------------
17 UNIVERSITY OF MAURITIUS 3,782
--------------------------------------------------------------------------------
18 CAIRO UNIVERSITY 3,902
--------------------------------------------------------------------------------
19 UNIVERSITY OF JOHANNESBURG 3,935
--------------------------------------------------------------------------------
20 ARAB ACADEMY FOR SCIENCE & TECHNOLOGY AND MARITIME TRANSPORT 4,045
--------------------------------------------------------------------------------
21 EGERTON UNIVERSITY 4,110
--------------------------------------------------------------------------------
22 UNIVERSITE CADI AYYAD 4,164
--------------------------------------------------------------------------------
23 UNIVERSIDADE EDUARDO MONDLANE 4,323
--------------------------------------------------------------------------------
24 UNIVERSITY OF NAIROBI 4,483 --------------------------------------------------------------------------------
25 TSHWANE UNIVERSITY OF TECHNOLOGY 4,498
--------------------------------------------------------------------------------
26 INSTITUT UNIVERSITAIRE DE FORMATION DES MAÎTRES DE LA REUNION 4,528
--------------------------------------------------------------------------------
27 AL AKHAWAYN UNIVERSITY IFRANE 4,678
--------------------------------------------------------------------------------
28 ADDIS ABABA UNIVERSITY 4,794
--------------------------------------------------------------------------------
29 UNIVERSITY OF BOTSWANA 4,866
--------------------------------------------------------------------------------
30 MANSOURA UNIVERSITY 4,895
--------------------------------------------------------------------------------
31 ECOLE MOHAMMADIA D'INGENIEURS 4,908
--------------------------------------------------------------------------------
32 POLYTECHNIC OF NAMIBIA 4,977
--------------------------------------------------------------------------------
33 AFRICAN VIRTUAL UNIVERSITY 5,049
--------------------------------------------------------------------------------
34 UNIVERSITE ABDELMALEK ESSADI 5,189
--------------------------------------------------------------------------------
35 GERMAN UNIVERSITY IN CAIRO 5,214
--------------------------------------------------------------------------------
36 UNIVERSITY OF ZULULAND 5,261
--------------------------------------------------------------------------------
37 AIN SHAMS UNIVERSITY 5,286
--------------------------------------------------------------------------------
38 NORTH WEST UNIVERSITY 5,374
--------------------------------------------------------------------------------
39 UNIVERSITE ABOU BEKR BELKAID TLEMCEN 5,490
--------------------------------------------------------------------------------
40 UNIVERSITY OF FORT HARE 5,587
--------------------------------------------------------------------------------
41 UNIVERSITE DE OUAGADOUGOU 5,688
--------------------------------------------------------------------------------
42 UNIVERSITY OF KHARTOUM 5,699
--------------------------------------------------------------------------------
43 UNIVERSITY OF GHANA 5,702
--------------------------------------------------------------------------------
44 OBAFEMI AWOLOWO UNIVERSITY 5,834
--------------------------------------------------------------------------------
45 MOGADISHU UNIVERSITY 5,890
--------------------------------------------------------------------------------
46 AL AZHAR AL-SHARIF ISLAMIC RESEARCH ACADEMY 5,893
--------------------------------------------------------------------------------
47 NATIONAL UNIVERSITY OF RWANDA 5,967 --------------------------------------------------------------------------------
48 UNIVERSITE DE BATNA 6,005
--------------------------------------------------------------------------------
49 ECOLE DU PATRIMOINE AFRICAIN 6,067
--------------------------------------------------------------------------------
50 STRATHMORE UNIVERSITY NAIROBI 6,236
--------------------------------------------------------------------------------
51 UNIVERSITE DE NOUAKCHOTT 6,302
--------------------------------------------------------------------------------
52 ASSIUT UNIVERSITY 6,331
--------------------------------------------------------------------------------
53 UNIVERSITE DJILLALI LIABES 6,350
--------------------------------------------------------------------------------
54 MAKERERE UNIVERSITY 6,429
--------------------------------------------------------------------------------
55 MANGOSUTHU TECHNIKON 6,434
--------------------------------------------------------------------------------
56 VAAL UNIVERSITY OF TECHNOLOGY 6,483
--------------------------------------------------------------------------------
57 ECOLE NATIONALE SUPERIEURE D'INFORMATIQUE ET D'ANALYSE DES SYSTEMES ENSIAS 6,548
--------------------------------------------------------------------------------
58 UNIVERSITY OF MALAWI 6,549
--------------------------------------------------------------------------------
59 UNIVERSITY OF BURAO 6,623
--------------------------------------------------------------------------------
60 UNIVERSITY OF ALGER 6,654
--------------------------------------------------------------------------------
61 UNIVERSITE SENGHOR D'ALEXANDRIE 6,666
--------------------------------------------------------------------------------
62 KIGALI INSTITUTE OF SCIENCE & TECHNOLOGY 6,696
--------------------------------------------------------------------------------
63 KWAME NKRUMAH UNIVERSITY OF SCIENCE & TECHNOLOGY 6,703
--------------------------------------------------------------------------------
64 MOI UNIVERSITY 6,807
--------------------------------------------------------------------------------
65 UNIVERSITY OF IBADAN 6,809
--------------------------------------------------------------------------------
66 MONASH UNIVERSITY SOUTH AFRICA 6,868
--------------------------------------------------------------------------------
67 UNIVERSITE MOHAMMED PREMIER OUJDA 6,879
--------------------------------------------------------------------------------
68 SUDAN UNIVERSITY OF SCIENCE & TECHNOLOGY 6,886
--------------------------------------------------------------------------------
69 UNIVERSITE M'HAMED BOUGARA DE BOUMERDES 7,027
--------------------------------------------------------------------------------
70 CAPE PENINSULA UNIVERSITY OF TECHNOLOGY 7,029
--------------------------------------------------------------------------------
71 KASRALAINY SCHOOL OF MEDICINE CAIRO UNIVERSITY 7,071
--------------------------------------------------------------------------------
72 UNIVERSITE DES SCIENCES ET DE LA TECHNOLOGIE HOUARI BOUMEDIENE 7,127
--------------------------------------------------------------------------------
73 UNIVERSITE VIRTUELLE DE TUNIS 7,139
--------------------------------------------------------------------------------
74 UNIVERSITE DE BLIDA 7,216
--------------------------------------------------------------------------------
75 SOKOINE UNIVERSITY OF AGRICULTURE 7,255
--------------------------------------------------------------------------------
76 UNIVERSITE MOHAMMED V SOUISSI 7,259
--------------------------------------------------------------------------------
77 ZAGAZIG UNIVERSITY 7,299
--------------------------------------------------------------------------------
78 UNITED STATES INTERNATIONAL UNIVERSITY 7,301
--------------------------------------------------------------------------------
79 UNIVERSITY OF BENIN 7,318
--------------------------------------------------------------------------------
80 INSTITUT DE FORMATION EN TECHNOLOGIE ALIMENTAIRE 7,321
--------------------------------------------------------------------------------
81 MINUFIYA UNIVERSITY 7,326
--------------------------------------------------------------------------------
82 KENYATTA UNIVERSITY 7,354
--------------------------------------------------------------------------------
83 UNIVERSITY OF SWAZILAND 7,369
--------------------------------------------------------------------------------
84 UNIVERSITE DE YAOUNDE 1 7,373
--------------------------------------------------------------------------------
85 JOMO KENYATTA UNIVERSITY OF AGRICULTURE AND TECHNOLOGY 7,380
--------------------------------------------------------------------------------
86 ECOLE NATIONALE POLYTECHNIQUE D'ALGER 7,394
--------------------------------------------------------------------------------
87 MUHIMBILI UNIVERSITY COLLEGE OF HEALTH SCIENCES 7,424 --------------------------------------------------------------------------------
88 GARYOUNIS UNIVERSITY 7,427
--------------------------------------------------------------------------------
89 SOUTH VALLEY UNIVERSITY 7,464
--------------------------------------------------------------------------------
90 UNIVERSITE CHOUAIB DOUKKALI EL JADIDA 7,475
--------------------------------------------------------------------------------
91 UNIVERSITE D'ANTANANARIVO 7,495
--------------------------------------------------------------------------------
92 UNIVERSITY OF VENDA 7,517
--------------------------------------------------------------------------------
93 INSTITUT NATIONAL DE FORMATION EN INFORMATIQUE 7,543
--------------------------------------------------------------------------------
94 CENTRAL UNIVERSITY OF TECHNOLOGY 7,550
--------------------------------------------------------------------------------
95 FACULTE DE MEDECINE DE TUNIS 7,553
--------------------------------------------------------------------------------
96 UNIVERSITY OF LAGOS 7,601
--------------------------------------------------------------------------------
97 INTERNATIONAL SCHOOL OF LANGUAGES UNIVERSITE LIBRE DE TUNIS 7,611
--------------------------------------------------------------------------------
98 UGANDA CHRISTIAN UNIVERSITY 7,633
--------------------------------------------------------------------------------
99 ECOLE SUPERIEURE PRIVEE D'INGENIERIE ET DE TECHNOLOGIES 7,641
--------------------------------------------------------------------------------
100 ASHESI UNIVERSITY COLLEGE (ASHESI.ORG) 7,670
--------------------------------------------------------------------------------
 
EAC common market study extends to Rwanda, Burundi 2007-03-26 09:11:53 By Juma MwapachuA comprehensive study on establishment of the East African Community Common Market will soon be extended to Burundi and Rwanda, the EAC Secretary General, Ambassador Juma Mwapachu has disclosed. Initially, the study on the mode of the EAC`s envisaged common market that commenced in 2006 was only to be conducted in Kenya,

Tanzania and Uganda. The assignment was commissioned to the Nairobi-based MA consulting firm. `Consultants on the recently commissioned study on the establishment of the EAC Common Market will soon proceed to extend their undertaking to Bujumbura and Kigali`, Ambassador Mwapachu said at the end of his official tour in Bujumbura over the weekend. The study on the mode of the EAC envisaged common market will specify the scope of coverage of common market protocol and identify key areas for negotiations among partner states.

Other objectives are to indicate necessary institutions to be set up to support the initiative and propose a model EAC common market protocol that will form the basis for negotiations. `Consultancy should also identify the status of implementation of various aspects of the protocol. It should draw up a programme of action with timelines and required resources that would guide negotiations,` Dr. Mwapachu said.

The study, initially to be conducted through the three EAC partner states of Tanzania, Kenya and Uganda, began last week by consulting institutions and organs within the EAC secretariat. The consultancy, Dr. Mwapachu said, should also draw heavily from the experiences of other regional economic groupings that have at least attained the level of a common market including, but not limited to, the European Union. The MA consulting firm was supposed to submit an inception report on January 18, 2007, interim report on February 28, 2007 and final report on April 30, 2007, the terms of reference read in part. The EAC has announced that it will fast track the launch of a common market protocol to boost investment between partner states through a liberalized trade regime.

The community is optimistic that the protocol will oversee the harmonization of tariff regimes and trade laws, thus promote sustainable cross border commerce. The five countries now boast a combined gross domestic product of 50.2 billion US dollars for a combined population of almost 120 million people. The EAC Common Market roadmap unveiled by EAC heads of state during their 7th summit in April 2006, indicates that December 2008 should be the signing date of the common market protocol. June 2009, according to the roadmap, is a time for ratification of the protocol and January 2010 is seen as a suitable time for commencement of the common market. The chairman for EAC council of ministers, John Arap Koech said since the commencement of EAC negotiations in 1996, member states had recorded unprecedented growth in trade volumes.

He announced that Kenya`s trade volume with its neighbours Uganda and Tanzania had grown at an average rate of 55 per cent annually since EAC inception. Koech said Uganda was the leading destination for Kenya`s exports in Africa, constituting 36 per cent of the total African market, while Tanzania was second at 18 per cent. · SOURCE: GUARDIAN
 
Listening to Uganda’s President Yoweri Museveni enthuse about an East Africa political federation is exciting. But beyond rhetoric, is it necessary? Speakers at a National Consultative Committee public forum in Nairobi recently argued that Kenya is not ready for the federation.

Kenya has an identity crisis. Rwanda has the 1994 genocide ghosts to exorcise. Tanzania has demonstrated deep xenophobia. And Uganda has guerillas to fight.

Rwanda, Uganda and Tanzania are effectively one-party democracies for lack of a better description.

What East Africa needs is an economic federation that does away with trade barriers like the European Union has done.
Joseph Magiri,
Nairobi

MAMBO YAMEIVA
 
There is no system available that can be used to obtain a reliable ranking for African Universities.

The webometrics ranking that people are using here is based purely on how much research is posted in the Universities website. I got this info from there website: http://www.webometrics.info/

The aim of the ranking is still to encourage web publication as proposed by the Open Access initiatives and to show the existence of unexpected digital divides in the academic world. We intend to motivate both, institutions and scholars, to have a web presence that reflect accurately their academic excellence.

Webometric indicators are provided to show the commitment of the institutions to Web publication. If the web performance of an institution is below the expected position according to their academic excellence, university authorities should reconsider their web policy, promoting substantial increases in the volume and quality of their electronic publications.

The ranking started in 2004 and is based on a combined indicator that takes into account both the volume of the Web contents and the visibility and impact of this web publications according to the number of external inlinks (sitations) they received. The ranking is updated every January and July, providing Web indicators for universities and research centres worldwide. Our approach takes into account the wide range of scientific activities represented in the academic websites, frequently overlooked by the bibliometric indicators.
 
If u check from certain angle
obvious u ca detect and realize that the federation has been formed, what i mean is whether u want or not its coming its not true people acknowledge it, but the dictatorship regime of african governments.

just think we strongly condemn mugabe and talk much bad things about him ,
but if we go deep down for sure we reveal a man is better than our leaders ,we just perscute him more than what he deserves, only b/se he is showing the world how he is and how he eagerly want things to be i not back Mugabe but i only use him to reflect the move of federation come on if u want get it fully ,just close eyes and think about it with calmed mind,
assume how tzns we do say federation no but leaders say 'shirikisho litakuja litawakuta wtz wamesinzia'what doesn't mean???? is not geting in mind!!!!!

is leaders are presenting tzns???? or is leaders come from foreigner countries????? or is leaders are distictionals in society??? l
if not what specials distiquish them from Mugabe???Tumeliwa
watawaijia wamevaa ngozi za kondoo walakini ni umbwa mwitu wakali
utawala wa mabavu utaisha lini ?????Mungu tuhurumie
I don't want condemn but God i predict the source of our comma situation is geared by leaders ,awful situation now is coming ohh my God see mercy
 
Mh jamani,

Huu ni mwisho wa amani Africa Mashariki kwa kweli . Maanake wanataka kuunganisha nchi tatu ambazo zina dhiki, high crime rates and everything bad that you can think of in a society. Tena kwa Tanzani ni loss kubwa sana, na jinsi wananchi wa Tanzania walivyo wakarimu na kuona wageni ndio wa maana kuliko wenyewe, mh sijui naona mwisho ndio umefika sasa. Mimi sijui ni kwa nini tu hawa viongozi wetu wa Tanzania hawafikirii.

Sijui wamesomea wapi hawana uzalendo wao wanaona sijui nchi nyingine ndio nzuri yaani ni malimbukeni tu, hawajali kwani watoto wao ni maraia wa nchi za nje if anything happen they will be safe ulaya na america.

Hebu mimi nijitafutie uraia wa ulaya mimi niachane na Tanzania. This is really bullshit. Hizi nchi tunazotaka kujiunga nazo hawana amani hata kidogo. They are very unsafe places to be. Ni propaganda zao tu ndizo zinazowapa kichwa.
 
Binafsi nashangazwa sana na mbio za serikali kujiunga na jumuia hii ya Afrika Mashariki mbaya zaidi ni kuwakubalia Rwanda na Burundi nchi zilizojaa kivuli na harufu ya machafuko yaliyotokea miaka michache iliyopita, ninashangaa kweli na siamini kuwa kiongozi makini anaweza kuwa na maamuzi puuzi kiasi hiki bila kuwashirikisha wananchi kwa kutoa maoni wala kueleza au kushauri njia sahihi na wakati wa kujiunga na jumuia hiii kichwa kichwa wanatuingiza kwenye tanuru la moto nionavyo Tanzania ndio inapotezwa kabisaaaa kwenye ramani ya ulimwengu.

Na hatutaweza toka tena kwenye hili tanuru ambalo JK na wenzie wanatuingiza kwa nguvu.
Natamani nieleze baadhi ya sababu zinazonifanya niseme haya kwanza nionavyo kuna mkono wa taifa kubwa au mataifa yaliyoendelea kwa sababu zao wenyewe na manufaa yao wanaamua kulazimisha nchi zetu ziungane kwa manufaa yao yenyewe, pili naamini kuwa kuna uozo wa uongozi namaanisha tuna viongozi tupu wasiojua wapi walipo, walipotoka na wapi wanaenda kwani kuanzaisha jumuia sio lelemama ni kitu kikubwa na kinaitaji mswada wa muda mrefu wa kitaifa kuurahisisha na kutafuata utaratibu inadhihirisha utupu na uozo wa viongozi wetu hasa wa Tanzania.

Historia ni sababu nyingine muhimu ambayo kwa kiasi kikubwa haijazingatiwa hata kidogo na ndio maana nasema Viongozi wetu wameshindwa kuangalia wapi walipotoka na wamesahau historia ya jumuia hii kuwa viongozi wenye hekima na sababu waliianzisha lakini ikawashinda sembuse sisi tusio na sababu tunaoshinikizwa na mataifa makubwa??? Sababu za kutokuanzisha jumuia hii zipo nyingi sana lakini muhimu zaidi ni kutokuwa na sababu au madhumuni ya kuianzisha mfano nimekuwa nikimsikiliza Naibu Waziri wa Afrika Mashariki Mh Daktari Kamala kila siku anasema;

Tanzania iko juu sna kuliko nchi zote za jumuia hii anasema tumewazidi kwa kila kitu na kubwa zaidi anasema upande wa rushwa kwa wenzetu imezidi sana kuliko kwetu sasa najiuliza kama Tanzania iko juu kwa kila kitu jambo ambalo kwa kiasi lina ukweli na hatarushwa kwa wenzetu imezidi kuliko haa TUNAN'GAN'GANIA KUUNGANA NAO WA NINI???KWA NINI TUNANUNUA MARADHI?Nilipata nafasi ya kumuuliza Daktari Kamala swali hilo lakini hakujibu chochote ila aliniuliza sasa tufanyeje ?nilimuangalia kwa dharau na nikapata picha ya Viongozi TUPU.

Binafsi naamini umoja ni nguvu na kwa manufaa dunia inaungana lakini taratibu na mpangilio sahihi ndio kitu cha msingi na kabla ya muungano wowote lazima sababu na njia zizingatiwe.
Ushauri-tuwape wadau wkubwa ambao ni wananchi muda wa kutosha kuchambua na kutoa mawazo yao juu ya jumuia hii,Tuwape muda Rwanda na Burundi wa kujiandaa kujiunga na jumuia baadae sana labda baada ya miaka kumi.Tuangalie utaifa sana kwanza na tujiulize ni wapi nafasi ya mtanzania ndani ya jumuia lengwa?????
Mungu ibariki Tanzania.
 
Mr Lyato
sasa kiongozi anasema tufanye je sasa?? huyo kweli ni kiongozi au msanii
Hivi wtz ni nani aliyeturoga??
Nafikiri wtz tungekua na mitazamo chanya kwa ville shirikisho wanapanga kuanziasha 2013 uchaguzi wa 2010 tuutupe huu uongonzi
Huu uongozi unatupeleka kusiko.

Historia ya sisi waafrika na khari halisi hakika hairuhusu kwa karne hii kufanya eti shirikisho. Na kama viongozi wanashinikizwa na watu fulani ili kufanya shirikisho basi viongozi lazima watambue Mataifa hayo hayapendi mataifa yetu ya afrika pamoja na Asia kuona tukiwa na amani,kwa namna nyingine inawaumiza vichwa sana kuona mataifa fulani yana amani maana yanakua vikwazo kwao ktk utekelezaji wa maswala yao(yani ukabaila wa mali ghafi) hivyo wanatumia kila njia na mipango madhubuti kwa makusudi kuvuruga amani ya nchi husika

angalieni Iraq walienda kutafuta siraha na sasa vita baada ya kua wairaq na wamarekani imekua ya wasuni na washia wenyewe kwa wenyewe

Na sisi wametutegeshewa bomu ,kama kuna mkono wao maana baada ya kuungana watageuka na kushawishi moja ya state na waafrika tulivyo
sijui tuamukeni wtz na hii ni somo na siku nyingine tusikubali kuweka wabunge wa chama kimoja na haya ndio matokeo ya kua na wabunge wa kutoka chama kimoja ama kweli hii ndio kasi mpya hii kasi inabidi itiwe stop button maana inaonekana button yake iko normally closed
 
Habari za leo wapendwa wana jamboforum. Nanatumai kuwa mungu yupo pamoja nasi katika kusukuma gurudumu la maendeleo mbele.

Nimechelewa kutoa maoni yangu japo natumai bado hii topic inaendelea.

SHIRIKISHO:

Ukichukulia shirikisho kama shirikisho si kitu kibaya kwani ni njia mojawapo ya kushirikiana na jirani zako kwa ukaribu zaidi. Na kama limeandaliwa vizuri kila mwanachama atafaidika kwa sawa.

Ndiyo maana tumeona mfano EU imekuwa ikiweka vigezo furani ambavyo inatakiwa nchi inayotaka kujiunga lazima iwe navyo ndiyo iweze kuruhusiwa mkazo ukitiliwa kwenye UCHUMI. Kama ukishindwa kuvifikia then uruhusiwi.

EA SHIRIKISHO:

Nikija kwenye hili shirikisho letu bado mimi naona kuna vitu fulani ambavyo haviko wazi. Mfano mpaka sasa haijawahi kuwekwa wazi kwanini shirikisho la mwanzo lilikufa (sijawahi kuona hiyo taarifa na kama ipo basi haikutangazwa ipasavyo). Je sababu zilizo pelekea hilo la mwanzo kufa zimerekebishwa? Je huo mchanganuo ulifanyika lini? Na je wananchi waliusishwa?

Pia hakuna grounds zilizowekwa kuwa kila nchi inatakiwa irekebishe mambo furani furani ili twende sambamba. Mfano sisemi hapa kwetu hakuna ila kuna vitu vimezidi mipaka. Ukabira kwao umezidi na ndiyo maana kila siku magomvi. Hapa kwetu magomvi yapo lakini ni sababu serikali haitaki kuweka misingi mizuri ya maeneo kujulikana hili ni la kilimo au la kufugia. Huwezi kujichanganya na watu wa namna hiyo wasio na simile. Watanzania japo tuna kauoga furani lakini ni watu wenye busara sana si wapayukaji ovyo.

MAONI:

Kama ingekuwa wanauliza kama shirikisho lianze ama la ningesema kwanza warekesbishe kasoro zao nasi turekebishe zetu ili wote twende kwenye boti iliyo sawa. Siyo watu kwasababu huko kwao ardhi hakuna then watumie mwanya huo kuja kujipandikiza.

LIANZISHWE LINI:

Watu wengi wamekuwa wakipinga kabisa hilo shirikisho. Ila mimi naona kwa sababu makosa yameisha fanywa kwa kujiingiza kichwa kichwa bila kutafakali vizuri. Then inabidi tujipe muda wa kutosha ili watu waeleweshwe kama kuna faida zozote za jumuiya na hasara zake. Maana hapa Bongo viongozi wetu huwa wanajifanya kuwa kila kitu ni lazima ufanye kwanza ndiyo ujue kama kina faida ama la wakati muda unakuwa umeisha enda. Serikali inasomesha wataalamu lakini haiwatumii ndiyo muda huu watu wanasoma POLITICAL SCIENCE wafanye uchambuzi wakiunganisha nguvu na wanauchumi na wengine kila mtu na sehemu yake kuweza kujua kama kuna faida. Sasa hivi sisi ni soka la kenya kwa vitu vingi sijui huko, hata waganda kuna vitu vyao japo si vingi sana. Inatakiwa tuwekeane masharti kuwa unauza kwangu nami lazima niuze kwako.

Utalii wakenya walituzidi akili japo mpaka sasa nasikia bado kuna vitu wanadai viko kwao kama mbuga na kadharika. Hivyo inachotakiwa ni kwa nchi zote kuwa na common grounds mfano KISIASA kama ni UBEPARI au UJAMAA ijulikane, KIUCHUMI kama mnakuwa na sarafu moja na uchumi mmoja au kila nchi na uchumi wake. Iwe wazi.

SHIRIKISHO KWA SASA TANZANIA TUNAITAJI MUDA WA KUTOSHA KUJIWEKA SAWA MAANA HAWA WANAOTUTAFUNA HATUJAWAWEKA SAWA THEN TURUHUSU NA WENGINE. THEY HAVE TO WAIT.
 
wanaforum
kunatofauti kubwa kati ya shirikisho na jumuia
ulaya wana jumuia hawana shirikisho nadhani shirikisho lilo hai nilile la marekani
mengine mengi yamekufa na kuishia kwenye vurugu kama sikosei kule USSR -cossovo kwa mirosovichi kule serbia na chechenia
Ulaya hawana shirikisho ila wanajumuia
 
Julian, you are quite right!
hivi tatizo letu watanzania ni kutofahamu vitu, au ni tatizo la lugha. Mimi nafikiri tatizo kubwa la sisi Watanzania ni kutojua Lugha (kiingereza), ambayo imesababisha kutokujiamini. Wenzetu wanacapitalize kwenye hilo!

Hata hivyo, kama huwezi kujieleza, ni vigumu mtu kujua kuna nini kichwani mwako kwenye interview. lakini nina imani kama interview zitafanyika kwa Kiswahili, basi nafikri Watanzania watakuwa hawana haja ya kuogopa kabisa soko la ajira la Afrika Mashariki. Kwa sababu nina hakika wanaweza kufanya mambo. Ndiyo maana wamejaa Botswana, na Zimbabwe, na Mozambique nk..

Hivyo natoa hoja kwamba katika soko la ajira AM, na kwa vile lugha za taifa ni Kiswahili, basi interview zitumie Kiswahili ....

Hii ni juhudi mojawapo ya ku-even out benefits za muunganokwa wote ..

Naomba kutoa hoja ..
 
Binafsi nashangazwa sana na mbio za serikali kujiunga na jumuia hii ya Afrika Mashariki mbaya zaidi ni kuwakubalia Rwanda na Burundi nchi zilizojaa kivuli na harufu ya machafuko yaliyotokea miaka michache iliyopita,ninashangaa kweli na siamini kuwa kiongozi makini anaweza kuwa na maamuzi puuzi kiasi hiki bila kuwashirikisha wananchi kwa kutoa maoni wala kueleza au kushauri njia sahihi na wakati wa kujiunga na jumuia hiii kichwa kichwa wanatuingiza kwenye tanuru la moto nionavyo Tanzania ndio inapotezwa kabisaaaa kwenye ramani ya ulimwengu.Na hatutaweza toka tena kwenye hili tanuru ambalo JK na wenzie wanatuingiza kwa nguvu.
Natamani nieleze baadhi ya sababu zinazonifanya niseme haya kwanza nionavyo kuna mkono wa taifa kubwa au mataifa yaliyoendelea kwa sababu zao wenyewe na manufaa yao wanaamua kulazimisha nchi zetu ziungane kwa manufaa yao yenyewe,pili naamini kuwa kuna uozo wa uongozi namaanisha tuna viongozi tupu wasiojua wapi walipo,walipotoka na wapi wanaenda kwani kuanzaisha jumuia sio lelemama ni kitu kikubwa na kinaitaji mswada wa muda mrefu wa kitaifa kuurahisisha na kutafuata utaratibu inadhihirisha utupu na uozo wa viongozi wetu hasa wa Tanzania.Historia ni sababu nyingine muhimu ambayo kwa kiasi kikubwa haijazingatiwa hata kidogo na ndio maana nasema Viongozi wetu wameshindwa kuangalia wapi walipotoka na wamesahau historia ya jumuia hii kuwa viongozi wenye hekima na sababu waliianzisha lakini ikawashinda sembuse sisi tusio na sababu tunaoshinikizwa na mataifa makubwa???Sababu za kutokuanzisha jumuia hii zipo nyingi sana lakini muhimu zaidi ni kutokuwa na sababu au madhumuni ya kuianzisha mfano nimekuwa nikimsikiliza Naibu Waziri wa Afrika Mashariki Mh Daktari Kamala kila siku anasema Tanzania iko juu sna kuliko nchi zote za jumuia hii anasema tumewazidi kwa kila kitu na kubwa zaidi anasema upande wa rushwa kwa wenzetu imezidi sana kuliko kwetu sasa najiuliza kama Tanzania iko juu kwa kila kitu jambo ambalo kwa kiasi lina ukweli na hatarushwa kwa wenzetu imezidi kuliko haa TUNAN'GAN'GANIA KUUNGANA NAO WA NINI???KWA NINI TUNANUNUA MARADHI?Nilipata nafasi ya kumuuliza Daktari Kamala swali hilo lakini hakujibu chochote ila aliniuliza sasa tufanyeje ?nilimuangalia kwa dharau na nikapata picha ya Viongozi TUPU.
Binafsi naamini umoja ni nguvu na kwa manufaa dunia inaungana lakini taratibu na mpangilio sahihi ndio kitu cha msingi na kabla ya muungano wowote lazima sababu na njia zizingatiwe.
Ushauri-tuwape wadau wkubwa ambao ni wananchi muda wa kutosha kuchambua na kutoa mawazo yao juu ya jumuia hii,Tuwape muda Rwanda na Burundi wa kujiandaa kujiunga na jumuia baadae sana labda baada ya miaka kumi.Tuangalie utaifa sana kwanza na tujiulize ni wapi nafasi ya mtanzania ndani ya jumuia lengwa?????
Mungu ibariki Tanzania.

"Binafsi nashangazwa sana na mbio za serikali kujiunga na jumuia hii ya Afrika Mashariki mbaya zaidi ni kuwakubalia Rwanda na Burundi nchi zilizojaa kivuli na harufu..." The most stinky place in the region is dar!!!! Uramabyi.
 
Suala sio ajira tu naomba muelewe kuwa yapo maswala mengi ambayo yamekuwa yakioaniswa hapo nyuma. Kilicho cha msingi sana ni kujipa muda, kuwaelimisha Wanajumuia wa Africa mashariki wote ili mwisho watu watoe hoja na mwisho tuhamue kwa kupiga kura.

Nasema hivyo kwa sababu watu wengi hawajui wanachomaanisha viongozi wao wanapozungumzia shirikisho. Tukipiga kura leo kwa mfano walio wengi watapiga bila kujua wanachokipigia. Mwaka wa 2013 ni karibu mno. Angalao ingekuwa uamuzi utolewe 2107.
 
Julian, you are quite right!

Hata hivyo, kama huwezi kujieleza, ni vigumu mtu kujua kuna nini kichwani mwako kwenye interview. lakini nina imani kama interview zitafanyika kwa Kiswahili, basi nafikri Watanzania watakuwa hawana haja ya kuogopa kabisa soko la ajira la Afrika Mashariki. Kwa sababu nina hakika wanaweza kufanya mambo. Ndiyo maana wamejaa Botswana, na Zimbabwe, na Mozambique nk..

Hivyo natoa hoja kwamba katika soko la ajira AM, na kwa vile lugha za taifa ni Kiswahili, basi interview zitumie Kiswahili ....

Hii ni juhudi mojawapo ya ku-even out benefits za muunganokwa wote ..

Naomba kutoa hoja ..

Je huko Botswana, Zimbabwe, Mozambique, walijieleza kwa Kiswahili?
 
Je huko Botswana, Zimbabwe, Mozambique, walijieleza kwa Kiswahili?

Hapana, hawakutumia Kiswahili, kwa sababau wengi walipo huko ni high calibre, former lecturers and professors ..

hao kwa bahati mbaya au nzuri hawajui walifundishwa kiingereza enzi hizo wakati Kiswahili hakijatawala! kwa hivyo wanafahamu kiingereza.

Tunazungumzia kizazi kipya cha Watanzania na soko la ajira! Kizazi kilichozaliwa miaka ya sabini na kukumbana sawia na UPE!
 
Mtukwao: Je, tatizo hapa ni nini hasa? Ni kwamba watanzania hawana uwezo wa kujifunza Kiingereza au watanzania hawakitaki Kiingereza? Hivi kwa nini nasi tusifundishe(shwe) tukajua Kiingereza vizuri? Kuna ubaya gani kujua Kiingereza na Kiswahili vizuri au hata na lugha zingine?

Kuachana na Kiingereza kutatua tatizo au kulikimbia tatizo?
 
Back
Top Bottom