East Africa Standby Force

No permanent friends, no permanent enemies, only permanent interest,ukileta za kuleta unapewa za uso na kama una make sense deals will be made.
 

Ahahahaha, Kagame akisikia JWTZ pressure inapanda.
 

Hacha polojo za kitoto. Sasa swali dogo tu, kwanini M23 walidisolve baada ya JW kuingia?
Mkongoto huo wewe........
 
mauaji ya kimbali unayajua???watu na kufa kwanjaa na kipindupindu huko maporini unayaita ya kimbari???
 
Last edited by a moderator:
Hacha polojo za kitoto. Sasa swali dogo tu, kwanini M23 walidisolve baada ya JW kuingia?
Mkongoto huo wewe........
Kuna watu kama wewe mmekaa kiushabiki tu,kwanza kikosi kilicho kua kikipambana na M23 haikua Jwtz pekeyake,nikukumbushe ni TPDF,DRC,SA,MAIMAI,FDLR,FRANCE,pamoja na SADC yote politicaly,sasa huko kujisifia kunatoka wapi??utafikiri mlikua peke yenu katika uwanja wa mapambano,kingine hapakuwepo mshindi jamaa wakati wote wakitaka wanaweza kurudi na kulianzisha.
 
Ahahah. ..usihangaishe kichwa chako...M23 walichokifanya ni kujitoa tu kwani wakati wote wakati wa mapambano walikua wakikutana na Jwtz na wengine na kuwabamiza vibaya sana na askali wengi wa tz walifia katika hayo mapambano wewe unafikiri hasira ya msanii dhudi ya watusi inatokea wapi??M23 waliamua kujiondoa ili yaishe kwani hapo mwanzo waliwasihi watanzania wasijiingize kwani hapakuwepo haja ya wao kufa bure..si kwamba waliwaogopa..na walicho kua wakisema kilitokea na tz walikufa sana hiyo ni siri msanii mkuu..hawezi kuthubutu hatasiku moja kumnyooshea kidole pk analijua hilo.
 
No permanent friends, no permanent enemies, only permanent interest,ukileta za kuleta unapewa za uso na kama una make sense deals will be made.

Umesahau na France 1994 all the way to Kibeho pamoja na Angola,namibia na Zimbabwe...tatizo sio kujifanya wafalme bali kukataa dhalau na ujasili!
Rwanda ni ya wanyarwanda na Uganda ni ya waganda, kumbuka kabla ya kuwaadabisha Gen Nyamvumba alitoka DRC kuleta malalamiko bungeni dhidi ya Gen James Kazini(RIP) wa UG kipindi hicho majeshi yao yalikuwa hayana heshima hata kidogo alipokuja Kigali alipewa ruksa na bunge ya kuwafundisha adabu na kijana akafanya kweli.
Angola walituletea usanii tukawapa njia ya kuingia Kinshasa kufika mbele Kabila(RIP) akawadanganya eti tunashilikiana na wanajeshi wa Mobutu(RIP) wazamani ammbao wana uhusiano na Savimbi(RIP) basi vijana wetu wakawa wamezungukwa na adui tena wakatufukuza DRC Gen mkali Kabarebe akatangulia na ndege kufika Kigali akasikia wenzake ambao walikuwa nao wapande ndege ya kurudi Kigali wameanza kupigwa na waangola pamoja na DRC, kama kawaida yake mwanaume yule alichukua ndege na vijana wake mpaka DRC, vita ilianzia Airport na mpaka wakajiunga na wenzao...njia ya kwenda Kinshasa ilikuwa ngumu basi ikabidi tumsaidie Savimbi(RIP) kukamata miji iliyomshinda miaka nenda rudi mpaka tukapata airport ya kurudi kwetu, kwa kifupi Savimbi(RIP) tulimtafunia akashindwa kumeza... Angola mpaka leo tunaheshimiana kwani waliona uwezo wetu.
Zimbabwe na Namibia wenyewe nafikiri ingawa wamo kwenye SADC sijui kama watarudi DRC kuunga mkono TZ, SA na Malawi kwani walicho kipata kipindi kile hawatokisahau milele, walikuja kumsaidia Kabila wakiwa na madhumuni ya kugeuzia Kigali, kwa mshangao wakakuta ni maji marefu kwa sababu hatukuwaruhusu hata kuisogelea Rwanda.
Sasa basi kwa kifupi...RDF uijuwayo jMali hakijabadilika kitu, ruratera ntiruterwa hata mjifichie wapi au mpate mtetezi wa namna gani tutawapa kipondo kwani huwa tunapigana tukiwa na sababu muhimu, hatutumiwi kipesa na mwisho kabisa hatuto dharau taifa lolote lile Duniani.
 

Mkuu...sema watu huwa hawasikii...umewapa ukweli lakini sikio lakufa halisikii dawa,tusubiri JMALI na sumu zake.
 
mauaji ya kimbali unayajua???watu na kufa kwanjaa na kipindupindu huko maporini unayaita ya kimbari???

..they had no choice.

..wangewasubiri makambini wangeuwa kwa risasi na mashoka ya RPF.

..ndugu yangu, there r mass murderers within the ranks of RPF and RDF. sasa hao ndiyo wanaotakiwa kuwa-exposed, arrested, na kufikishwa mbele ya mahakama ya kimataifa.

cc mchambawima1, jMali, lawmaina78, JustDoItNow
 
Last edited by a moderator:

..ulichoandika hapa ni UONGO.

..malengo yenu kumpindua Kabila Snr hayakufanikiwa.

..Rwanda ilipoteza askari wengi, na kulazimika kukimbia uwanja wa mapambano.

..jaribio la kumuondoa Kabila Snr limewatia hasara kubwa kuliko faida.

..Congo was supposed to be a friendly nation to Rwanda, sasa kwa ujinga wa Kagame na Kabarebe, Congo imekuwa pango la wapinzani na maadui wa Rwanda.
 

Na kwa bahati nzuri/mbaya hauna uwezo wa kufanya chochote au kugeuza historia... Ila ushauri nnaoweza kukupa ni kuja Rwanda ukashuhudia watu waliokuwa wametekwa na kina jMali ambao hivi wako kwao wanasaidia kuipaisha nchi yao mkibaki mnachonga huko nje... na waliokufa katika harakati za ukombozi kuwatoa mikononi mwa Interahamwe iwe ndani au nje ya Rwanda tunawaombea pahali pema peponi.
 
Last edited by a moderator:

..historia ambayo siwezi kuibadilisha ni hii.

1.Interahamwe wamehusika na mauaji ya kimbari dhidi ya Watutsi.

2.RDF wamehusika na mauaji ya kimbari ya dhidi ya Wahutu na Wacongomani.
 
..historia ambayo siwezi kuibadilisha ni hii.

1.Interahamwe wamehusika na mauaji ya kimbari dhidi ya Watutsi.

2.RDF wamehusika na mauaji ya kimbari ya dhidi ya Wahutu na Wacongomani.

Jana nilijaribu kiubinaadamu kukosoa matamshi yako lakini naona unarudia yale yale...mauwaji ya kimbali yanaufafanuzi wake, kuyalinganisha na vita vya kukomboa waliotekwa hayayafanyi yawe mauwaji ya kimmbali, kambi kuwa zikimilikiwa na wahutu waliotekwa na wahutu wenzao wenye itikadi kali(jMalis) na baadhi yao kufariki dunia hayageuzi lugha inayopaswa kutumika... wacongoman walio fariki nao ni matokeo ya vita, kama ni hivyo basi vita zote zingeitwa mauwaji ya kimbali, ndugu yangu shughulisha kichwa au na wewe mbogo dizaini za kina jMali?
 

..nakuelewa.

..sishangai wewe kusema hivyo.

..huna tofauti na wale wanaopinga genocide dhidi ya Watutsi.

..mimi msimamo wangu ni kwamba RDF kama ilivyotokea kwa INTERAHAMWE wanatakiwa wapelekwe mbele ya MAHAKAMA YA KIMATAIFA YA MAUAJI YA KIMBARI.
 

Wacha kujifanya hakimu wewe!!! Tena huyo Kabila(RIP) tungempindua vipi wakati tulikuwa tushaanza zoezi la kurudi nyumbani? Kwa taarifa yako waliokufa waliuliwa pale airport baada ya kubakia wachache! kumbuka zoezi la kurudi home likuwa lishaanza lakini baada ya kupata habari ya vitendo alivyokuwa akifanya na wa Angola wake basi tulirudi kwa mashambulizi makali na waliosalia tuliwaokoa na wote kama walivyokuwa tuliwapokea Kigali wakiwa salama salmini, chezea RDF wewe!
Kabila(RIP) kwani haujuwi kwamba alikuwa muuza mbao bongo? ulimbukeni na ushamba ndio uliomponza baada ya kufika Kinshasa akaleta usanii aliotoka nao bongo basi nasisi tukaona isiwe tabu ipo siku atatutafuta, cha mtu... Hatuwezi kulazimisha urafiki kwa mtu asiyetaka.
 

..LOL!!

..wewe unaishi kwenye universe yako unayoijua mwenyewe.

..siyo kitu cha ajabu kwa majaribio ya kijeshi kwenda mrama[botched].

..hata JWTZ walijaribu kumvamia Iddi Amini kwa kushirikiana na Waganda tukaishia kupoteza mamia ya Waganda.

..kwa hiyo kubali tu kwamba huu mpango wa Kabarebe kumpindua Kabila Snr ulifeli, na kupelekea vita baina ya mataifa ya Afrika na mamilioni ya Wacongomani kufariki.

..dunia iliwaamini sana Wanyarwanda lakini COLLATERAL DAMAGE ya vita vyenu imekuwa kubwa and the international community can not trust you any more.

NB:

..eti hamlazimishi urafiki? sasa kwanini mlijaribu kumpindua Kabila Snr kama siyo kulazimisha muwe na kibaraka wenu Kinshasa?
 

OMG!!! Sasa nikuelewe vipi? Unataka kusema kina jMali kuuwa majirani zao wakitutsi ilikuwa vita kiasi kwamba unaweza ukavifananisha na waganda mlio wauwa vitani? Kama ni hivyo basi wakuwahishe milembe.
 

Huyo Kabila bila kina Kagame kumweka pale was nobody,Congolese washukuru Kagame aliwaondolea lile fisadi Mobutu,Kabila was a big mistake kumweka pale,Rwanda walichotaka was only security ila vurugu zote ni dishonest ya Kabila,lakini naye aliishia wapi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…