mshana org
JF-Expert Member
- Jan 28, 2012
- 2,091
- 618
Siku 4 sijapata chekatime wala vifurush.ukibofya menu et huduma hii haipatikan kwasasa jaribu badae.nimewachoka
Mimi wame niibia dakika zangu nimelipia wiki nzima nikaongea sekunde 80 wakaniambia nmemaliza huu ni wizi mkubwa wadau tutoe taarifa kwa mamlaka husika ili lifanyiwe kazi tcra au tume ya ushindani
hata ukiham, wote n walewale tu, hakuna voda, tigo, sijui zantel! yaani uozo mtupu! labda ttcl
faza kila mtandao tz unaboa, voda nao ukiweka jero ukinunua kifurushi cha jero wanakwambia hunasalio la kutosha, tigo balaa tupu
Tatizo ni ukimya wa hizo mamlaka, usiadhani kwamba ndo wataanza kusikia leo. Huwa nafikiri kuwa wana kamisheni yao huwa wanachukua ili "kuvumilia" madudu yao..
Naskia kuna mtandao unaitwa BOL....jaribu huo.
Mimi nashauri JF tuanzishe mtandao wa simu. lakini kama eatel wanasumbua ahamie airtel hakatwi mtu pale.
Huku bush kwetu kuna mtandao wa airtel. Huo unaokuboa wa eartel utakuwa mpya usioaminika! Hamia kwa mabingwa
wa airtel!
Mimi nashauri JF tuanzishe mtandao wa simu. lakini kama eatel wanasumbua ahamie airtel hakatwi mtu pale.
eatel kiswahli airtel kithungu.au sio?
Sasa nimekuelewa, kuna wazo nimempa Mwenyekiti Baba V la kuanzisha kampuni ya simu ya jf chitchat naona anaifanyia kazi.
Siku 4 sijapata chekatime wala vifurush.ukibofya menu et huduma hii haipatikan kwasasa jaribu badae.nimewachoka