Top gun maverick
JF-Expert Member
- Dec 10, 2017
- 2,018
- 2,599
Wadau msaada nimenunua earphone juzi tu kwenye smartphone halafu zinakuwa hazisomi.
Msaada please. Nini tatizo....
Msaada please. Nini tatizo....
Jaribia nyingine ukiona yale yale basi shida ni system ya headphone
Vodafone mkuuuukm zinasoma na zako hazisomi shida ni ear phone zako najua hiyo ni tecno
Nunua zingine hzo ear phone zina shidaVodafone mkuuuu
Pendelea kununua earphone og, kama za Xiaomi.Wadau msaada nimenunua. Ear phone juz tu kwny smart alafu zinakuwa hazisomi.msaada please... Nin tatizo
Tsh ngapi?Pendelea kununua earphone og, kama za Xiaomi.
Pendelea kununua earphone og, kama za Xiaomi.[/QUOTE za buku tano au
Ni kama za oica auZa b
15000/= , mkuu huu ni mwaka wa pili nazitumia, haziumuzi maskio, zina mdundo hatari, ni imara, zina active noise cancellation kama unaongea na simu.Za b
Hii Vodafone yng inabagua earphones nilinua ya 5000, ikalia then baada ya muda inakuwa hazisomi15000/= , mkuu huu ni mwaka wa pili nazitumia, haziumuzi maskio, zina mdundo hatari, ni imara, zina active noise cancellation kama unaongea na simu.
Mkuuuu unavita na tecno nini? Au ndio wazee wa Samsung na Iphone matajirikm zinasoma na zako hazisomi shida ni ear phone zako najua hiyo ni tecno
Simu vodafone kumbeeMh
Hii Vodafone yng inabagua earphones nilinua ya 5000, ikalia then baada ya muda inakuwa hazisomi
Zipo zile beats by dre hatari sana ila mm natumia za Xiaomi, uwezi zipata bongo nzima.Agiza earphone 30£ U.K
Mpaka utaichoma moto mwenyewe