Earhero Mbadala Wa Tube Coiled Earpiece Kwa Wana Usalama

Mwana Ukoo

JF-Expert Member
Nov 21, 2016
252
422
Ukiwauliza VIP protection Agents mbalimbali Changamoto juu ya Earpiece wanazovaa muda wote kwa ajili ya Kuwa linked na Kuwasiliana na Details inayokuwa Nje au Pembeni basi watakuambia Tube Coiled Earpiece Zinawaumiza sana masikio kushinda nazo, Secret Service Special Agent wanao mlindi POTUS wameanza ku adopt changes hizi za Technology na most of them hutawaona na Earpiece zilijojinyongorota(Tube Coiled) Faida na hasara za Coiled tube over Earhero Earpieces, Coiled tube ufanisi wake juu ya kusikiliza Audience wanaongea nini ni mdogo tofauti na Earhero ambapo unaweza Kuwa unasikiliza Earpiece huku unasikiliza ya audience earhero hazi block usikivu sikioni na ni ndogo sana kiasi kwamba ni ngumu au difficult mtu ku notice security Guard Earhero ziko designed kutoka na rangi ya mtu ili kuwa ngumu kugundulika

Je VIP protection team zetu bado hazijaona umuhimu wa kuendana na Technology hii ya Earpiece ili kuleta ufanisi kwa Wakuu Wetu wanaowalinda?
 
Sasa wababa unataka kifaa avae afisa USA,kesho ukione bongo!!!!!,

Kwanza nje ya kanuni ya usambaaji wa kawaida,huwa ni kama ufahari fulani kutumia kifaa cha kisasa wenzio hawana.

So subiri hata miaka saba hivi.
 
Sasa wababa unataka kifaa avae afisa USA,kesho ukione bongo!!!!!,

Kwanza nje ya kanuni ya usambaaji wa kawaida,huwa ni kama ufahari fulani kutumia kifaa cha kisasa wenzio hawana.

So subiri hata miaka saba hivi.
Mkuu Izo earhero zina muda mrefu kidogo sokoni
 
duuh haya mambo jaman mi nikadhani wanavaa kwa sababu ya mawasiliano ya wao kwa wao walinzi kumbe hata kusikiliza watu wa nje wanaongea nn ..
... na hizo hazina madhara?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…