Elimu ya - Uundwaji wa gari hatua kwa hatua hadi linakamilika

Candid Scope

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
11,890
6,899
images
images
images
images
images
images



UUNDWAJI WA MAGARI TARATIBU, HATUA NA MAKAMPUNI SHIRIKISHI


Mada hii ni kwa ajili ya kusahihisha wanaosema kuna magari ambayo yameundwa tokana na rejected material, hii ni kwa sababu ya kukosa elimu na uelewa wa uundwaji magari unavyofanyika. Hakuna gari inayoundwa kutokana na rejected parts or material, bali huundwa kwa mtiririko wa kila gari kadiri ya
engineer walivyobuni magari ghali na ya gharama nafuu kadiri ya hitaji la watumiaji.

Mamia ya makampuni hushiriki uundwaji wa gari
Gari haiundwi na kampuni moja ya uundwaji magari, kampuni yenye hati miliki ya gari ndio wanaobuni, design body, engine, na parts zote za kila aina ya gari litakaloundwa na kampuni yao.

Tenda hutangwazwa kwa car manufacturing agents toka makampuni mbalimbali, yanayotengeneza car seat, belts, tires, transmission, mirrow, radios, DVDs, locks, ignition, lights, metal or plastic tubes, electronic units, filters, engine, radiators, etc.

Mfano wa sehemu za uundwajiwa gari naleta huu wa car seat assembling.


Car seat manufacturing processing
Parts hizo haziundwi na makampuni hayo pekee, kwani ni kazi inayohitajika umakini na haraka, hivyo kuna makampuni kadhaa yanayoshirikiana mfano kuunda car seat yapo utitiri.

  • Kampuni ya kuchimba madini ya chuma.
  • Kampuni kuyeyusha chuma na kufanya iwe katika muundo wa steel slit sheet coils, flat slit sheets and solid iron (nondo).
  • Kampuni ya tube forming, tube parts forming, trimming, end finishing and shaping.
  • Kampuni ya seat foam maker.
  • Kampuni ya kushona mifuko ya vitambaa, plastic au ngozi kwa ajili ya kufunika seat.
  • Kampuni ya kutengeneza coil springs kwa baadhi ya car seats.
  • Kampuni ya kutengeneza vipande vya car seat, left, right, bottom and back of the seat.
  • Kampuni ya kuunganisha car seat, kupiga pasi na kukagua kwa computer ubora wake kisha kusafirisha kwenda car manufacturing plant.

Haya hufanyika kwa car seat hatua hizo, na hivyo kila aina ya parts na sehemu za gari hufanywa kwa utaratibu huo, hivyo unaona ni hatua nyingi na makampuni mengi sana yanayohusika katika uungwaji wa magari.

Hakuna share kwa makampuni ila kuuziana zana
Utaratibu wa makampuni yanayohusika katika uundaji zana za magari hayana share kwenye kampuni inayounda magari, bali huuza parts zao kwa kampuni husika. Utaona kampuni nyingine zinafanya shughuli zao za uzalishaji wa zana za magari kwa makampuni tofauti tofauti za magari. Mfano watengenezaji wa Car seat utaona kuna kampuni ambayo inafanya kazi zao kwa ajili ya Toyota, Honda, IBM, nk ndio maana tunaona wakati wingine kuna kufanana kwa car seat. Watenenezaji wa radio, DVD, nk huzalisha zana zao kwa makampuni mbalimbali iwe magari, meli, ndege, bodaboda, nk.

Car manufacturing plant
Plant ya kuunda magari shughuli zao ni kuunganisha gari tokana na parts ambazo zimekuwa supplied toka makampuni mbalimbali kadiri ya maelekezo ya kampuni yao ya engineering production assembly unit. Huwa wanakuwa na agents wao wambao huhakiki ubora wa part na zana mbalimbali kwenye makampuni yanayotengeneza zana za magari yao.

Chases na body za magari huundwa kwenye main car manufacturing plant. Kwa ajili ya perfect parts fit hufanywa kwa robotical interface processing system. Kwa utaratibu huo kama kuna part ambayo haifai na inakuwa rejected hupelekwa re-circling company ambao huyeyusha na kuwa chuma ghafi tayari kuundwa part nyingine.

Part ikishakuwa rejected haiwezi kufaa kwa aina yo yote katika gari maana kila aina ya gari hata tuyaonayo ya bei nafuu yamekuwa computerized na yameundwa kwa utaratibu huo.

Chase ya gari hutembea kwenye reli huku waunganishaji wamejipanga pamoja na robot kuunganisha kwa kasi sana. Mfano kuna plant kubwa ambazo ndani ya 24 hr huunda magari mapya wastani wa 1000.

Katika line za kuunganisha magari kuna kila aina za magari zimechanganyika, mfano kama ni Toyota, litakuja Vitz, litafuata Corolla, litafuata Mark II nk. Kuna line ya truck, yaani magari kama yale makubwa ya Land cruiser, Highlander, Pic ups nk. Huwa kuna line production mbili moja ya car (tumezoea kuita salon) na line ya trucks.

Baada ya gari kutengenezwa hupitia kitengo cha ukaguzi ambao hutumia eye vision, caliper, vifaa vingine na kuhitiishwa kwenye compartment ya computer cage kuhakiki gari kama limekamilika na kama hakuna kasoro. Kisha anakabishiwa drive stadi to test kabla ya kuwekwa kwenye yard tayari kupelekwa kwa car dealers.

Huu ndio utaratibu wa uundwaji wa magari


process_h2_02_e.gif

process_btn_02_e_on.jpg
process_btn_03_e_on.jpg
process_btn_04_e_on.jpg


process_h3_01_e.jpg



process_text_02_e.gif

The Development Division constantly seeks to manufacture new cars by developing next-generation technology and responding sensitively to ever-changing environment and lifestyle trends. The division pursues concept, styling and design in a quest to realize the ideal car. This persistent spirit of development is the source which gives birth to next-generation cars. The Development Division is responsible for planning and visual design which bring satisfaction to customers, as well as the technical design, testing and evaluation process which support the product appeal. These various functions are made possible by the teamwork of the division. We are conducting uncompromising research and development in order to realize a "car of your dreams" which will create mobility for the future.
process_h4_01_e.jpg


process_img_01.jpg

Utilize free thinking and
the ability of young employees to
create future visions.

process_img_02.jpg

Reviewing of car design concepts.
process_h4_02_e.jpg


process_img_04.jpg

Highly refined exterior and interior design.

process_img_05.jpg

Accurate three-dimensional design images.
process_h4_03_e.jpg


process_img_06.jpg

Resolve technical issues and
create drawings for each part.
process_h4_04_e.jpg


process_img_07.jpg

Manufacture highly-accurate prototype cars
and confirm completeness.

process_img_08.jpg

Evaluation of performance through simulations and experiments.
CC; BAK

process_icon_02.jpg
 
[FONT=&#12513]
process_h3_02_e.jpg


[/FONT]

[FONT=&#12513]
process_text_03_e.jpg
High-level production technology is essential to realizing high-quality car manufacturing. In order to create the beautiful style envisioned by the Design Division, the production line is equipped with press dies, assembly jigs which precisely create the body framework and welding and painting robots. Installation of such equipment makes it possible to realize a high-quality, low-cost production line which is capable of high-mix low-volume production and can be easily operated by workers. Our production lines evolve together with cars every day. We possess the production technology capability to create such a production line. Our company gives total consideration to the production of highly-refined cars, and we conduct facilities planning and line configuration planning in order to construct an efficient production line.
process_h4_05_e.jpg


process_img_10.jpg

Simulate warping in pressed products
and create molds.

process_img_11.jpg

Simulate the movement of resin within dies;
review quality and productivity.
process_h4_06_e.jpg


process_img_12.jpg

While viewing a 3D screen, plan for
high-quality and low-cost processes
which can be easily operated.

process_img_13.jpg

Manufacture and install jigs
based on 3D data.
process_h4_07_e.jpg


process_img_14.jpg

3D process simulations used to review
high productivity and quality.

process_img_15.jpg

Simulate the movement of painting robot,
review quality and productivity, and
set efficient painting conditions.

process_img_16.jpg

Simulate the operability of parts assembly,
review parts structure and process form which ensures easy operability.
[/FONT]

[FONT=&#12513]
process_icon_02.jpg
[/FONT]
 
[FONT=&#12513]
process_h3_03_e.jpg



process_text_04_e.jpg
We possess 4 finishing plants in our production bases of Miyagi, Iwate and Higashi-Fuji. Each of these plants contains an efficient and easily-operated production line. Each process is equipped with robots and automatic conveyance machinery, realizing a configuration that reduces the load on operators and ensures safe manufacturing of cars. As the result of these quality control efforts, our plants were recognized in the U.S. Automotive Initial Quality Survey held by J.D. Power and Associates, an expert international institution which conducts customer satisfaction surveys. Our plants (Iwate Plant in 2006, Higashi-Fuji Plant in 2009) were presented with the Platinum Award, the highest honor conferred to plants which produced cars with the highest degree of satisfaction. Furthermore, all of our plants have acquired ISO14001 certification and are working proactively in regional environmental issues.
process_h4_08_e.jpg


process_img_18.jpg

Steel sheets are processed in a pressing machine. A variety of large and small automotive parts are created in rapid succession.
process_h4_09_e.jpg


process_img_19.jpg

Steel sheet components which have undergone press processing are
welded and the framework of a highly-accurate automobile body is created.
process_h4_10_e.jpg


process_img_20.jpg

Several layers of paint are applied to the assembled body.
The body is given a lustrous and beautiful finish.
process_h4_11_e.jpg


process_img_21.jpg

Using injection molding equipment, the bumper,
instrument panel, etc. are created from resin.
process_h4_12_e.jpg


process_img_22.jpg

Once painting has been finished for the body, several thousand parts are attached including interior components,
instruments, electrical wiring, the engine and tires. A finished car which can be driven is completed.
process_h4_13_e.jpg


process_img_23.jpg

Each completed car is subject to a rigorous and multifaceted inspection for parts such as breaks,
headlights and emissions. The cars are then shipped as completed vehicles with outstanding quality.

[/FONT]
 
Mamia ya makampuni hushiriki uundwaji wa gari
Gari haiundwi na kampuni moja ya uundwaji magari, kampuni yenye hati miliki ya gari ndio wanaobuni, design body, engine, na parts zote za kila aina ya gari litakaloundwa na kampuni yao.

Tenda hutangwazwa kwa car manufacturing agents toka makampuni mbalimbali, yanayotengeneza car seat, belts, tires, transmission, mirrow, radios, DVDs, locks, ignition, lights, metal or plastic tubes, electronic units, filters, engine, radiators, etc.
 

pleo
Nimesukumbwa na mada moja katika jukwaa hili kwamba kuna magari kama Vitz yameundwa tokana na rejected material, nimeona bora niwape somo kizalendo kidogo maana sio wengi wanaojua mfumo na taratibu za uundwaji magari, wanafikiria kama ifanyikavyo uswahilini pale ilipokuwa Gerezeani zamani zana tokana na chuma chakavu kuunda majiko ya mkaa.

Uzuri mmoja JF haijapungukiwa kitu, tunao wanaofahamu na wengi wataendelea kutujuza mengi. Haya hayajatokea sababu ya browsing, bali kwa uhakiki, uelewa na nimeshawahi kufanyia kazi kampuni hizi mbalimbali kwa nafasi na wakati tofauti tofauti.
 
Ingeliwekwa kwa lugha yetu ya Kimatumbi ingelikuwa poa zaidi...

Hata hivyo elimu nzuri mkuu...
 
Ingeliwekwa kwa lugha yetu ya Kimatumbi ingelikuwa poa zaidi...

Hata hivyo elimu nzuri mkuu...

Nikiweka kwa elimu ya kimatumbi nitapopolewa kwa mawe wakifikiria ni cha uswahilini, wabongo tu watumwa wa vya kuletwa, hivyo tuwaletee nukuru ambayo ningeweza kueleza wanavyoamini.

Hata hivyo bandiko la nne nimejaribu kueleza kinaganaga na kinogaubaga kidogo taratibu gari linavyotengenezwa.

watu8
Unaona ikitokewa tubahatike kampuni moja ianzishe uundwaji wa magari hapa nchini jinsi makampuni mbalimbali yatakayojitokeza kuwekeza nchini na kuongezeka kwa ajira kwa vijana. Chuma cha Linganga kinaweza kuwa kichocheo usione wachina na wajapani wanavyotupia jicho ni huko kunako source ya raw material ya chuma. Wenzetu wanaona mbali kuliko sisi wenye malighali hiyo muhimu katika viwanda vya mitambo na magari.
 

Kilichofanyika ile gari NYUMBU iliyoundwa na wanajeshi ni katika process za awali kuandaa na huwa kuna gari la majaribio linaloundwa, baada ya hapo ndipo hupelekwa order manufacturing plant kuunda gari hiyo pamoja na vielelezo toka kwa mainjinia.
 
Duh, somo limekaa vizuri sana mkuu. Ndo raha ya hapa jamvini hakuna kitu kinachokosekana. Kila mtu na taaluma yake anawapea wenzie. Actually to be honest, most of us tulikuwa na negative impact on how cars manufacturing process, lakini umetupa fact kabisa mkuu. Big up👍👍👊👊 mdau #Candid_Scope keep it up and if possible give us more and more... I real like it.
 
mkuu Candid Scope tunashukuru kwa somo murua, ila nina swali dogo nataka kufaham ikiwa magari yanapitia katika uhakiki wa hali ya juu yakiwa kiwandani kabla ya kusafirishwa kwa dealers inakuwaje basi kuna kampuni moja magari yake mengi yalirudishwa plant kutokana na kukutwa na kasoro mbalimbali. Hii inatokeaje mkuu au inakuwa ni hujuma.
 
Last edited by a moderator:
mkuu Candid Scope tunashukuru kwa somo murua, ila nina swali dogo nataka kufaham ikiwa magari yanapitia katika uhakiki wa hali ya juu yakiwa kiwandani kabla ya kusafirishwa kwa dealers inakuwaje basi kuna kampuni moja magari yake mengi yalirudishwa plant kutokana na kukutwa na kasoro mbalimbali. Hii inatokeaje mkuu au inakuwa ni hujuma.

Huwa kuna kasoro ambazo si rahisi kugundulika awali, kinachoangaliwa mara moja gari linapokamilika kiwandani ni uhakiki wa kila sehemu ya gari to function well, electronic chembers, electric, engine, power tool, ignition, diagnostic nk.

Swali ulilouliza ni matatizo ambayo hutokea baada ya gari kutumika kwa muda mfupi kisha kuanza matatizo hilo ni kutokana na matatizo madogo ambayo huwa vigumu kugundulika wakati gari limepitia process zote na kuona all units function well. Hivo kuna part ambayo husababisha matatizo ambayo inatakiwa ifanyiwe marekebisho.

Matatizo aina hiyo hutokea mara nyingi wanapotoa toleo jipya ambalo kunakuwa na mabadiliko kadhaa katika muundo na system katika gari.
 
Duh, somo limekaa vizuri sana mkuu. Ndo raha ya hapa jamvini hakuna kitu kinachokosekana. Kila mtu na taaluma yake anawapea wenzie. Actually to be honest, most of us tulikuwa na negative impact on how cars manufacturing process, lakini umetupa fact kabisa mkuu. Big up mdau #Candid_Scope keep it up and if possible give us more and more... I real like it.

Wengi wetu wanapenda zaidi habari za mipasho na matukio lakini za kuelimishana masuala ya ujuzi na tekinolojia tunayapa mgongo, wachache mno kama wewe mdau wapo huru kuruhusu kusoma mada kama hizi.
 
SAM_1683.JPG


SH108803.JPG


Watanzania tuna kila sababu ya kujivunia vitu vyetu.
Miaka kama kumi na saba iliyopita Tanzania imefanikiwa kutengeneza Gari yake ya kwanza.
Sasa ni kuona namna gani tunaweza kuendeleza juhudi hizo zilizokuwa zimeanzishwa na Baba wa Taifa.
Hongera Tanzania kwa kuwa na gari.

Sorce: Jarida la Inawezwekana


Assembly-Plant.jpg
images
images
​
Scania asembly production unit in Sweden and Kibaha branch in Tanzania


Kama sijafanya makasa kiutafiti hii ndiyo assembly nyumbu car iliyofanywa na jeshi la wananchi Tanzania miaka michache iliyopita ikiwa ni juhudi za Rais wa awamu ya Kwanza hayati Julius Kambarage Nyerere.

Jitihada zake ilikuwa kuanzisha cha magari makubwa ya mizigo ya Scania yanayoundwa toka Sweden. Hatua ya kwanza ilikuwa kunazishwa pland ya uunganishaji magari hayo plant iliyokuwa pale Kibaha, na ingekuwa source nzuri ya kuanza rasmi tawi la uundwaji magari akubwa ya scania nchini. Lakini huhudi zote zimepotea hasa baada ya yeye to step down na urasimu kuchukua nafasi na viongozi wabinafis katika awamu zilizofuata.
 
[h=1]Top 10 Most Expensive Armored Cars in the World[/h]Celebrities are rich and famous. Unfortunately heir wealth and popularity come at the price of their own security. Many wealthy people own armored cars, some of which are expensive.
Here is the top 10 most expensive armored cars in the world:

Top-10-Most-Expensive-Armored-Cars-in-the-World10.jpg

1) Mercedes Benz S-Guard 600 ($1.4 million)
Mercedes Benz S-Guard 600 is the most expensive armored car in the world. It is powered by twin-turbocharged 5.5 liter V12 517 hp gasoline engine. It can resist close range sniper fire, rocket propelled grenades and high velocity projectiles. It can accelerate from 0 to 60 mile per hour in just four seconds.


Top-10-Most-Expensive-Armored-Cars-in-the-World9.jpg

2) Audi A8 Security ($685,000 to $1,000,000)
This vehicle is invincible to high-powered firearms. Materials like steel, Kevlar and titanium are used to build this armored car. It also provides protection from fire and chemical attacks. It is powered by W12 450b-hp gasoline engine.
Top-10-Most-Expensive-Armored-Cars-in-the-World8.jpg

3) Bentley Mulliner Division with Armor from Mulsanne ($400,000)
This amazing armored car can withstand high-powered firearms, chemical threats and explosive attacks from all sides. It is powered by Twin Turbocharged 6.7 liter 505 hp gasoline engine. It can reach a maximum speed of 184 mph.

Top-10-Most-Expensive-Armored-Cars-in-the-World7.jpg

4) Maybach 62S Armored By Rijck ($352,000)
Famous Swiss armoring company Rijck has created a heavily armored Mayback 62S that can deter a high-powered sniper rifle fire from ten meters away. The vehicle is powered by AMG V12 Biturbo 5980cc 620 hp gasoline engine.

Top-10-Most-Expensive-Armored-Cars-in-the-World6.jpg

5) BMW 7 Series High Security ($350,000)
This beast can repel high velocity projectile weapons and chemical attacks. Its gas tank can seal itself, in case it is hit by a bullet. Its V12 6-liter, 535 hp gasoline engine can accelerate from 0 to 60 mph in just six seconds.
Top-10-Most-Expensive-Armored-Cars-in-the-World5.jpg

6) Popemobile ($311,000)
This vehicle is bulletproof. It can withstand all forms of chemical and biological attacks. It runs on a Mercedes Benz V8 5-liter gasoline engine. It can reach 60 mph in just six seconds.
Top-10-Most-Expensive-Armored-Cars-in-the-World4.jpg

7) Conquest Knight XV ($310,000)
This awesome armored car is build of hardened steel with Kevlar-fiberglass fenders and bumpers. Even its wheels are impervious to damage. They are made of forged 6061 aluminum. It can reach a top speed of 153 mph.
Top-10-Most-Expensive-Armored-Cars-in-the-World3.jpg

8) Cadillac One ($300,000)
Cadillac One is Air Force One's land vehicle counterpart. This limousine is heavily armored and its details are classified. It is powered by a V8 6.6L turbo 300 hp diesel engine.
Top-10-Most-Expensive-Armored-Cars-in-the-World2.jpg

9) The Dartz Kombat T98 SUV ($200,000
This Russian-made armored car is technically an SUV, but appears like a tank. It has heavy steel plated doors and 7 cm thick windows. Dartz Kombat T98 SUV can repel AK-47s and even rocket-propelled grenades. This beast is powered by 8.1 liter Vortec V8 that can sustain speeds of 180 kmph.
Top-10-Most-Expensive-Armored-Cars-in-the-World1.jpg

10) The Tumbler: The Dark Knight's Newest Batmobile
This fantastic armored car has a HM 5-liter Vauxhall engine with jet engine boosters. It also has auto-cannons in its nose. The price is in the range of millions of dollars.
 
pleo
Nimesukumbwa na mada moja katika jukwaa hili kwamba kuna magari kama Vitz yameundwa tokana na rejected material, nimeona bora niwape somo kizalendo kidogo maana sio wengi wanaojua mfumo na taratibu za uundwaji magari, wanafikiria kama ifanyikavyo uswahilini pale ilipokuwa Gerezeani zamani zana tokana na chuma chakavu kuunda majiko ya mkaa.

Uzuri mmoja JF haijapungukiwa kitu, tunao wanaofahamu na wengi wataendelea kutujuza mengi. Haya hayajatokea sababu ya browsing, bali kwa uhakiki, uelewa na nimeshawahi kufanyia kazi kampuni hizi mbalimbali kwa nafasi na wakati tofauti tofauti.

Mkuu mi mwenyewe nilipoona Waungwana humu wanasema baadhi ya gari hutengenezwa kutokana na rejected material nilikuwa mpole tu. Maana nipo kwenye hiyo sector muda kiasi Ughaibuni huku, nilikuwa nawaonea huruma tu wananchi nilio nao kazini hapa jinsi wanavyohangaika na utafiti kabla ya kuwasilisha vifaa kwa kampuni husika. Wakati huo huo kuna watu upande mwingine wa Dunia wanawaona wao bure kabisa .Hakika kuna muda anachowaza Mzalendo (Mbongo)ni cha kukiacha tu kama kilivyo.
 
Aise Asante mkuu kwa Mada.Nakubaliana na wewe,huwa naangalia kwenye Dicovery Channel,national geographic uundwaji wa Magari.Ni vivyo hivyo unavyosema.Na ndege(Jet),Meli nk.same story

cheers
 
Ningekua naanza chuo ningesoma mechanical engineering...nimeipenda hii elimu!!
 
Barikiwa sana kwakumwaga hizi nondo!!!
Always i have been asking myself as to how the assembling of cars is done'' Sasa kidogo naona naanza kupata mwanga!!
Hata hivyo hatua za mwisho zile parts zinakuwa assembled na watu, roboti, au kuna mitambo inayotumika kuunganisha hizo parts zote paka inakuwa gari?
 
Back
Top Bottom