Eagle house imejengwa mwaka gani wadau hili jengo karibu na st peters nitapenda kufahamu ni bwm jk au mwinyi au nyerere ninani aliyelijenga
2006Nimeuliza mwaka mkuu
Ile migorofa ilikuwepo au ni kazi ya mwinyi mkapa au jkMiaka ya nyuma Kabla ya kutengwa jengo hilo kulikuwa na ofisi zao....mbona tulikuwa tunakatiza ofisi zao ukitokea st peters unatokea banda mayai au pale wanapoogeshea mifugo zamani
Ila sahv wameweka bonge la geti
Kweli zama zinabadilika!
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Enzi za mkapa...Ile migorofa ilikuwepo au ni kazi ya mwinyi mkapa au jk
Zamani ulikuwa unakatiza tu huulizwiDuh
Duh Safi Sana mkapa naliamini aisee heko kwa mzee mwangonda apson kwa uzalendo uliotukuka kwa wanakitengo wote japo kwasasa kuna watu wanawatia doa