chlorine gas
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 2,544
- 2,694
Nimefurahi mdau kanikumbusha John Bichwa, siku nyingi sana sikulisikia jina hilo.Swali lililokosa majibu
John bichwa doh anyway hivi kale kaduka kwenye kijinjia Cha kuingilia ego ni kao au mjasiliamali wa kawaida tu maana Kuna kaduka hapo pembeni mkono wa kulia ukiingia na hako kauchochoro mpk uzunguke lami uje utokee kwenye ubalozi wa vietnam nadhaniNimefurahi mdau kanikumbusha John Bichwa, siku nyingi sana sikulisikia jina hilo.
Watoto wa Obay/ Msasani, Ada Estate watamjua.
Nineondoka Oysterbay/ Dar es salaam kabla ya jengo kujengwa.John bichwa doh anyway hivi kale kaduka kwenye kijinjia Cha kuingilia ego ni kao au mjasiliamali wa kawaida tu maana Kuna kaduka hapo pembeni mkono wa kulia ukiingia na hako kauchochoro mpk uzunguke lami uje utokee kwenye ubalozi wa vietnam nadhani