Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 74,272
- 105,537
Unaweza kufaganua hii kuhusu LNG kwanini tumeshindwa kuweka kinu cha kuchakata gas kutoka CNG kuwa LPG tukarahisisha maisha ya wananchi wengi.
sijui itakuwa economic value yake!Unaweza kufaganua hii kuhusu LNG kwanini tumeshindwa kuweka kinu cha kuchakata gas kutoka CNG kuwa LPG tukarahisisha maisha ya wananchi wengi.
LPG ni product ya mafutaUnaweza kufaganua hii kuhusu LNG kwanini tumeshindwa kuweka kinu cha kuchakata gas kutoka CNG kuwa LPG tukarahisisha maisha ya wananchi wengi.
Dangote atakuja pita na hizi fursa zote sababu refinery inatoa hizi kitu zoteUnaweza kufaganua hii kuhusu LNG kwanini tumeshindwa kuweka kinu cha kuchakata gas kutoka CNG kuwa LPG tukarahisisha maisha ya wananchi wengi.