kwani huku tz hakuna warembo mkuu?Wametuma mdada mrembo namna hii, mnategemea nini watanzania?
PROTOCOL hiyo...Siasa inawenyewe... Masilahi yao mbele always... Lakini Tanzania nasi tujipange vizuri kutobaki nyuma kama trailer... WaKuu fungueni kamusi za Siasa.Wametuma mdada mrembo namna hii, mnategemea nini watanzania?
PROTOCOL hiyo... Lakini Tanzania nasi tujipange vizuri kutobaki nyuma kama trailer... WaKuu fungueni kamusi za Siasa.
Angekuwa JK asingemqacha huyu waziri
Mmmh; hiyo KenSoma, Special delivery UN.Jamaa yangu unataka tufungue Kamusi ya kutafsiri neno hili? JK asingemqacha au neno lipi, maana kwa Tafsiri TZ hatuko nyuma ila kwa kauli ya huyu mama sasa Rwanda na Uganda janja yao kwishajulikana wao ndio watakaokuwa nyuma
Duh UHURU Kenyatta kachagua haswa? na km hata hili Tall likikufuata utasamehe yote na kulegea![]()