Wewe ni mlevi wa mvinyo usioujua! Tz ilikuwepo, ipo na itakuwepo ili Rwanda iwepo. Kamwe tz haitaitegemea Rwanda ili iishi. Mlikatana mapanga tukawafadhiri, mmeionea Kongo na unajua kilichotokea, sasa hivi mnafanya kitu chura alifanya dhidi ya ng'ombe! Eti mnapiga kelele EAC ili tutengwe, ni kichekesho! Wote, iwe kwa amani, uchumi, mahusiano ya kimataifa, mipaka, uzuiaji majanga, n.k. hata km tz ikaamua kutojihusisha lazima kwa jiografia yake mje hapa. Ngoja kwanza ushoga wenu mnaouabudu wa Ng'ombe (CoW) uharibike ndo utajua nini ninaongea. Na wala hakuna haja ya kupiga kelele. Huo muungano wa majenerali waliojigawia vyeo vya kijeshi porini bila mfumo rasmi na mtoto wa rais anayetumia ganja hautadumu. Yetu macho na km kweli ww ni muumini wa jf, utarudi hapa kutuomba msamaha.