EAC bila ya Tanzania kwema hapo?

EAC bila ya Tanzania kwema hapo?

mzenjiboy

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2010
Posts
907
Reaction score
387
attachment.php

Sent from my iPhone
 
Attachments

  • ImageUploadedByJamiiForums1404676617.984928.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1404676617.984928.jpg
    137.5 KB · Views: 1,070
Hyo sio EAC, ni washkaji wanywa damu wamekutana.
 
Tanzania tunatofautiana na hao katika misingi ya Panafricanism. Sisi tulikua mstari wa mbele katika kuleta uhuru barani Africa kwahiyo umoja kwetu uko katika misingi ya kudumisha ukombozi na muungano (haki na uchumi) wa Waafrika. Pia sisi pamoja kuwa demokrasi bado ni changa, tuko mbali sana na majirani ambao wengi ni madikteta.

Wenzetu wamefocus zaidi kwenye biashara na hasa kutamani ardhi...
Itakuwa tabu sana kufanya makubaliano na viongozi amambo ni madikteta, na wengi wao walilala na makaburu!
In my opinion that is where the problem lays.

Ideologically and politically, we are different....
 
Ngoja niwamulike! Mtoto wa rais pekee ndiye yupo kimaslahi ya kenya na wala sijui kama ameacha kupuliza. Wengine wote wanawaza kubakia madarakani hadi waingie kaburini. Wao uchumi ni kuingia porini na kujipachika ujenerali. Hata hivyo sisi wa tz tuwe macho. Ktk nchi nane zizotuzunguka ni zambia na msubiji tu ndio hazitumezei mate. Wengine wanacheka usoni lkn wana lao. Hawa si wachumi. Wao ni u guerrilla!
 
Nadhani sisi tunazubaa kinacho tokea ni vita ya kiuchumi.
Tutambue ile ahadi ya kujenga bandari ya Bwagamoyo iliwatia
Wakenya kiwewe.

Tatizo linakuja kuwa wakati wenzetu wanajiimalisha kimiundombinu na kiuchumi, sisi tumelala.
Tumeshndwa at a kujiimarisha kwa wazambia na wakongo.
 
Tanzania tunatofautiana na hao katika misingi ya Panafricanism. Sisi tulikua mstari wa mbele katika kuleta uhuru barani Africa kwahiyo umoja kwetu uko katika misingi ya kudumisha ukombozi na muungano (haki na uchumi) wa Waafrika. Pia sisi pamoja kuwa demokrasi bado ni changa, tuko mbali sana na majirani ambao wengi ni madikteta.

Wenzetu wamefocus zaidi kwenye biashara na hasa kutamani ardhi...
Itakuwa tabu sana kufanya makubaliano na viongozi amambo ni madikteta, na wengi wao walilala na makaburu!
In my opinion that is where the problem lays.

Ideologically and politically, we are different....
Huna hata aibu kusema panafrikanism wakati mnaendelea kutumiwa na wazungu?wakati mnawabagua waafrika wenzenu? panafrikanism ni kuuthamini uafrika na kuungana kwa waafrika kudai haki zao kama waafrika,sasa hiyo panafrikanism ndio hii yakujitenga na majirani zenu?.
 
wao wanatamaa na sisi wabinafsi kwa hiyo hatuwezi kwenda sawa
Hilo ndilo tatizo la watanzania wanafikiri majirani zao wanawatamani,siyo hivyo mkuu,hiyo niwasiwasi tu ya tanzania na kutojiamini,kwani wanachoogopa watanzania ni ushindani tu,kwani watanzania wanajijua kwamba wako nyuma katika nyanja zote ndio maana wanapinga kilakitu,kwa hiyo tusidanganyane ooh wanatamani tanzania,huo ni uongo mtupu.
 
Rwanda + Uganda + Kenya < Tanzania
Ndugu yangu rwanda +uganda+kenya+burundi+tanzania wote ni family moja,Tanzania ni kama first born katika family kumkosa si vizuri lakini haiwezi wazuia wanafamily wengine kuendelea kushirikiana na kufukia malengo yao ingekua vizuri kama angekuwemo,lakini wakati mwingine katika family kuwa mkubwa haimaanishi kwamba una akili kuzidi wengine,kunawakati mtoto mkubwa ananyanganywa heshima ya kuitwa mkuu wa familia wakati akionekana hana uwezo huo,sasa tatizo la tanzania anataka kumiliki ile nafasi ya mkuu wa family kwa kigezo cha ukubwa lakini tanzania hana uwezo tena wakuongoza family kwani anamapungufu.
 
Hiyo ni extension ya uchumi wa Kenya nilikuwa nikifikiri M7 na PAKA wana akili kumbe ni mazuzu kabisa.
 
Huna hata aibu kusema panafrikanism wakati mnaendelea kutumiwa na wazungu?wakati mnawabagua waafrika wenzenu? panafrikanism ni kuuthamini uafrika na kuungana kwa waafrika kudai haki zao kama waafrika,sasa hiyo panafrikanism ndio hii yakujitenga na majirani zenu?.

Duuuh... Sijui nianzie wapi!

Ila subiri nitakujibu baadae. Kwa sasa tuko busy tunawasaidia ndugu zetu hapo Congo 😉. Tukimaliza hiyo shughuli nita kujibu.
Pole, najua huko uliko umebanwa na madikteta na ukabila mkali...

Kiswahili chako kizuri....
 
Hiyo ni extension ya uchumi wa Kenya nilikuwa nikifikiri M7 na PAKA wana akili kumbe ni mazuzu kabisa.
ahahahahah hawa jamaa wanajua faida watakayoipata kutokana na muungano na sio tabu kwa nchi moja kupata zaidi ya nchi nyingine lakini bara wote kunakinachoongezeka katika uchumi wao,sasa watanzania hapo ndipo tatizo lao huja kwani wao wanataka kama ni faida basi wawe wao watakaofaidi kuzidi wenzao na hilo haliwezekani kwani nchi hizo zinztofautiana ki miundo mbinu na ndio sababu wanataka kuiendeleza hiyo miundombinu kwa pamoja ili wasiachane sana.
 
Duuuh... Sijui nianzie wapi!

Ila subiri nitakujibu baadae. Kwa sasa tuko busy tunawasaidia ndugu zetu hapo Congo 😉. Tukimaliza hiyo shughuli nita kujibu.
Pole, najua huko uliko umebanwa na madikteta na ukabila mkali...

Kiswahili chako kizuri....
ahahahha ndugu yangu sema uko busy na kupora mali za congo,kwani vita si illisha?
 
Hilo ndilo tatizo la watanzania wanafikiri majirani zao wanawatamani,siyo hivyo mkuu,hiyo niwasiwasi tu ya tanzania na kutojiamini,kwani wanachoogopa watanzania ni ushindani tu,kwani watanzania wanajijua kwamba wako nyuma katika nyanja zote ndio maana wanapinga kilakitu,kwa hiyo tusidanganyane ooh wanatamani tanzania,huo ni uongo mtupu.

Unakejeli zisizo na msingi na wala hutaki ukweli wkt unaujua. Rwanda na nchi zingine endeleeni kujidanganya. Endeleeni kujenga reli kenya, jengeni bomba la mafuta kenya, jengeni bandari kenya, fanyeni tu mnavyoona. Ni suala la muda na rais atakayekuwa ikulu lazima mje magogoni. Kwanza rwanda hata ukimkorofisha m7 akakata mawasiliano mtakuja tz mkisaga meno. Ikejelini tz kwa kadri mnavyoweza. Zomeeni na fanyeni kila ubaradhuri wenu, hatuna wasiwasi na ipo siku. Maana hamuoni, hamsikii lkn mtahitaji shuka asubuhi.
 
yes!hili ndilo tatizo lenu haswaaaa! nyie mnachokitaka ni rwanda kuwapigia magoti na kufanya mnayo waamuru kufanya,sasa kunatofautigani na ukoloni,wanyarwanda wanataka heshima na dignity ndiyo maana hawawezi kupigia magoti mtu,na lolote liwalo wanyanrwanda watakabiliana nalo,sasa mnasubiri mambo yabadilike east afrika ili rwanda wafungiwenji njia? pole sana rwanda nachotaka kukuambia rwanda si nchi yakutishiwa na mambo ya politics rwanda wanaijua haswa politic ya hii dunia.
 
Wewe ni mlevi wa mvinyo usioujua! Tz ilikuwepo, ipo na itakuwepo ili Rwanda iwepo. Kamwe tz haitaitegemea Rwanda ili iishi. Mlikatana mapanga tukawafadhiri, mmeionea Kongo na unajua kilichotokea, sasa hivi mnafanya kitu chura alifanya dhidi ya ng'ombe! Eti mnapiga kelele EAC ili tutengwe, ni kichekesho! Wote, iwe kwa amani, uchumi, mahusiano ya kimataifa, mipaka, uzuiaji majanga, n.k. hata km tz ikaamua kutojihusisha lazima kwa jiografia yake mje hapa. Ngoja kwanza ushoga wenu mnaouabudu wa Ng'ombe (CoW) uharibike ndo utajua nini ninaongea. Na wala hakuna haja ya kupiga kelele. Huo muungano wa majenerali waliojigawia vyeo vya kijeshi porini bila mfumo rasmi na mtoto wa rais anayetumia ganja hautadumu. Yetu macho na km kweli ww ni muumini wa jf, utarudi hapa kutuomba msamaha.
 
kiti cha kikwete hapo ingewekwa karibu na nani?
 
Back
Top Bottom