EA Commercial & Logistics Centre (EACLC) kiboko ya Walanguzi K/Koo

Eti agiza na mimi pekee, yani umeenda China mwenyewe huna hata mtaji unazunguka madukani unapiga vitu picha unasubiria nikitaman nikilipie upate hela ya mtaji. Haya kitu kinafika kiko tofaut na ulichoona katika picha
Watanyooka
 
Wachina (EACLC) wanafungua Mall kubwa ilipokua Ubungo Bus Terminal . Tutarajie walanguzi wa Kariakoo kuanza kulia njaa na kuandamana kumtaka Chalamila afukuze wachina.

**Wachina waruhusiwe kuuza Hadi Tunduma/Kasumulu/Rusumo na Mipakani kote. Wacongo, Wazambia , Wamalawi, Wanyarwanda wasifike Kariakoo kabisa
Inafunguliwa lini muungwana tuanze kupiga noti. Hakuna kwenda china tena
 
Eti agiza na mimi pekee, yani umeenda China mwenyewe huna hata mtaji unazunguka madukani unapiga vitu picha unasubiria nikitaman nikilipie upate hela ya mtaji. Haya kitu kinafika kiko tofaut na ulichoona katika picha
Yaani hao ndo hopeless kabisa. Wengi wao watakuletea vitu low quality wakati umelipa pesa kubwa.
 
Kuna mtu kaweka mada anashangaa kuna duka mchina Mikocheni linauza kila kitu kwa buku 3 tuu.. Hiyo ni sawa Yuan 10 kule China.. Hiyo pesa kule kwao ina nguvu Sana.. Na wabongo tumepigwa Sana bei kwa vitu ambavyo bei yake ni kitonga
Tanzania huwa inashangaza sana dunia, ni inchi masikini lakin baadhi wananchi kuliko ilivyo kadiriwa wake wanaspend sana pesa
 
Eti agiza na mimi pekee, yani umeenda China mwenyewe huna hata mtaji unazunguka madukani unapiga vitu picha unasubiria nikitaman nikilipie upate hela ya mtaji. Haya kitu kinafika kiko tofaut na ulichoona katika picha

Maendeleo na maumivu yake🤗🤗🤗
 
Yaani lile jengo moja la Ubungo ambalo ni sawa na magorofa mawili ya Msimbazi ndio liwe zaidi ya vijiji vya maduka vilivyopo Kariakoo. Hivi unajua kariakoo ni mitaa sio maduka. Usije ukadanganywa na ghorofa la Ubungo.
 
Wachina (EACLC) wanafungua Mall kubwa ilipokua Ubungo Bus Terminal . Tutarajie walanguzi wa Kariakoo kuanza kulia njaa na kuandamana kumtaka Chalamila afukuze wachina.

**Wachina waruhusiwe kuuza Hadi Tunduma/Kasumulu/Rusumo na Mipakani kote. Wacongo, Wazambia , Wamalawi, Wanyarwanda wasifike Kariakoo kabisa.

***Nimepita Lusaka nako Wachina wanajenga mall kama hiyo EACLC
Mam apewe maua yake
 
"China's strategy in Africa involves selling products at lower prices, often subsidized, to flood markets and potentially dominate local production. This can create a situation where African businesses struggle to compete due to China's cost advantages, potentially hindering industrialization and value-added production. "
 
Sawa Tu. Waje Hata kugombea nafasi za Kisiasa kabisa. At least tuwe na Mbunge Mchina
 
Back
Top Bottom