EA Commercial & Logistics Centre (EACLC) kiboko ya Walanguzi K/Koo

EA Commercial & Logistics Centre (EACLC) kiboko ya Walanguzi K/Koo

Tanzania sees investment fortunes https://dailynews.co.tz/?p=24705
Screenshot_20250507-024053~2.jpg
 
Wachina (EACLC) wanafungua Mall kubwa ilipokua Ubungo Bus Terminal . Tutarajie walanguzi wa Kariakoo kuanza kulia njaa na kuandamana kumtaka Chalamila afukuze wachina.

**Wachina waruhusiwe kuuza Hadi Tunduma/Kasumulu/Rusumo na Mipakani kote. Wacongo, Wazambia , Wamalawi, Wanyarwanda wasifike Kariakoo kabisa.

***Nimepita Lusaka nako Wachina wanajenga mall kama hiyo EACLC
They will learn to co-exist, mutually. Simple to say, BUT...

Mkuu, binaadam hashindwi kitu. Utashangaa sana mswahili atakavyoweza ku-adapt; na pengine kushamiri zaidi na zaidi

haya mambo mengine nadhani itabidi sasa tuache kuyaogopa. Yote tuyaone tu kuwa kama fursa.
As long as hawajatunyang'anya uhuru wetu; kujiamria mambo yetu yote, hata ya kisiasa (kulazimisha tutawaliwe na CCM, kwa mfano); nasema BRING THEM ON!

EEEEnHEEEEE. Leo hata mimi mwenyewe najishangaa kwa kuandika haya!
 
Hapana Kariakoo watu wanapigwa sana na asilimia 90 ni bidhaa bandia
Ukweli halisi ni huu:Kariakoo will never die. Hilo eneo litaendelea kushamiri sana kwa biashara kuliko sehemu nyingine yoyote Afrika Mashariki. Eneo lipo pazuri sana.
I wish I had known Enzi hizo palikuwa na nyumba za makuti. Ile BOOM ilitosha kabisa kununua kijumba kama hicho hapo mahali!
 
Ndio, udalali mwingi, tv moja ina watu watano kama madalali kabla hujamfikia mwenye duka. Badala ya kuinunua kwa 1000,000 unainunua kwa 1,300,000
 
Wachina (EACLC) wanafungua Mall kubwa ilipokua Ubungo Bus Terminal . Tutarajie walanguzi wa Kariakoo kuanza kulia njaa na kuandamana kumtaka Chalamila afukuze wachina.

**Wachina waruhusiwe kuuza Hadi Tunduma/Kasumulu/Rusumo na Mipakani kote. Wacongo, Wazambia , Wamalawi, Wanyarwanda wasifike Kariakoo kabisa.

***Nimepita Lusaka nako Wachina wanajenga mall kama hiyo EACLC
Shithole country, badala tujenge viwanda tunajenga maduka ya kuuza bidhaa za China.
 
Hapana Kariakoo watu wanapigwa sana na asilimia 90 ni bidhaa bandia
Miye mfanyabiashara akipiga kelele wachina jibu langu huwa mnawachekea sana CCM ebu tarehe 19/05/2025 fungeni maduka yenu muende kisutu kwa amani kabisa muende tu mkaae pale muone kama hao wachina wataendelea kuwepo nawambia wachina wapo kwa sababu utawala uliopo unajua hamna Cha kufanya unawadharau ebu onyesheni mpo seriously na mabadiliko muone
 
wachumi watuambie positive impact ya wachina kwenye inflation maana hawa mbwa weusi washatuona manyani.
 
Wachina (EACLC) wanafungua Mall kubwa ilipokua Ubungo Bus Terminal . Tutarajie walanguzi wa Kariakoo kuanza kulia njaa na kuandamana kumtaka Chalamila afukuze wachina.

**Wachina waruhusiwe kuuza Hadi Tunduma/Kasumulu/Rusumo na Mipakani kote. Wacongo, Wazambia , Wamalawi, Wanyarwanda wasifike Kariakoo kabisa.

***Nimepita Lusaka nako Wachina wanajenga mall kama hiyo EACLC
sio walanguzi hapo nchi yako imeshindwa kulinda watu wake kwenye supply chain, lazier kuwe na kiwanda, whole seller , retailer mwisho kwenda kwa consumer, unaporuhusu huyu wholeseller tena wa kigeni kuuza direct kwa consumer maana yake umepoteza ajira nyingi sana nchini kwako
 
The East Africa Commercial and Logistics Centre (EACLC) in Dar es Salaam is developing an online platform to facilitate both local and international trade. This platform is designed to support the "One Belt, One Road" initiative, promoting economic and trade cooperation between China and East Africa .

What You Can Expect Online:​

  • Product Listings: The online platform will allow businesses to publish and access information on various sources of goods and transactions, enhancing the visibility of products available at the EACLC .
  • Cross-Border Trade: It aims to strengthen economic and trade cooperation and exchanges between Chinese and East African member companies, facilitating smoother cross-border transactions .
  • Business Services: The platform will provide services for enterprises, including support for customs, tax, commodity inspection, and logistics, streamlining the import and export processes .
 
Back
Top Bottom