hawa ni wale watumiaji wa computer ambao huwa hawakujalia jua misingi midogo ya kuwa kutumia computer safely. Yaani kama kujua jinis ya kulog off/sign off kabla ya kuondoka, kutotumi kila computer linapokuja suala la emailing tools. Hawa hawa huwa wana press okay kila message inyo pop up ,iwapo inakwenda.Huwa hawapendi uliza watu wajuao vitu pale wanapohisi kuwa kuna kitu awajui.Sasa kama wao huwa wanauliza hawa wajomba na wapamabe wadhaniao kuwa ni wajuaji then wana issue.Huyu mama inaweza kuwa huwa anakubalia tuu ili awahi inbox pale browser inapomuuliza kama anataka passoword yake ihifadhiwe katika browser.Sasa kama alifanya hivyo halafu baadaye akaona kuwa Laptop yake imepitwa na wakati na hivyo atumie hele ya serikali kununua ingine ya kujionyesha mbele ya watu,huku akimpatia wanaomzunguka katik kula nchi na wao wakaingia nayo uraiani.Basi kuna mengi mama keshapoteea nchi, na mengi zaidi mama hajui kama kapoteza kwani kama kichwa yake ni ile kwamba kufunga browser ndio kutoka, upress delete ni kufuta file katika windows, na msahuri wake wa IT anaamini kuwa kuwa kufuta katik recycle bin au kw SHIFT+DEL ni kupoteza file kabisa,au kuwa na antivirus yenye updates ndio kuzuia kila virus na trojan basi kuna Issue.
Kuna wabongo kibao wapo katik office muhimu hawana elimu ya msingi ya security katika computers.Kuna kipindi hapo Bongo Computers za serikali zilikuwa zikiuzwa katik auction zikiwa na hard Disks zake.Au hata kupelekwa kwa kiongozi na kiongozi kuzitapanya kwa jamaa zake.Mwenye akili anaweza ona jinsi walivyokuwa wakijianika.Hivi bado wanafanya hivyo tuje anzisha deal ya kutafuta data.
Teh teh....nchi ya wenda mashetani kama si wenda wazimu.