e-mail ya balozi wa Tanzania Ufaransa yaibiwa

e-mail ya balozi wa Tanzania Ufaransa yaibiwa

sasa si wa waifute km si mojawapo ya public domain.Na pia kama ni public bado anaweza wasilisha kwa wahusika Yahoo,Google office za France au hata UK with evidence kuw ani yake kwa kutaja hata emails chache zilizopo ndani na info kidogo watamsaidia reset.

exposure kaka...
 
exposure kaka...

wangekuwa wanajua madhara yake sijui kama wangeacha hangaika.Na katik hangaika somewhere wangekutana na mtu anayejua na si hawa bogger.kwani hawa blogger si wote wana elimu ya msingi ya informationa confidentiality na security achilia mbali mamabo mengine.Blogs ni kwa ajili ya simple users wa fani nyingine kuweza publish vivtu vyao bila kuhitaji wataalamu, na hivyo haiwezi kuwa kigezo cha kudhania kuwa kila mwenye blog yenye kelele basi najua IT.

Yaani hawajifunzi kwao wenyewe, kuwa kila laptop mweye ikija version nyingine huwa wanainunua ila huwa matumizi yake huwa yanaishia katika email, kuhifadhi picture na kuangalia file zilizotengenzwa kwa microsoft office, na pia kale kashuguli ka pono na power point presentations za vichekesho zinazosambazwa katika mail spams.Sasa sijui kwanini wasijue kuwa ubabaishaji hata kwa bloggers upo.

Kama aina ya akina michuzi ndie washauri wake wa IT basi imekula kwa mama na nchi.Michuzi najua akisoma hapa naweza ruka juu ya meza na pengine kushangaa ila PICTURE ZAKE ZINA VERY LOW QUALITY havifikii viwango vya publisher wengi wa ulaya.Kama anabisha afuatilie clients wake wanavyopata shida tumia picture zake kuweka matangazo katika machapisho ya kimataifa.Au pia aangalie kwa nini Blog yake haina appeal katika muonekano.Na kama photo journalist basi kama si kuwa muonekano mzuri basi angekuwa na muonekana wenye ujumbe. nadhani keshamaliza jifunza kama walivyo watanzania wengine wakishakaa katik aulaji wa dezo.

Nadhani huu ndi muda wa jamaa kukusanya hela za kununua camera zenye resolutions za juu kama shida si upigaji wake.Ajue kupamba wakubwa kuna mwisho.pofession yake haitaangalia kuwa alipamba wangapi,ila art piece zake ni zipi?Asitumia advantage kuwa hakuna wapiga picture wengi na hivyo kujikuta akitumika,watainuka watu soon.
 
Back
Top Bottom