e-mail divert?

Konzogwe

JF-Expert Member
Feb 24, 2008
434
155
Ninatumia yahoo email account.Nashangaa siku hizi natuma inanipa "your massage have been sent".Thereafter sipokei ile DAEMON lakini nimtumiaye haioni kwenye Inbox wala Spam au Bulk.Naomba msaada.
 
Huyo unayemtumia anatumia email service gani?

Cheki kama unakosea email address, labda zinaenda kwa mtu mwengine.

Email zako zinakataa kwa watu wote au huyo mmoja tu? Na yeye anapata email za watu wengine?

Mwambie acheki blocked email addresses upande wake, labda email yako iko kwenye blocked list.
 
Back
Top Bottom