Unaongea nini mkuu? Serikali ni among the two major shareholders in fact hisa za Serikali ni nyingi sasa kivipi unasema atazungukwa? Au nani kakudanganya wanahisa wanaruhusiwa kupatiwa taarifa za kampuni? Ownership and management is separated so hamna namna shareholder anaweza access private data za benki unless awe major shareholder kama serikali?
Hiyo ni zamani, siku hizi mechanisms za data control ni nyingi mnoo kiasi kwamba hata mfanyakazi hana access na taarifa kadhaa za benki unless awe senior position tena kuwepo na two step verification ambazo serikali naye ni beneficiary sababu ana majority shares.
Sasa kama e-Ga wako vulnerable kinachofanya mlazimishe wafanye hiyo kazi ni nini? Yaani mnakiri Gepg iko vulnerable to cyber attacks and breach ila bado mnapinga NMB wasipewe kazi? Sasa mnachotaka ni tuendelee kupigwa kupitia GepG au mnataka ufanisi? Maana sijaelewa hoja yenu ni nini?
Kama issue ni wageni mnahofia, mbona hawa hawa raia wa Tanzania ndio kila siku ripoti ya CAG inasema ni majizi? Kwanini usiamini hata raia akipewa hiyo kazi bado anaweza uza hizo siri akipewa pesa? Nadhani umesikia kashfa ya TPA walipewa pesa kutoa tender ya kifisadi ili wapewe mfumo! So either way wizi wa taarifa unaweza fanyika is not like alternative ya NMB ni hap eGa ambao ni majizi zaidi according to CAG
Vetting ipi? Kwani kila mwaka CAG anapoonesha ufisadi kwenye taasisi nyeti je hawafanyiwi vetting? Hata huko eGa CAG kaonyesha madudu ya mfumo mpaka huko GepG na mifumo mingine ya wizarani. Sasa mnaowatetea naomba msome hii ripoti kwa utulivu alafu mje kusema NMB are worse.
This Performance Audit Report presents the audit findings, conclusions and recommendations on the planning and acquisition of ICT Systems in the Government. The audit focused on assessing whether the President’s Office - Public Service Management and Good Governance (PO -PSMGG) and e-Government…
www.nao.go.tz