E-Fm yaendelea Kuitesa Clouds Fm Dar

Hiyo inatosha kuwaambia EFM kwamba Singeli imetuchosha, hatuisikilizi maana nyimbo ni zile zile halafu mwandaaji wa kipindi anapayuka payuka ovyo.

Wakifanye kiwe kipindi cha nusu saa tu.
Ile ndio style ya utangazaji kwa muziki ule sasa
 
hivi kweli hii Efm watafikaga mikoani kwetu kweli kama mwanza vile au Arusha au wanaweza mbania vibali au mambo ya pesa hayako vema sana kwa kusambaza mikoani naomba kujuzwa hili wakuu

Radio yoyote kabla ya kuvuka mipaka ya home town huwa inapewa muda wa kujiimarisha kwanza, sikumbuki ni miaka mingapi, huo muda ukishatimia, hupewa ruhusa ya kujitanua mikoani.

Hivyo watu wa Mikoani wakae mkao wa kula. Kama wameweza kuiteka Dar, lazima na huko Mikoani itakuwa n tishio vile vile.

Meneja wao wa vipindi atakuwa yuko makini ndio maana, kwa sasa EFM ni tishio kwa Radio zilizokuwa na Majina hapo awali, hata watangazaji wengi wenye vipaji na Majina makubwa wanakimbilia huko EFM kwa sasa.
 
Ni kweli, ukisalimika kwenye data validity utakuta unakumbana na host interest!
 
Ni miaka 3 mkuu
 
Ile ndio style ya utangazaji kwa muziki ule sasa

Nakubaliana na wewe, nimezungumza hivyo kwa mtazamo wangu na pia kwa kuangalia rating hapo juu ukilinganisha na vipindi vingine.
 
Kibaraka clouds fm.
 
vantz, kiukweli hizo data ulizoweka hivi punde naona zinanichanganya au labda zitolee maelezo kidogo.

Hapo juu, ni takwimu za wiki mzima; tena wiki ambayo watu hawajaenda kazini kwa cku 2 lakini audience number ni few hundred thousands!

Takwimu mpya ni za cku moja lakin audience yake ni kubwa maradufu ya ile ya wiki mzima!
 
Hujamakizia mkuu nashindwa kukujibu
 
Hii ni hatari kwa Cloudz, mwanzoni nilikuwa naichukulia poa EFM. Wakianza kuja mikoani Cloudz ndio watapata pigo kubwa zaidi
SHida iko moja tu kwa EFM... Wapigane wahame frequency... waende kwenye frequency less than 90MHz maana wasikilizaji wa kwenye magari yaliyo mengi wana redio zenye frequency less than 90MHz.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…