E-Fm yaendelea Kuitesa Clouds Fm Dar

Mleta habari ripot yake ni ya Dar ambako kuna Efm na Cloud
Tatizo langu sio Dar au kwingineko bali credibility ya hizo takwimu na ndio maana nikaomba link! Geo Poll wana website pamoja na social network accounts na hata ukienda kwenye pages zao, wana-post takwimu zao. Hivyo basi, sitarajii pakosekane web source!
 
Umeelewa hiyo post? Hii ni dar pekee na kumbuka Efm haiko mikoani uliyoweka wewe niya mikoa yote tofauti na mimi nimeweka ya dar pekee na niya weekly tar 4-8 angalia vizuri mkuu huko huko kwenye geo poll utaiona hii niliyoweka mimi bt kwa wiki na kwa dar peke yake ukiweka mikoani ndio Efm inapitwa coz haifiki
 
Asante mkuu kwelinkakurupuka
 
Sijakataa, na ndio maana nikaomba link from the beginning! Mbona jambo dogo sana hili?!
 
Ibadilishwe ili iweje sasa?
 
Aisee we jamaa naona unanipotezea muda wangu! Nimesema weka source ya hizo data; mbona maneno mengi? Ikiwa hakuna source, basi the whole thing ni FAKE! Weka source, na kama hauna, safari njema!!
Povu la nini mkuu?
 

Anyway, let's make it simple;

Njoo na data zenye source unayoiamini ambazo ni za Dar na za kati ya tar 4 July mpaka 8 July 2016; kama hizo data zitakuwa tofauti you have a point, otherwise wewe utakuwa ni mbishi kulinganisha vitu ambavyo ni vya vipindi tofauti na maeneo tofauti.

Nimemalizana na wewe juu ya hili.
 
Mnang'ang'ania nimekurupuka, sasa mnaona taabu gani kuweka source ya hizo data?! Hivi endapo pale ilipowekwa EFM ingewekwa Times FM; ungekataa?!
Ngoja nikuletee la jana sasa tulia nifanye mambo
 
Radio za mengi zimekumbwa na nini mbona zina stats ndogo ukilinganisha na ukongwe wake. Jamaa wanapaswa wabadilike.
Hawana ubunifu wamebaki na heshima yao tu....na kwa sasa ndio radios pekee zilizobaki zinazosikilizwa na mashabiki wote.... no ubaguzi
 
Ibadilishwe ili iweje sasa?
Mkuu hoja hapo haikuwa kubadilisha au kwamba umebadilisha bali kuonesha kwamba data zisizo na direct source unaweza kuziweka vyovyote vile! Kwa mfano, data nilizoweka mimi siwezi penye Clouds kwa mfano nikaweka Times kv ukifuata link utakuta kinyume cake! Lakini kwa typed paper kama yako unaweza kuweka chochote... na ikiwa hizo data zako tutazikubali basi akija mwingine akasema hapo pa EFM ni East Africa Radio tutalazimika vile vile kukubali: logical argument!
 
Njoo mkuu hii niya Jana J3 kwa Dar tuu usichanganye
 
Tbc taifa ya pili .......fix
 
Sala mkuu shuka chini ila ukiingia geo poll haina tofauti na niliyoweka sema inategemea niipata ktk mfumo gani
 
Hili lina-make sense; tena sio basing on above data bali hata kutoka kwenye approved data!
Tatizo letu ni kwamba hata kama ukusanyaji taarifa haukuwa biased, taasisi inayokusanya inakuwa biased-yaani wanakuwa na interest zao. Wanataka advertisers wajue nani mkali. Kwahiyo hata kama mbinu za ukusanyaji ziko objective, data, analysis na interpretation zinaweza kuwa biased/played ili kupendelea chombo fulani
 
hivi kweli hii Efm watafikaga mikoani kwetu kweli kama mwanza vile au Arusha au wanaweza mbania vibali au mambo ya pesa hayako vema sana kwa kusambaza mikoani naomba kujuzwa hili wakuu
tunaisikiliza mikoani kupitia internet radio,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…