Jacobus
JF-Expert Member
- Mar 29, 2011
- 4,681
- 1,698
Wakuu, nilitokea kupenda kusikiliza kipindi cha michezo cha radio E Fm kuanzia saa tatu asubuhi mpaka sita mchana.
Hivi karibuni kipindi hiki kinacheza miziki zaidi kuliko habari ya michezo.
Nawashauri kama habari za michezo hamna nyingi basi ni heri kupunguza muda kama Wasafi walivyofanya kwani hawa muda wa vipindi vyao ni sawa na vyenu.
Inachosha kwa habari moja miziki miwili na tangazo juu.