kevin strootman
JF-Expert Member
- Nov 26, 2017
- 1,109
- 1,840
Tatizo liko wapi hapo??Wakuu, hivi karibuni nimekuwa najikuta nasikiliza radio ya E - FM hasa kwa kuwasikiliza wachekeshaji Mkude, Bwakila na mjomba wake.
Nimejikuta nasikiliza hata kipindi chao cha magazeti asubuhi.
Kinachonishangaza ni huyu mtangazaji Maulidi Kitenge eti akiwa nje ya nchi anatujuza kilichomo kwenye magazeti na kwa mbwembwe nchi alipo kisha watangazaji waliopo Dar huendelea na kutujuza kilichomo kwenye magazeti hayo hayo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi unaelewa nini maana ya neno kudukua au ?Anadukua dukua tu magazeti ya hapa nchini kana kwamba anafanya 'promo' ili tujue yuko nchi gani.
Pana 'media' hapa kubwa kubwa tu kama TBC, Radio one, RFA lakini sijasikia eti mtangazaji kaenda nje ya nchi na kudukua magazeti yetu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu huvutiwa na vipindi husika kwa mambo mengi,kuna wengine hupenda tu sauti ya mtangazaji bila kujali kile akitangazacho.Mkuu, sio wivu. Nshasema studioni pana watangazaji tayari tena wanarejea kusoma habari zilezile tena na kurasa za ndani. Yeye hupitia juujuu zile kurasa za mbele kwani anazisoma kwenye mtandao. Leo katujuza yuko Sauzi!!!!!!!!!
Wivu tu, kwani unasikia au husikii?Wakuu, hivi karibuni nimekuwa najikuta nasikiliza radio ya E - FM hasa kwa kuwasikiliza wachekeshaji Mkude, Bwakila na mjomba wake.
Nimejikuta nasikiliza hata kipindi chao cha magazeti asubuhi.
Kinachonishangaza ni huyu mtangazaji Maulidi Kitenge eti akiwa nje ya nchi anatujuza kilichomo kwenye magazeti na kwa mbwembwe nchi alipo kisha watangazaji waliopo Dar huendelea na kutujuza kilichomo kwenye magazeti hayo hayo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wa Kitenge....naaaammMaulid Baraka
Haata mkuu wanawake siku hizi hawana wivu wa hivyo wanatafuta pesa, wewe huoni vikoba vinavyo tarandadi huyo ni wivu wake na ukoo wakePoverty ni mbaya sana,ukiamka asubuhi angalia Bloomberg utaona watangazaji wa kipindi kimoja ila wako nchi tofauti..newyork,Dubai &London.Kaka tafuta pesa somesha watoto,wekeza.Ukifanikiwa wivu wa kike utakuisha.
Wa Kitenge....naaaamm
Mkuu, sio wivu. Nshasema studioni pana watangazaji tayari tena wanarejea kusoma habari zilezile tena na kurasa za ndani. Yeye hupitia juujuu zile kurasa za mbele kwani anazisoma kwenye mtandao. Leo katujuza yuko Sauzi!!!!!!!!!

Dunia hii ya utandawazi kuna shida gani kuwa Nyaminywili, Mbekenyela au Texas?Wakuu, hivi karibuni nimekuwa najikuta nasikiliza radio ya E - FM hasa kwa kuwasikiliza wachekeshaji Mkude, Bwakila na mjomba wake.
Nimejikuta nasikiliza hata kipindi chao cha magazeti asubuhi.
Kinachonishangaza ni huyu mtangazaji Maulidi Kitenge eti akiwa nje ya nchi anatujuza kilichomo kwenye magazeti na kwa mbwembwe nchi alipo kisha watangazaji waliopo Dar huendelea na kutujuza kilichomo kwenye magazeti hayo hayo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kitenge huko nje huwa anafata nini?Wakuu, hivi karibuni nimekuwa najikuta nasikiliza radio ya E - FM hasa kwa kuwasikiliza wachekeshaji Mkude, Bwakila na mjomba wake.
Nimejikuta nasikiliza hata kipindi chao cha magazeti asubuhi.
Kinachonishangaza ni huyu mtangazaji Maulidi Kitenge eti akiwa nje ya nchi anatujuza kilichomo kwenye magazeti na kwa mbwembwe nchi alipo kisha watangazaji waliopo Dar huendelea na kutujuza kilichomo kwenye magazeti hayo hayo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Thubutuuuu eti humjui KitengeKitenge ndiyo Nani?