mkuu ni vyema ukajifunza kwanza kuliko kukurupuka na kutaka kujiingiza kwenye biashara hiyo kwani unaweza ilizwa bure
halafu ujijutie maishani mwako, anza kujifunza nini unataka kufanya kwenye online marketing kisha ndo ujiingize

asante dada ndyo maana nikaja hpa coz Kuna mtu Ana insist Sana nijiunge ILA niliona sio vyema nijiunge bila kufanya utafiti ,nadhani tunaweza share km Una experience na hii aina ya biashara
kaka online business zipo nyingi na zipo za aina tofauti. kwanza hujanieleza kiuwazi uwazi ni aina gani ya biashara unotaka kufanya. ?? huyo mtu aneyekushawishi unamjua? ni mtu wako wa karibu? au amepata email yako tu anataka akuingize mkenge??
kwa nini awe anakushawishi wewe na si mtu mwengine? mjomba wake? kaka yake? etc
ukimtumia hela akienda kinyume na makubaliano unapo pa kumkamatia?? lazima uwe mwangalifu sana. usije ukatuma shillingi yako bila ya kuiwekea guaratee.
kuna regulating powerfull body baina yenu??
kuna maswali chungu nzima ya kujiuliza?
ukikosea jibu imekula kwako
natumai nimekusaidia