Dyudyu project

Dyudyu project

Nashangaa hiyo project kutangazwa Hadi kwenye TV na radio, Ama kweli Kuna sehemu tumepotea kama Taifa
 
Nashangaa hiyo project kutangazwa Hadi kwenye TV na radio, Ama kweli Kuna sehemu tumepotea kama Taifa
alikua ana lengo zuri sema kaanika kiini cha mawazo yake hadharani
 
alikua ana lengo zuri sema kaanika kiini cha mawazo yake hadharani
Alitakiwa atafute maneno yenye staha kupromo ishu yake.

Binafsi nahisi ni tamaa ya fedha iliyopelekea Hadi TV na radio kutoona mapungufu kwenye hilo tangazo.

Sijui lakini ukienda usisahau kutupa marejesho.
 
Alitakiwa atafute maneno yenye staha kupromo ishu yake.

Binafsi nahisi ni tamaa ya fedha iliyopelekea Hadi TV na radio kutoona mapungufu kwenye hilo tangazo.pia jana aliulizwa akasema hakuna la kuficha kila mtu anajua dyudyu
 
Back
Top Bottom