masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 17,581
- 20,216
- Thread starter
- #41
kuwa mchaga sio issue daktari anaweza akawa anaumwa ila anatibu wenzakemchaga na dyudyu wapi na wapi... kushughurika hamuwezi afu mnataka kufikishwa kileleni!!!
Makungwi na watoa somo waliokubuhu kwenye fani ukifata ushauri wao jinsi ya kumuhudumia mume kitandani mume hawezi kukuacha ki ukweli
lakini cha ajabu wengi wao hawana waume teh teh
sio lazima mganga ajigange