Dyudyu project

Dyudyu project

kuwa mchaga sio issue daktari anaweza akawa anaumwa ila anatibu wenzake



Makungwi na watoa somo waliokubuhu kwenye fani ukifata ushauri wao jinsi ya kumuhudumia mume kitandani mume hawezi kukuacha ki ukweli
lakini cha ajabu wengi wao hawana waume teh teh

sio lazima mganga ajigange

mmh ila wachagga ni janga la mapenzi... uzuri na wao wanajijua tu!!! acha waendelee kutafuta hela
 
Hizi project nazo!!! Kila la kheri zake maana madyudyu yako kibaoo.
 
Kubwaaaa kupita yote mlete mrejesho mtaoenda mana mm dyudyu iko pouwa na inatumika n w
 
Back
Top Bottom