DW radio yamkaanga rais Magufuli

DW radio yamkaanga rais Magufuli

Waangaliwe wakulima gani sisi wakulima tunashida kuliko hata wapinzani kwani tumelima kwa shida, pembejeo taabu, tumevumilia yote. Tumevuna tunaambiwa marufuku kutafuta solo zuri nnje ya mkoa wako au hata nnje ya nchi hii.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Again bahati mbaya kwako pia, walikuwepo watu kama huyo Magufuli enzi na enzi na waliishia pabaya sana tena sana ni swala la muda tu.

Cheers!!


Hata musa alipita. ...japo aliwatoa israel utumwani walimnungunikia sembuse magufuli. Walahatuoni ajabu. GHADAFI alileta maji jangwani libya ikaneemeka na bado walimuua kwa kumdhalilisha sembuse Magu.

Mi nakushauri deal na hali yako. Tenda mema kwa nafasi yako Acha matusi na kufulu ili na wewe uje kuhesabiwa kwa wakati wako.
 
Hali mbaya kwako. Binafsi nchi inaenda sawa na utii wa sheria lazima uwepo. Mnaopenda miteremko lazima mchukizwe na huu utawala.

Hii sababu hupenda kutumiwa na Wajinga kuficha mapungufu yao ,unapayuka tu kama Kasuku ..
 
Hivi kweli ya bombardier Q400 iliyozuiliwa huko Canada na USD 12.5 M iliyolipwa kwa kodi zetu tungeyajuaje? TAL is my hero!
Ufinyu wa fikira.

Wewe mdeni wako akija akakudai nyumbani na jiran yako akatangaza Mtaa wa pili ni ushindi au fedheha ya kukufanya usiishi kwako?

majaribu tumeumbiwa, ila ole wake yeye ayasababishae yashamiri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nasema, sio DW pekee. Mpaka kufikia 2019 media zote za kimataifa na zile za hapa nyumbani zitafichua na kubainisha uovu huu unaofanywa na serikali ya Magufuli dhidi ya wananchi.
Hivi uovu gani? ? Mbona una exaggerate?
Taj a huo uovu tone.
 
Katika taarifa ya habari ya Leo jioni redio DW Deutsche Welle, imetoa tahariri ndefu inayo onyesha jinsi serikali ya Tanzania ilivyoshindwa kuendesha nchi badala yake serikali hiyo kutumia nguvu kubwa kulazimisha watu kukubali matakwa yake.

Wameendelea kuonanga serikali ya Tanzania kuwa ni serikali isiyofwata sheria na hata polisi nao wameshindwa kufwata sheria ktk kutimiza majukumu yao badala yake wanafanya kazi kulingana na matamko yansyotolewa na viongozi wa serikali.

Wametolea mfano jinsi wanasiasa wa wapinzani wanavyo kamatwa na kufunguliwa kesi zisizo na kichwa wala miguu ambazo kisheria hazina mashiko.

Wameonyesha wasiwasi mkubwa kuwa kwa sasa nchi inakoelekea siko kwani hata vyombo vya habari, mahakama na bunge vimekuwa passive isipokuwa mhimili mmoja tu wenye nguvu.

Pia wameonyesha kuwa serikali ya sasa kutokana na udhaifu wake imekuwa tayari kuhakikisha migogoro ndani ya vyama vya siasa ili kuvipunguza nguvu na wakatolea mfano CUF

Mwisho walimunukuu mh Tundu Lissu kuwa kwasasa nchi iko stage ya kwanza ya udikteta yaani u dikiteta uchwara
Kila safari huanza na hatua moja; tuombe jahazi lifike ufukweni salama!!!!
 
"Stage ya I ya udikteta ni udikteta uchwara"[emoji654]Lissu

May Allah bless Me and You
 
weka audio ya huo uchambuzi kwakua ulichokiandika hakileti maana.

zaidi ya hapo dw na bbc wanafahamia toka awali wameelemea wapi. kwakua kama ni vyombo huru wangetumia nafasi hii kumhoji na msemaji wa serikali ili story ibalance.
 
Tatizo kubwa ni kwamba hii redio husikilizwa hadi vijijini ndani ndani kabisa tangu enzi za wahenga,
africa nzima pia,
kwamfano hapa chibtoke,burundi tunaipata vizuri kabisa
Tangu enzi za Short Waves aka SW.
Mie ni mdau wa hiyo redio tangu na tangu na huwa napata vitu vingi wananitumia,juzi nimekuta zawad ya mfuko wa DW

May Allah bless Me and You
 
Bahati mbaya vyovyote unavyokashifu haiwezi kumbadilisha Mh. Rais katika mapambano yake ya kuinyoosha nchi. So it is either utii sheria bila shuruti au ulazimishwe kutii sheria. Endelea kukashifu maana ndilo jambo pekee unaloliweza kwa sasa.
Kweli,Kimara wananyooka

May Allah bless Me and You
 
Zamu yetu Mkuu maana mie Dotto James nimejilipa Milioni 18 na hakuna watakachonifanya Mkuu mwenyewe ndiyo uncle.Zamu yetu tu acheni tukate tu
Alijilipa by check or cash. Au baada ya kuona makaratasi ya majina na tarakimu hapa Jf ukaona ni kweli? Umelidhibitishaje? Acha kusambaza uongo
 
Back
Top Bottom