MENGELENI KWETU
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 9,557
- 24,182
Ukweli mchungu kwa serikali ya CCM.
kwahiyo wametangaza uongo?Hiyo redio huwa inapendelea Wapemba, watangazaji wake ni mrengo wa CUF
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi kweli ya bombardier Q400 iliyozuiliwa huko Canada na USD 12.5 M iliyolipwa kwa kodi zetu tungeyajuaje? TAL is my hero!Hawajakosea.! Kwakweli tundu antipas anahitaji pongezi za kipekee kwa kutunyoshea nchi, isingekua tundu mengine tusingeyajua, huyu ndio anafaa kupongezwa!
Mbona hii hali bado cha mtoto subirini kuona sura zenu zilizo choka baada ya hapo muanze kuishi km mashetani Kwanza hatuwataki mjini mkalime kazi kulalamika njaa mlituchagua acheni tufanye kazi siasa 2020 Mwaka 2019 tutaachia na mulivyo na kale ka ugonjwa ambako hakana dawa kale kakusahau mta tuchagua tena ili tuwaletee maendeleo ya viwanda Hakuna kuvaa mitumba badala yake sisi tuta wauzia wao mitumba tena kwa bei Rahisi hata miswaki used tuta wapelekea mabomba yatatoa MaziwaKatika taarifa ya habari ya Leo jioni redio DW imetoa tahariri ndefu inayo onyesha jinsi serikali ya Tanzania ilivyoshindwa kuendesha nchi badala yake serikali hiyo kutumia nguvu kubwa kulazimisha watu kukubali matakwa yake.
Wameendelea kuonanga serikali ya Tanzania kuwa ni serikali isiyofwata sheria na hata polisi nao wameshindwa kufwata sheria ktk kutimiza majukumu yao badala yake wanafanya kazi kulingana na matamko yansyotolewa na viongozi wa serikali.
Wametolea mfano jinsi wanasiasa wa wapinzani wanavyo kamatwa na kufunguliwa kesi zisizo na kichwa wala miguu ambazo kisheria hazina mashiko.
Wameonyesha wasiwasi mkubwa kuwa kwa sasa nchi inakoelekea siko kwani hata vyombo vya habari, mahakama na bunge vimekuwa passive isipokuwa mhimili mmoja tu wenye nguvu.
Pia wameonyesha kuwa serikali ya sasa kutokana na udhaifu wake imekuwa tayari kuhakikisha migogoro ndani ya vyama vya siasa ili kuvipunguza nguvu na wakatolea mfano CUF
Mwisho walimunukuu mh Tundu Lissu kuwa kwasasa nchi iko stage ya kwanza ya udikteta yaani u dikiteta uchwara
Ulisikiliza au nawewe umeikuta hapahapa!!??Wameelezea vizuri sana.
Tunaelekea kwa rafiki yetu mpendwa El Sisi, tukifuata ushauri wa PK ng'ambo ya Rusumo.Katika taarifa ya habari ya Leo jioni redio DW imetoa tahariri ndefu inayo onyesha jinsi serikali ya Tanzania ilivyoshindwa kuendesha nchi badala yake serikali hiyo kutumia nguvu kubwa kulazimisha watu kukubali matakwa yake.
Wameendelea kuonanga serikali ya Tanzania kuwa ni serikali isiyofwata sheria na hata polisi nao wameshindwa kufwata sheria ktk kutimiza majukumu yao badala yake wanafanya kazi kulingana na matamko yansyotolewa na viongozi wa serikali.
Wametolea mfano jinsi wanasiasa wa wapinzani wanavyo kamatwa na kufunguliwa kesi zisizo na kichwa wala miguu ambazo kisheria hazina mashiko.
Wameonyesha wasiwasi mkubwa kuwa kwa sasa nchi inakoelekea siko kwani hata vyombo vya habari, mahakama na bunge vimekuwa passive isipokuwa mhimili mmoja tu wenye nguvu.
Pia wameonyesha kuwa serikali ya sasa kutokana na udhaifu wake imekuwa tayari kuhakikisha migogoro ndani ya vyama vya siasa ili kuvipunguza nguvu na wakatolea mfano CUF
Mwisho walimunukuu mh Tundu Lissu kuwa kwasasa nchi iko stage ya kwanza ya udikteta yaani u dikiteta uchwara
Katika taarifa ya habari ya Leo jioni redio DW imetoa tahariri ndefu inayo onyesha jinsi serikali ya Tanzania ilivyoshindwa kuendesha nchi badala yake serikali hiyo kutumia nguvu kubwa kulazimisha watu kukubali matakwa yake.
Wameendelea kuonanga serikali ya Tanzania kuwa ni serikali isiyofwata sheria na hata polisi nao wameshindwa kufwata sheria ktk kutimiza majukumu yao badala yake wanafanya kazi kulingana na matamko yansyotolewa na viongozi wa serikali.
Wametolea mfano jinsi wanasiasa wa wapinzani wanavyo kamatwa na kufunguliwa kesi zisizo na kichwa wala miguu ambazo kisheria hazina mashiko.
Wameonyesha wasiwasi mkubwa kuwa kwa sasa nchi inakoelekea siko kwani hata vyombo vya habari, mahakama na bunge vimekuwa passive isipokuwa mhimili mmoja tu wenye nguvu.
Pia wameonyesha kuwa serikali ya sasa kutokana na udhaifu wake imekuwa tayari kuhakikisha migogoro ndani ya vyama vya siasa ili kuvipunguza nguvu na wakatolea mfano CUF
Mwisho walimunukuu mh Tundu Lissu kuwa kwasasa nchi iko stage ya kwanza ya udikteta yaani u dikiteta uchwara
sheria gani unaijua wewe kula kulala .Bahati mbaya vyovyote unavyokashifu haiwezi kumbadilisha Mh. Rais katika mapambano yake ya kuinyoosha nchi. So it is either utii sheria bila shuruti au ulazimishwe kutii sheria. Endelea kukashifu maana ndilo jambo pekee unaloliweza kwa sasa.
Hawana akili/elimu ya Biashara wasome hata ''Entrepreneurship''Naunga mkono hoja. Hata uchumi umeshuka. Ni mjinga tu atakayepinga maelezo haya. Mzunguko wa fedha nchini ni mgogoro maana fedha tumezivundika Benki kuu ziive kama ndizi. Ajabu sana!
Sent using Jamii Forums mobile app
anabomoa nchi nadhani Mungu katuletea aina ya shetani ili tutie akiliNi bahati mbaya kelele zao haziwezi kumumfanya Mh. Rais aache kuinyoosha nchi. Wanapowaangalia akina Lissu basi wangekuwa wanawaangalia na wakulima pia. Lissu ni mpayukaji kukamatwa ni hadhi yake anayostahili.
Na hayo ndiyo mambo tunayosema kila siku hapa, kwa hiyo si DW tu wanaoona haya, hata sisi Watanzania tunaotumia uchambuzi usio na mahaba wala inda tunaona hayo na kuyasema kila siku hapa.Katika taarifa ya habari ya Leo jioni redio DW imetoa tahariri ndefu inayo onyesha jinsi serikali ya Tanzania ilivyoshindwa kuendesha nchi badala yake serikali hiyo kutumia nguvu kubwa kulazimisha watu kukubali matakwa yake.
Wameendelea kuonanga serikali ya Tanzania kuwa ni serikali isiyofwata sheria na hata polisi nao wameshindwa kufwata sheria ktk kutimiza majukumu yao badala yake wanafanya kazi kulingana na matamko yansyotolewa na viongozi wa serikali.
Wametolea mfano jinsi wanasiasa wa wapinzani wanavyo kamatwa na kufunguliwa kesi zisizo na kichwa wala miguu ambazo kisheria hazina mashiko.
Wameonyesha wasiwasi mkubwa kuwa kwa sasa nchi inakoelekea siko kwani hata vyombo vya habari, mahakama na bunge vimekuwa passive isipokuwa mhimili mmoja tu wenye nguvu.
Pia wameonyesha kuwa serikali ya sasa kutokana na udhaifu wake imekuwa tayari kuhakikisha migogoro ndani ya vyama vya siasa ili kuvipunguza nguvu na wakatolea mfano CUF
Mwisho walimunukuu mh Tundu Lissu kuwa kwasasa nchi iko stage ya kwanza ya udikteta yaani u dikiteta uchwara
Hiyo redio huwa inapendelea Wapemba, watangazaji wake ni mrengo wa CUF
Sent using Jamii Forums mobile app