Wewe ungependwa uitwe nyani?huko ndiko wanakosema kuna demokrasia.
kwahiyo ingekuwa tanzania angeachwa tu aendelee kuishi na kutukana watanzania kwa kuwa hakuna demokrasiahuko ndiko wanakosema kuna demokrasia.
Wewe ungependwa uitwe nyani?
Demokrasia ipo ndio maana wamechukua hatua
Ni ndugu yetu wa RUmuMBA.. Timvumilie tu hatina namna...!kwahiyo ingekuwa tanzania angeachwa tu aendelee kuishi na kutukana watanzania kwa kuwa hakuna demokrasia
Mimi nadhani huo ni Udikteta kwa maana kila mtu anao uhuru wa kutukana anavyopenda, si ndivyo mnavyotaka nyie kupewa ruhusa ya kutukana??Wewe ungependwa uitwe nyani?
Demokrasia ipo ndio maana wamechukua hatua
Wote ni wale wale tuu... Tofauti ni moja tu yeye kaongea mitandaoni wao wanatutetaAkifika kwao anyongwe mara moja. Haiwezekani serikali yao inapambana kujenga mahusiano mazuri ya kidiplomasia na Afrika ili wawapatie sehemu mbadala ya kufanyia shughuli za uchumi halafu yeye analeta ujinga!
Sisi tunawaenzi, eti wawekezaji wasibaguliwe
Kumbe hiyo ndiyo maana ya demokrasia?huko ndiko wanakosema kuna demokrasia.
Demokrasia ipo Uganda kwa Bobi Winehuko ndiko wanakosema kuna demokrasia.
Tafsiri ya demokrasia kwa upinzani ni kutukana.Kumbe hiyo ndiyo maana ya demokrasia?
Wapinzani wakitumia neno demokrasia wanamaanisha kutukana kadri mtu ajisikiavyo.Kumbe hiyo ndiyo maana ya demokrasia?
Huyu hapa. Ingekuwa bongo sijui angefanywaje, maana kukosoa tu risasi 36.View attachment VID-20180907-WA0001.mp4