Wakuu,
Leo nimefanikiwa kutazama kwa kifupi DVD ya matukio ya kisiasa na Mauaji ya Arusha, ikiwa imeandaliwa katika mfumo wa Documentary..
Sijafanikiwa kuwajua walioandaa, lakini ni kwamba ilikuwa inagombaniwa sana na wanunuzi, mimi nimekosa nakala, nikalazimika kuazima kwa jamaa yangu ili niitazame kidogo...Inaleta hisia za aina yake.
DVD hiyo inakwenda kwa jina UKIUKWAJI WA DEMOKRASIA, na imenakshiwa kwa bendera ya Taifa kwa juu, na inatembea kwa muda wa dakika 32.
Sina uhakika kama ndiyo iliyoandaliwa na cdm, au ni wajasiriamali wa mitaani. Tulijaribu kuifanyia utundu tuiweke hapa, lakini imedhibitiwa, haikubali kukopiwa.
Inauzwa tshs 6000/- tu...
Ni ya ukweli mkuu!
Usiwe na wasiwasi mkuu. Ikipatikana copy moja tu itaenezwa dunia nzima within a minute. Subiri niipate.Wapo wataalamu wa ICT humu jamvini nadhani watusaidie kukopi ili iwekwe humu na Youtube
Wapo wataalamu wa ICT humu jamvini nadhani watusaidie kukopi ili iwekwe humu na Youtube
Ama kweli kufa kufaana! kama ni ukiukwaji wa demokrasia si ingetolewa bure?? sh. 6000/= ndugu wa marehemu wametoa kibali cha kutumia vifo vya ndugu zao au watapata mgao? If you ask me huyo aliyetengeneza hizo CD ni wa kufunga. Kumbe kuna agenda ya kibiashara katika hizi vurugu? That is what they call blood money !!!!!!!!!!!!! hazitamsaidia muuzaji Shame on you all. I hope uongozi wa CDM hauhusiki na hii biashara haramu!!!
Usiwe na wasiwasi mkuu. Ikipatikana copy moja tu itaenezwa dunia nzima within a minute. Subiri niipate.
Ukweli unabaki palepale kwamba ni vigumu mno kukidanganya kizazi hiki cha .com Ukweli huu ndiyo unafafanua kwa nini CCM iliyobweteka kwa miango kadhaa bila ya kufanya mabadiliko ina wakati mgumu sasa kuliko wakati wowote tangu iasisiwe. Mimi sijaiona (Lakini nitaitafuta) ila naona uongo wa Saidi Mwema, Chagonja na Pinda unakaribia mwisho wake. Hongereni kizazi kipya!!!! Tanzania itakombolewa na ninyi.Inauzwa tshs 6000/- tu...
Ni ya ukweli mkuu!
Ama kweli kufa kufaana! kama ni ukiukwaji wa demokrasia si ingetolewa bure?? sh. 6000/= ndugu wa marehemu wametoa kibali cha kutumia vifo vya ndugu zao au watapata mgao? If you ask me huyo aliyetengeneza hizo CD ni wa kufunga. Kumbe kuna agenda ya kibiashara katika hizi vurugu? That is what they call blood money !!!!!!!!!!!!! hazitamsaidia muuzaji Shame on you all. I hope uongozi wa CDM hauhusiki na hii biashara haramu!!!
Acha unafiki. Na kina Mwema na Chagonja walipotoa ya kuwadhalilisha waliojeruhiwa na kuuwawa tuwashtaki wapi? Tena yao ilikuwa ya kupotosha kwelikweli. Sisi tinaitaka ili tupime ukweli uko wapi na nina uhakika wananchi wakiona jinsi mlivyopotosha hawatawaamini tena nyinyi na huyo mdudu wenu mnayemwita CCM.Ama kweli kufa kufaana! kama ni ukiukwaji wa demokrasia si ingetolewa bure?? sh. 6000/= ndugu wa marehemu wametoa kibali cha kutumia vifo vya ndugu zao au watapata mgao? If you ask me huyo aliyetengeneza hizo CD ni wa kufunga. Kumbe kuna agenda ya kibiashara katika hizi vurugu? That is what they call blood money !!!!!!!!!!!!! hazitamsaidia muuzaji Shame on you all. I hope uongozi wa CDM hauhusiki na hii biashara haramu!!!