Dvd, vcd zinatakiwa. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dvd, vcd zinatakiwa.

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Kashaija, Oct 30, 2009.

 1. K

  Kashaija JF-Expert Member

  #1
  Oct 30, 2009
  Joined: Aug 7, 2008
  Messages: 255
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Waheshiwa naomba msaada wa mawazo,

  Tafadhali nielekeze ninapoweza kupata DVD au VCD za tuition za watoto wa kati ya miaka 3 hadi 8. Ziwe ni zenye maudhui ya shule, zenye kufundisha kiingereza cha kuongea, hesabu n.k.

  Nafanya hivyo kwasababu nadhani ni vizuri baada ya muda wa shule wakaendelea kujifunza kwa njia hiyo kuliko kuangalia mambo ya ajabu kwenye TV.

  Naomba msaada.
   
Loading...