Mndengereko JF-Expert Member Joined Mar 24, 2011 Posts 7,326 Reaction score 3,446 Jul 17, 2013 #1 heshima kwenu wana jamvi nina shida na dvd empty za gb 8 au 9,mwenye kujua wapi zinapatikana naomba anisaidie,nimeishia kupata za gb 4.7, nipo dar natanguliza shukrani.
heshima kwenu wana jamvi nina shida na dvd empty za gb 8 au 9,mwenye kujua wapi zinapatikana naomba anisaidie,nimeishia kupata za gb 4.7, nipo dar natanguliza shukrani.
Iyokopokomayoko JF-Expert Member Joined Sep 15, 2011 Posts 1,785 Reaction score 444 Jul 17, 2013 #2 Nilikuwa nazipata duka la Qprint lipo posta pale mbele kidogo ya ukumbi wa habari na maelezo, walikuwa wakiuza elfu 5 wakati ule sijui kwa sasa.
Nilikuwa nazipata duka la Qprint lipo posta pale mbele kidogo ya ukumbi wa habari na maelezo, walikuwa wakiuza elfu 5 wakati ule sijui kwa sasa.
Mndengereko JF-Expert Member Joined Mar 24, 2011 Posts 7,326 Reaction score 3,446 Jul 17, 2013 Thread starter #3 nitaenda kucheki tommorow,hope zitakuwa zimeshuka bei thanks for info by the way!
N Nyasiro JF-Expert Member Joined Feb 20, 2012 Posts 1,201 Reaction score 551 Jul 17, 2013 #4 zipo hata maduka ya kawaida mi nilinunua zamani kidogo huku musoma ila nilishindwa ku-burn... so tafuta machine yenye nguvu ili uweze kuichoma.
zipo hata maduka ya kawaida mi nilinunua zamani kidogo huku musoma ila nilishindwa ku-burn... so tafuta machine yenye nguvu ili uweze kuichoma.