Duuuh wanaume wa dar sio poa

Watu wanamwaga povu sio la mwaka huu[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kufanyiwa Hiyo Huduma Siyo Tatizo But Nani Anayekufanyia Me kwa Me[emoji808][emoji808][emoji808][emoji808][emoji808][emoji808]

Me kwa Me[emoji736][emoji736][emoji736][emoji736][emoji736][emoji736][emoji736][emoji736][emoji736]
Ke Kwa Me[emoji818][emoji818][emoji818][emoji818][emoji818][emoji818]

Massage,
Scrub,
Magic, Nk....
Ishu ni Jinsia Gani inafanya hyo service... Wamikoani Mkija Dar kila Kitu kwenu Ni Ushamba
Tu

Hpo JamAa anaondoa Cement miguuni.


@m G00d Br0ther
 
Wanaume wa dar punguzeni kuwagegeda wadada wa mkoani Kwani jamaa vivulana wao wanaliaaliaa sana

Ova
 
Sidhan kama kufanya manicure [emoji140] au pedicure ni ishu kiivo, ni smartness ya mtu tu mkuu. Sio mtu unashindwa hata kujiachia na pensi na sendozi maana hiyo mikucha hata haitamaniki. Huu ni umaridadi tu wala sio ushoga-oriented kama watu wanavyodhani
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…