Duuh! Hii sasa kali.. kila siku jipya kuhusu Lulu


nahisi unahasira fulani sasa uwongo hapo ukowapi? nikatika kufupisha tu jina, always majina ya Koku yanaendelea lakini nilikuwa namaanisha Padri/Mchungaji hawezi kubatiza mtoto jina la kokutona au Kokubelwa au Kokusima pasipo jina lingine la Kikristo au ulitaka nitaje kwa urefu? hope ulinielewa. Mbona anaitwa Lulu ndio limezoeleka wakati kwenye Birth cert hana? Sio wote wanapenda kutumia majina yao yote cheti kinaonyesha majina mawili lakini unajikuta unatumia jina moja ila baadhi ya ndugu zako wakaribu au katika ukuaji wako wanalifahamu jina hilo. Kama anamakosa atafungwa, acha sheria ifuate mkondo wake. Sio mwanasheria ndio atamsababishia kifungo kwa ajili ya jina?
 
Jamani ndo maana twashauriwa katika kazi tutumie majina yaliyopo katika vyeti vya kuzaliwa...ni kwel hata mie nina majina matatu lakini sikuweza kutumia jina la ubatizo kwenye cheti cha kuzaliwa...hata hivyo haya ni ya ngoswe abaki nayo mwenyewe!
 
Kweli ww ni mbumbumbu tena plus,ss hapo la ajabu ni lipi?kwani lazima upost umbea wako hapa,kama vp kaombe kazi kwenye magazeti ya udaku huko hapa si mahali pako,je ni mara yako ya kwanza kuona mtu anaitwa Maria Consolatha,Diana Rose,Maria Renalda nk?lol!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…