Yani mwanamke unampenda na kuonyesha mapenzi yako kwake lakini yeye wapi! kweli nimeamini kupenda sio kazi, kazi ni kumpata akupendae kwa dhati
Unaona kazi kwa vile tu hujanipata mimi
Yani mwanamke unampenda na kuonyesha mapenzi yako kwake lakini yeye wapi! kweli nimeamini kupenda sio kazi, kazi ni kumpata akupendae kwa dhati
Haaaaa!
...kumbe na wewe unapatikana???
Nimeshapatikana
Yani mwanamke unampenda na kuonyesha mapenzi yako kwake lakini yeye wapi! kweli nimeamini kupenda sio kazi, kazi ni kumpata akupendae kwa dhati
Yani mwanamke unampenda na kuonyesha mapenzi yako kwake lakini yeye wapi! kweli nimeamini kupenda sio kazi, kazi ni kumpata akupendae kwa dhati
Bujibuji lete updates, bravo presdaaMagufuli amsimamisha kazi Mkurugenzi wa Muhimbili baada ya kutembelea hospital hiyo na kukuta Vifaa/vipimo vya MRI na CT-Scan hazifanyi kazi kwa kipindi Cha miezi 2 wakati MRI na CT-Scan za hospital za watu binafsi zinafanya kazi.
Stay tuned for more details.
Mkuu fanya vaisi vesa, ukiwa na demu usimpende, be rude!! Kama kumpenda mpende kwa 20% tu...ukizidisha imekula kwako!!!
Yani mwanamke unampenda na kuonyesha mapenzi yako kwake lakini yeye wapi! kweli nimeamini kupenda sio kazi, kazi ni kumpata akupendae kwa dhati
alikutokea mumy?Unaona kazi kwa vile tu hujanipata mimi