Duu! Kweli mapenzi hayatendi haki

Yani mwanamke unampenda na kuonyesha mapenzi yako kwake lakini yeye wapi! kweli nimeamini kupenda sio kazi, kazi ni kumpata akupendae kwa dhati

Pole sana Mkuu katusyo, na wewe umepewa za uso kama mimi?
 
Last edited by a moderator:
Halafu ukishamfanyia visa anachoka anakimbilia kwenye pumziko unakosa mwanamke !
Nadhani hukunielewa!!! sio kumfanyia visa, wanawake mlivyo mkionyeshwa mnapendwa vituko ndani haviishi

akupendae kwa kuigiza ukatili

Na kwanini mtu aigize ukatili? ni bora uachwe kwa kuwa katili kulikouachwa kwa kumwonyesha upendo mwanamke!!
 
Wanapenda wanaume makatili hao.Mfanyizie ukauzu uone anavyojirudi chap chap.Tatizo mtoa mada umemdekeza sana mwanamke wako hadi amemudu kukudharau
 
Back
Top Bottom