Duu kumbe inalipa

Duu kumbe inalipa

tamimusalim

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2014
Posts
1,822
Reaction score
501
Jamani sikuamini kweli lowassa chaguo la mungu kwetu yaani

Nilipata tsh 300000 ( laki 3) kwa watu walioingia katika banda langu kutokana na tangazo hili!!

ImageUploadedByJamiiForums1440856331.333732.jpg

Naomba tanesco endeleeni kukata umeme daaaa!!! Kumbe inalipa hivyoo
 
Usisahau kutoa fungu la kumi kamfereji kasije kakaziba.
 
Leo tanesco wamekata umeme na nimelipa buku plus bia ili nione mambo ya ukawa hapa kwa boni masawe ipo ipo kihonda
 
Imenilipa sana nimetoa buku 2 ya kiwese tu ndani ya kilo 3
 
Nimeuziwa soda buku mbili baadae nikanunua maji makubwa ya Kilimanjaro kwa buku bee unusu! Wakati kila siku bei zilikua za kawaida sana ila kila umeme ulipozingua tu mwenye Bar alikua anawasha jenereta faster sana
 
Jamani sikuamini kweli lowassa chaguo la mungu kwetu yaani

Nilipata tsh 300000 ( laki 3) kwa watu walioingia katika banda langu kutokana na tangazo hili!!

View attachment 281752

Naomba tanesco endeleeni kukata umeme daaaa!!! Kumbe inalipa hivyoo

Huo ujasiriamali 👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽 usiache fursa ikupite
 
Ina maana banda lako lina uwezo wa kubeba idadi ya watu 600??
Maana 300,000 gawa kwa 500 tunapata 600.
Ni banda au ukumbi??
 
Ina maana banda lako lina uwezo wa kubeba idadi ya watu 600??
Maana 300,000 gawa kwa 500 tunapata 600.
Ni banda au ukumbi??

Kumbe baadhi ya watu mnakuwa na fikiri sana naona hamna mtu aliegundua hiki , ukqeli si rahis hivyo
 
Ina maana banda lako lina uwezo wa kubeba idadi ya watu 600??
Maana 300,000 gawa kwa 500 tunapata 600.
Ni banda au ukumbi??

Mimi ni mfuasi wa Lowasa lakini mtoa mada hebu jibu hii concern tafadhali
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom