Duu kavua kweli

Duu kavua kweli

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Daaaah hivi huyu jamaa kikwao Kangi haina maana ya aina fulani ya samaki kweli?
 
Yalaaaaaaaaa.....
Kange kafanya kweliiiiiiii...........

Lakini mbona kabakiza boksa, si alisema atabaki uchi wa mnyama......??
 
Sasa hapo tumbo lipi kifua kipi, maana naona kiwili wili tu kama nyoka[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huo sasa uchochezi labda kama una karatasi ya kijani utapona. Usijali utasota kidogo nitakuja kukutoa.[emoji38]
[emoji30][emoji30][emoji30][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom