KangiNi yule mzee baba wa geshi ra kolokoloniView attachment 1082329
Ni yule mzee baba wa geshi ra kolokoloniView attachment 1082329
Msalie mtume we mwana we!![]()
![]()
![]()
Amalizie na hicho ki boxer
Bado avue na hiyo boxer chafuNi yule mzee baba wa geshi ra kolokoloniView attachment 1082329
Mbona tumbo linadondoka??Ni yule mzee baba wa geshi ra kolokoloniView attachment 1082329
Hahahahahaaa! Hivi akishavua;
-atavaa tena au itakuwa ndiyo fasheni yake "milele"?
-u-waziri utaishia hapohapo au ataendelea kula " mkate wa marehemu"?
-hoja za "sieijii" zitakuwa zimejibika?
-kanuni,sheria ya mavazi itaenda kurekebishwa bungeni?Maana kuna watu nchi hii hawapendi kupitwa na fashion watataka waige.



