duu hii kali...hahahahah

duu hii kali...hahahahah

emma115

Senior Member
Joined
Apr 28, 2012
Posts
135
Reaction score
167
Mume: Hello baby!
Mke: Hello sweety.
Mume: Nitachelewa kurudi leo.
Mke: Nishakujua uko kwa wanawake wako! Jianaume lihuni kama nini! Sijui ilikuaje nikakubali unioe! Nakuchukia kama nini. Sikupendi! Sikupendi!!!
Mume: Niko BENKI hapa.
Mke: Haa! Ulijuaje kama sina pesa, niletee laki 1 baby, nakupenda sana kuliko roho yangu, nakutengezea maji ya kuoga sweety. Usisahau hizo pesa, ninunulie na chips kuku...mwaaaah♥
Mume: NI BENKI YA KUCHANGIA DAMU mpenzi!..
Mke: Nyoooo...waambi -e wakutoe yote!!
 
Duuuu huyo atakuwa kimada wa kichaga na s mke walahi tena anaendekeza mipesa kuliko utu hihi

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Jamani mbavu zangu mpaka nimeshindwa kunywa chai, kwikwikwikwikwikwikwikwikw.....
 
Ahaa!ahaaa!ahaa! Nimecheka na za kesho!!
 
Ni ujanja tu, si unasubiri chai ipoe. Kwi kwi kwi
Umenikumbusha vitabu vya kiswahili shule ya msingi. Babu mjanja alipopewa chai moto na mjukuu wake na kutakiwa kinywa hivyo hivyo ili apate zawadi.

Babu akamzuga kwa kumwambia mjukuu wake, "Wewe ni mtoto mtiifu, wazazi wako wanakusifu, tazama wale siafu", kumbe akisema hivyo alikuwa anapuliza chai fuuuuuuu...alipomaliza kusema hivyo akainywa chai yote mjukuu akabaki mdomo wazi.
 
Manager umetisha na hiyo stry ya babuuu

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom