Dutch slash aid to Tanzania and some other countries

Rumishaeli

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
227
72
"..I feel we support some countries that really don’t give a shit about their own people.." - Sjoera Dikkers (MP)

The Netherlands wants to terminate its development cooperation with 15 countries including Bolivia, Tanzania, Zambia and former Dutch colony Surinam. The newspaper Trouw has obtained a copy of a government draft proposal to this effect.
At present, the Netherlands maintains development relations with more than 30 countries. The cabinet is expected to take a decision before the end of this month which will have to be approved by parliament. Egypt is reportedly still the subject of much discussion because of recent developments there and its pivotal role in the Arab world.
In drafting the list of countries eligible for continued Dutch development aid, the government has reportedly used two criteria: the added value of the Netherlands as donor country and the national interests of the Netherlands.
Fifteen countries will remain 'partner countries': Benin, Ethiopia, Mali, Mozambique, Rwanda, Uganda, Afghanistan, Burundi, Yemen, the Palestinian Territories, Sudan, Bangladesh, Ghana, Indonesia and Kenya (source: www.rnw.nl)
 
Bora wajitoe hatuona manufaa badala yake wananufaika wachache , bora watuache tupigike ndipo akili itavujia.maana shida ITATUFUNDISHA KUJITEGEMEA
 
Wajitoe tu. Maana mijitu ina vitambi wakati hazina imekauka mtu kama EL anakula hadi rushwa ya miatano.
 
Rais Mkapa alishaona maono tizama video ya mahojiano yake akiwa Udachi (Uholanzi):

  • madhara ya kutegemea mjomba
  • ubaya wa makampuni ya kimataifa
  • Tanzania lazima ikusanye kodi yake kwa maendeleo ya kweli
 
Last edited by a moderator:
Mchangiaji Namba 2 & 4 kabla ya kufikia kuandika mlichoandika mngedadisi ni eneo gani hawa Wadachi wanatusaidia. Kwa taarifa yako makampuni ya Kidachi yamesaidia sana kukuza Kilimo cha maua na mbegu, na KLM ni moja ya kampuni ya kipekee ambayo imeendelea kutua KIA. Huwezi kuwa na KILIMO KWANZA bila kuwa na MBEGU BORA
 
Naliunga mkono hili swala huyo MP ameongea points, ikiwa Mafisadi wanaopekea hiyi misaada wanaviita vijisenti. Bora wasiwape tena hivyo vijisenti maana ndio vilivyokuwa vinawapa jeuri ya kutudharau sisi wananchi.
 
Mchangiaji Namba 2 & 4 kabla ya kufikia kuandika mlichoandika mngedadisi ni eneo gani hawa Wadachi wanatusaidia. Kwa taarifa yako makampuni ya Kidachi yamesaidia sana kukuza Kilimo cha maua na mbegu, na KLM ni moja ya kampuni ya kipekee ambayo imeendelea kutua KIA. Huwezi kuwa na KILIMO KWANZA bila kuwa na MBEGU BORA

mCHANGO WA MAUA KWENYE PATO LA TAIFA NI KIASI GANI????? Mashamba yanayofadhiliwa ni ya akina EL kwani nani asiye jua.Tumechoka na misaada wafute tu tutakusanya kodi kwa nidhamu.Currently the government has no financial descipline it uses money as it wishes without priolitizing issues.Dutch go away
 
nipeni e mail yake /contact.. Naomba akaongee na nchi nyingine za europe nao wafumbuke macho
 
Bora wajitoe hatuona manufaa badala yake wananufaika wachache , bora watuache tupigike ndipo akili itavujia.maana shida ITATUFUNDISHA KUJITEGEMEA

na tukianza kupigika hata hao ccm wenyewe watataka kula nyama ya jk wao!
 
Mchangiaji Namba 2 & 4 kabla ya kufikia kuandika mlichoandika mngedadisi ni eneo gani hawa Wadachi wanatusaidia. Kwa taarifa yako makampuni ya Kidachi yamesaidia sana kukuza Kilimo cha maua na mbegu, na KLM ni moja ya kampuni ya kipekee ambayo imeendelea kutua KIA. Huwezi kuwa na KILIMO KWANZA bila kuwa na MBEGU BORA

Vincent,
Kwa suala la maua ni kweli wako waTZ wanaonufaika na hiki kilimo lakini Wadachi wanapata super profit kwenye haya maua ambayo yanapakiwa kila siku na KLM na yakifika kwao wanaweka lebo yao na kuyauza kwa bei mara dufu huku watu wetu wakiambulia kidogo na wengine wakibaki wanaumwa kansa kutokana na madawa (pesticides) yanayotumika kuua wadudu kwenye hicho kilimo. KLM kuendelea kutua KIA ni kwa ajili ya kuchukua hayo maua na kuleta watalii ambao mbali na kutuletea hizo pesa kidogo za kigeni na wao wananufaika zaidi kwa hao abiria.
 
Japan,norway,sweden,denmark,eu,uk,china nao wasitishe maana pesa yote wanabeba wahindi halafu wanahonga vigari watawala wetu!
 
Rais Mkapa alishaona maono tizama video ya mahojiano yake akiwa Udachi (Uholanzi):

  • madhara ya kutegemea mjomba
  • ubaya wa makampuni ya kimataifa
  • Tanzania lazima ikusanye kodi yake kwa maendeleo ya kweli

Nampenda Mkapa maana kuna vitu anaweza ubaya ni kwamba hataki kuingilia utawala wa Mtu mwingine.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom