Dutch MP refuses to shake hands with Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu

Israeli inasonga mbele na Mungu anazidi kuibariki. Amen
Hakika Mkuu. Mungu wa Mbinguni ashukuriwe kwa jinsi anavyozidi kulifanya agano lake na Ibrahim kuwa imara sawa sawa na ahadi zake. Ashukuriwe kwa jinsi anavyozidi kulithibitisha agano lake kupitia kwa yule mwana wa urithi - Isaka. Ashukuriwe kwa ajili ya Yakobo, naama Israel.

19 Mungu akamjibu, “La! Ila mkeo Sara atakuzalia mtoto wa kiume, nawe utamwita Isaka Nitaliimarisha agano langu kwake na wazawa wake, kuwa agano la milele.

20 “Na, kuhusu Ishmaeli, nimesikia ombi lako. Nitambariki, nitamjalia watoto wengi na kuwazidisha sana. Ishmaeli atakuwa baba wa watawala kumi na wawili, nami nitamfanya kuwa baba wa taifa kubwa.

21 Lakini agano langu litathibitika kwa Isaka ambaye Sara atakuzalia mwakani wakati kama huu.”
 
Waweza kukipa jina chochote kile jinsi upendavyo lakini Mungu ana "nomenclature" yake. Wewe waita Palestina lakini yeye akikitazama kile kipande cha ardhi anaiona Kanaani tena baadaye akaibadili jina Mwenyewe akaiita Israel.
huyu mungu mnaemsingizia huu uuaji iko siku atawashangaa sana.si ndo yeye aliyesema mtu akikupiga shavu la kushoto mgeuzie na la kulia?
akasema samehe saba mara sabini...
akasema nawaachieni amri moja iliyokuu kuliko zote..upendo
akasema usiue
acheni kusingizia kuwa kina nyau wanafanya haya kwa mkono wa mungu...
 
Mkuu, hayo waniambia mimi? Yawafaa wale watendao uovu kwa jina la mungu (wao).
 
Kama huyo jamaa ni kidume inabidi aanze ku boycott vitu vyote vya waisrael.. Tuone kama ataishije

Muone ataishije? Mkuu unaijua the Netherlands au hujawahi hata kuisikia. Kwenye maendeleo wamepiga hatua 5000 mbele zaidi ya Israel.
 
Siongelei utaifa wake.. Try to understand me.. Unajua maana ya ku boycott? (Google this)
So kama yeye ni kidume aanza ku boycott products zilizotengenezwa(gunduliwa) na waisrael.. Hapo nitamuona yeye ni kidume.. Kukataa kutoa mkono hata seif alimkaushia shein(stupid move)
 
Maelezo mengi lakini huna point ya maana.
 
Safi sana mr mp no fake zone kama sikubari mambo yako nakuonyesha sio nafake
 
Hukatazwi kuwa na maandiko yako! Mbona miungu iko mingi? Eti "watatandikwa" hilo neno lenyewe hilo! Limetamkwa na mungu yupi?
Watatandikwa ukipenda usipende wacha kuabudu watu au kabila.kweli miungu wengi ila wa kweli mmoja tu tafakari ndugu mtu anaweza kua na baba wawili?
 
Piga ua US hawezi kuwatupa Israel, US ndio Israel na Israel ndio US, kuna Waisrael wengi ndani ya US kuliko hata Israel kwenyewe na ndio billionaires wa Wall Street wanao control Economy ya dunia nzima,na wamejaa kuanzia NASA, Harvard etc ,Congress zote zimejaa jewish wanaotunga sheria za dunia ,kule sillicon valley nasikia start up nyingi zimeanzishwa na jews,sometimes naanza kukubali hawa watu wamebarikiwa ingawaje wanachofanya naamini mtu yeyote anaweza
 
1474102897185.jpg
 
Nimeingia humu kuona vil.aza wa dini wanaoabudu nchi ya Israeli
 
Piga ua US hawezi kuwatupa Israel, US ndio Israel na Israel ndio US, kuna Waisrael wengi ndani ya US kuliko hata Israel kwenyewe na ndio billionaires wa Wall Street wanao control Economy ya dunia nzima,na wamejaa kuanzia NASA, Harvard etc ,Congress zote zimejaa jewish wanaotunga sheria za dunia ,kule sillicon valley nasikia start up nyingi zimeanzishwa na jews,sometimes naanza kukubali hawa watu wamebarikiwa ingawaje wanachofanya naamini mtu yeyote anaweza
1474103086822.jpg
 
Hivi huyo kiumbe hapo juu ni binaadamu au shetaa*******.[emoji61][emoji61][emoji61][emoji61][emoji61][emoji61]
Maana yeye ni chinjachi******[emoji40][emoji40][emoji40][emoji40]
 
Eti "No Jews"!
"7 Agano langu nitalifanya imara kati ya mimi na wewe, na uzao wako baada yako, na vizazi vyao, kuwa agano la milele, kwamba nitakuwa Mungu kwako na kwa uzao wako baada yako.
8 Nami nitakupa wewe na uzao wako baada yako nchi hii unayoikaa ugeni, nchi yote ya Kanaani, kuwa milki ya milele; nami nitakuwa Mungu wao
."
ukiwa mwelewa utaona kuwa maneno haya aanaambiwa abraham,na abrahamu hakuwa myahudi,na abrahamu ni baba wa mataifa mengi sio wayahudi pekee,
so hawa wayahudi wakaja kufanya spinning ionekane agano la abraham na huyo mungu wake liliwahusu wao peke yao,

anyway hizi ni hadithi tu za kale watu wakaamua kuzitumia kwa maslahi yao
 
Waweza kukipa jina chochote kile jinsi upendavyo lakini Mungu ana "nomenclature" yake. Wewe waita Palestina lakini yeye akikitazama kile kipande cha ardhi anaiona Kanaani tena baadaye akaibadili jina Mwenyewe akaiita Israel.
halafu how come nchi ya caanan imelaaniwa au ni nchi takatifu ile?
 
Siongelei utaifa wake.. Try to understand me.. Unajua maana ya ku boycott? (Google this)
So kama yeye ni kidume aanza ku boycott products zilizotengenezwa(gunduliwa) na waisrael.. Hapo nitamuona yeye ni kidume.. Kukataa kutoa mkono hata seif alimkaushia shein(stupid move)
mbona wanaboycot ,israel mnaioverate sana,
nchi haiko hata kwenye G-20 bana,
nchi inaishi kwa misaada
 
Piga ua US hawezi kuwatupa Israel, US ndio Israel na Israel ndio US, kuna Waisrael wengi ndani ya US kuliko hata Israel kwenyewe na ndio billionaires wa Wall Street wanao control Economy ya dunia nzima,na wamejaa kuanzia NASA, Harvard etc ,Congress zote zimejaa jewish wanaotunga sheria za dunia ,kule sillicon valley nasikia start up nyingi zimeanzishwa na jews,sometimes naanza kukubali hawa watu wamebarikiwa ingawaje wanachofanya naamini mtu yeyote anaweza
so mungu wa israel ni marekani au jehova?,
maana inaonekana mlinzi wa israel ya leo ni mmarekani,
kama ilivyokuwa zamani za kale walikuwa wakilindwa na waasyria ama wamisri na hata wapersia
 
ukiwa mwelewa utaona kuwa maneno haya aanaambiwa abraham,na abrahamu hakuwa myahudi,na abrahamu ni baba wa mataifa mengi sio wayahudi pekee,
so hawa wayahudi wakaja kufanya spinning ionekane agano la abraham na huyo mungu wake liliwahusu wao peke yao,
anyway hizi ni hadithi tu za kale watu wakaamua kuzitumia kwa maslahi yao

Soma hiyo:-
19 Mungu akamjibu, “La! Ila mkeo Sara atakuzalia mtoto wa kiume, nawe utamwita Isaka Nitaliimarisha agano langu kwake na wazawa wake, kuwa agano la milele.

20 “Na, kuhusu Ishmaeli, nimesikia ombi lako. Nitambariki, nitamjalia watoto wengi na kuwazidisha sana. Ishmaeli atakuwa baba wa watawala kumi na wawili, nami nitamfanya kuwa baba wa taifa kubwa.

21 Lakini agano langu litathibitika kwa Isaka ambaye Sara atakuzalia mwakani wakati kama huu.”

Ndugu; sio kila alichoongea Mungu iwe na Ibrahim au mtu mwingine yeyote tangu Adamu hadi leo ni "agano". Kwa mfano, ahadi ya Mungu kwa Ibrahim kwamba Ishmael atakuwa baba wa taifa kubwa sio agano! Siku zote neno AGANO limetajwa katika tawi la Isaka na taratibu limeendelea kuwa "streamlined" kufika kwa mlengwa .... Hapo ndipo mnapokosea ...
 
Eti "No Jews"!
"7 Agano langu nitalifanya imara kati ya mimi na wewe, na uzao wako baada yako, na vizazi vyao, kuwa agano la milele, kwamba nitakuwa Mungu kwako na kwa uzao wako baada yako.
8 Nami nitakupa wewe na uzao wako baada yako nchi hii unayoikaa ugeni, nchi yote ya Kanaani, kuwa milki ya milele; nami nitakuwa Mungu wao
."
Usikariri maisha ww, hilo ni Israel la kale ambapo Mungu alikuwa anaongea nao moja kwa moja. Udhalimu unaofanywa sasa na Israel ukiwa na akili timamu huwezi kuuhisisha na Mungu labda kama una mungu wako unayemfahamu.
 
Back
Top Bottom