Elungata
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 40,343
- 33,506
sina charge,ila mjadala huu ungekuwa mtamu sana,Soma hiyo:-
19 Mungu akamjibu, “La! Ila mkeo Sara atakuzalia mtoto wa kiume, nawe utamwita IsakaNitaliimarisha agano langu kwake na wazawa wake, kuwa agano la milele.
20 “Na, kuhusu Ishmaeli, nimesikia ombi lako. Nitambariki, nitamjalia watoto wengi na kuwazidisha sana. Ishmaeli atakuwa baba wa watawala kumi na wawili, nami nitamfanya kuwa baba wa taifa kubwa.
21 Lakini agano langu litathibitika kwa Isaka ambaye Sara atakuzalia mwakani wakati kama huu.”
Ndugu; sio kila alichoongea Mungu iwe na Ibrahim au mtu mwingine yeyote tangu Adamu hadi leo ni "agano". Kwa mfano, ahadi ya Mungu kwa Ibrahim kwamba Ishmael atakuwa baba wa taifa kubwa sio agano! Siku zote neno AGANO limetajwa katika tawi la Isaka na taratibu limeendelea kuwa "streamlined" kufika kwa mlengwa .... Hapo ndipo mnapokosea ...
lakini hivi huwezi kujiuliza hayo maneno mekundu ilikua nyongeza ya baadae?ya watu kwa malengo binafsi?.
Kumbuka hata yakobo alipora baraka za Esau kwa kutumia udanganyifu,kitu ambacho kwa mungu haitakiwi utapeli,
bado tata isaka alijaribu kupora haki ya ishmael ya mzao wa kwanza,
utaona tangu mwanzo kumetokea udanganyifu,je wadhani mungu kama yupio kweli angefumbia macho udanganyifu wa yakobo kumdanganya babake isaka?,
je kwa akili yako unakubali kuwa kuna mibaraka nusu na mibaraka full,
yaani ishmael apewe baraka fake kwa sababu eti ni mtoto wa housegal,then hujiulizi mbona yakobo nae kaoa mahousegal na watoto wake walihesabiwa kuwa wana wa israel?,
why doublestandard,
ukitumia akili hushindwi kuona hizi ni hekaya zilitungwa kwa malengo na maslahi maalum,
