Dutch govt threatens REA grant withdrawal

Dutch govt threatens REA grant withdrawal

Serikali hiyo hiyo ilikuwa na mbailioni ya kugawa kwawabunge wa Bunge maalumu kwa kazi isiyo na maana
Wiki mbili zilizopita Raia Mwema imeonyesha mafao ya wanaoondoka katika mabilioni ya shilingi.
Hapo serikali ina pesa, kwenye miradi hakuna
 
Hao wamekasirika wamenyimwa bandari ya Mtwara.

Waondoke tu.
 
JK kashindwa mambo mengi sana kwenye urais wake yaani ni tabu tupu
 
Hata kuomba tunachelewa? Chama changu nakupenda lakini wahi kuomba tupate umeme.
 
Pesa yote kapelekewa mchina atengeneze tshet,kofia na viremba kwa ajili yakuhonga walalahoi kipindi cha kampeni za uchaguzi mkuu
 
Nchi ya ajabu sana,hata msaada wa bure tunashindwa kutumia tunataka loans tuu
 
nitajie rais aliyeweza. acha ushabiki wewe. viva jk viva
Sasa ndo umeandika nn Hapa?kwamba ccm kila wakati mnatuletea wachovu,sasa kama mnajijua hamuwezi kwani mnangangania madarakani kiasi cha hata Kuwa tayari kuua watu
 
kawaida ya serikali hii ya ccm kuvunja sheria na katiba ya nchi hiyo pesa ya rea inatakiwa iende kwenye umeme vijijini wanatukata pesa kwenye kununua umeme na mafuta kwenda huko,hata hapa karibuni tumesikia pesa ya mfuko wa barabara zimefanyiwa matumizi mengine kinyume na sheria
 
Hao wamekasirika wamenyimwa bandari ya Mtwara.

Waondoke tu.
". . . . If no sufficient budget has been availabe. . . . . .ORIO. . . ." ya bandari yametoka wapi??!!
Visingizio vyepesi. . . . .
 
Tatizo ni ufahamu wako tu.

Mkataba/makubaliano ya REA fund wapi umegongana na huo wa bandari??!!!

Ainisha hapo tu ewe mwenye ufahamu mkubwa

". . . . .22bn was budgeted for the same by the Govt. . . . ." bajeti hiyo ilipitishwa na wajenga bandari sio??!!
. . . . . .financial matters will be resolved. . . . . wewe uko informed saaana kuliko wizara??!!

Ajisemea babu yangu. . . . ."unajimwambafy". . . . !!!!
 
Mkataba/makubaliano ya REA fund wapi umegongana na huo wa bandari??!!!

Ainisha hapo tu ewe mwenye ufahamu mkubwa

". . . . .22bn was budgeted for the same by the Govt. . . . ." bajeti hiyo ilipitishwa na wajenga bandari sio??!!
. . . . . .financial matters will be resolved. . . . . wewe uko informed saaana kuliko wizara??!!

Ajisemea babu yangu. . . . ."unajimwambafy". . . . !!!!

Netherlands vs Netherlands.

Hapo ndipo ulipokutana.
 
Netherlands vs Netherlands.

Hapo ndipo ulipokutana.
"On Setember 2012 the Dutch Govt and ministry of finance (Tanzania) SIGNED an agreement . . . . . . " blah blah za Netherlands and Netherlands zinaingiaje hapo??!!!

Kama wao ndio wanakiuka why tuandikiwe sie kulalamikiwa juu ya kushindwa kutekeleza makubaliano??!!!

By the way. . . . . . .Things are sour your ways. . . . .,all best na utetezi
 
Hii yote ni sababu ya kutegemea kupewa vitu bure.

Hawa watu wana tishia tisia nini si wasitoe tu hiyo misaada
ili serikali yetu ijifunze kufanya kazi kwa bidii na kushkuru
misaada iliyopo.

Huwa si msapoti mtu yeyote CCM lakini speech ya Lowasa Juzi ilinifanya
nifikiri kidogo. Kama kweli ataweza kutoa hii nchi kwenye umasikini na
sisi kutumia resminali zetu na kutokuwa "Omba omba" basi atakuwa mtawala
mzuri. Even tho he is not getting my vote.

Eti nini? Lowassa? Umepotea rafiki, CCM hakuna Wa kututoa hapa tulipo maana hata 2005 kuna kichaa alikuwa anapita mitaani kwetu akituahidi mambo mazuri kabisa matokeo yake Mimi na wewe tunayajua! Sasa nashangaa wa-Tz jinsi akili zetu zilivyo makalioni eti mara hii tumeshasahau!!
 
Hii kitu mbona sasa balaa. Haiwezekani kila kitu kwetu ni shida tuu. Yani wale wabunge pale bungeni wanavyopiga makelele ya ndiyooooo wanakera sana.

Hivi hakuna namna ya kupiga marufuku hivi viti maalum. Sababu me naona ni kero kubwa sana aisee.

Serikali haikusanyi kodi kwa makampuni makubwa ipasavyo, politics as usual. Sasa hao waholanzi zitatoka wapi hela za kuwarudishia. Huu uchaguzi utakuwa waajabuajabu sana. Sababu ni komedi tupu kwa hali inavyoendelea. Huko vijijini me naona nguzo ndo nyingi zimemwagwa kando kando ya barabara lakini umeme haupo tofauti na inavyopigiwa kelele za wanansiasa.
 
Back
Top Bottom