Aisee?....bado nafikiria how is it possible, kama kila mwezi inaongezeka 2.0cm unamaana miezi sita ana 12.0 CM? ukijumlisha labda na zakwake ulizomkuta nazo mwanzo mfano 5 hivi, kwa hiyo unanimbia sasa ivi unacheza na mashine yenye 17.0Cm? achilia upana wa 0.3 kwa mwezi. Hivi unajua urefu wa rula ni 30.0CM? ebu chukua rula alafu itafute hiyo 17.0CM iko wapi.......aisee pole dada....inaonyesa na wewe uko vizuri huko chini....umetisha.
Kipimo Cha Upendo Ni Kipi?
Ukisoma vizuri ni kama nimekuambia usimwache maana kama umevumilia mpaka 17.0 CM ,nendeni kwa doctor ili awashauri...ukimwacha itakuchukua mda mpaka umpate wa ukubwa huo tena.....wengi wetu ni vibamia kama mnavyo tuitaga.
si eti eeh, kitu anajipimia mwenyewe' akitaka leo aingize sm 2.5, (kichwa tu) kesho yake aingize mpaka igonge kidevu ni yeye tu. Some people are just lucky!
Hapana... Nakumbuka Mwezi Wa june, Niliipima Size Ya Dushele Lake, Nikarudia tena mwezi july, na nimeipima tena mwezi huu august, huwezi AMINI kila mwezi inaongezeka urefu kati ya 1.3cm na 2cm, upana na unakuwa kwa taratibu kama 0.3 kwa mwezi..
HEe ina maana kwa masayantist iyo ina vary directly propotional with time.Nendeni mkatumie dawa za kichina yeye za kupunguza wewe za kuongeza...Kwani kama ni kweli ilo tatizo lipo ni serious issue ulitakiwa ukaa dress kwa dr na siyo kulileta hapa!
Kipimo cha kupenda ni pamoja na kukubali madhaifu yake!!!!vinginevyo huo ni unyanyapaa
yaan 30mm (3cm) na upana wa 3mm aaah dada yangu sema huyo jamaa humtaki tu hiyo ni delta increment tu
Hapana... Nakumbuka Mwezi Wa june, Niliipima Size Ya Dushele Lake, Nikarudia tena mwezi july, na nimeipima tena mwezi huu august, huwezi AMINI kila mwezi inaongezeka urefu kati ya 1.3cm na 2cm, upana na unakuwa kwa taratibu kama 0.3 kwa mwezi..
Nina Mchumba Wangu, nina uhusiano naye takribani mwaka sasa.
Nampenda, na naamini ananipenda(si usemei moyo), kwa kuwa tunaishi kwa maelewano na upendo wa hali y juu.
Mwezi Jana tu, alileta barua ya kishika uchumba hapa kwetu, na imepokelewa vizuri, lakini bado haijajibiwa.
Na Mtu anaye kwamisha kujibiwa kwa barua hiyo ni mimi mwenyewe.
Natamani nitoe jibu la NDIYO, lakini napata hofu juu ya hatma ya ndoa yangu.
Kiukweli, Dushelele la bwana huyo, huwa nalihisi linaongezeka ukubwa kila kukicha, mwanzoni wakati tunaanza nilikuwa naona tuna match kwenye papuchi zetu.
Lakini Kadri Siku Zinavyo songo mbele, naona dushelele lake linazidi kukuwa, kiasi ambacho naanza kusikia maumivu wakati wa mechi.
Nimejaribu Kumuuliza, labda kama ametumia dawa, lakini amekataa, na kudai hata yeye mwenyewe hajui kwanini hali iko hivyo.
Sasa Niko Njia Panda, Najiuliza Nikikubali Kuolewa Nae, Huko Kwenye Ndoa Mambo Yatakuwaje?
Na kama nikikataa, je nitawapa sababu gani wazaz wangu???
Ndoa Naitaka, Lakini Mmmhh...?!!
Unatakiwa kua mkweli mbele ya jamii yako, waambie Dushelele ya huyo jamaa ni kubwa na kwamba inakumiiza mnapo kua kwenye game, pia unachoogopa zaidi kadri siku zinavyo kwenda ndio linazidi kua kubwa. Au unaonaje>
Au ipo siku kitu kama hiki kinaweza kutokea lol...