Nsumba-ntale
Member
- May 24, 2026
- 15
- 80
Waziri wa Ulinzi ni nani?Taarifa za ndani ya viunga vya mteuzi zinaeleza, bwana January Makamba ambaye ni Waziri wa zamani hivi karibuni atateuliwa kuwa Balozi
Vilevile, Nape Nnauye inatarajiwa atateuliwa awe Waziri wa habari kwa awamu nyingine na atasaidiwa na Simai. Wizara ya michezo itakuwa Wizara kamili na Mwijuma almaarufu mwana FA, rasmi atateuliwa awe Waziri wa Wizara hiyo
Paulo Makonda atahamishiwa Wizara nyeti inayoongozwa na mwanamke ambaye inatarajiwa atatenguliwa kwa sababu ya ukaribu wake na Yuda
Mda ni mwalimu.
Kwanza huyo mwanamke hawezi kutenguliwa maana shepu yake inamzuzua mtu. Makamba hawezi kuwa balozi maana huyu ni mtu wa yule YudaTaarifa za ndani ya viunga vya mteuzi zinaeleza, bwana January Makamba ambaye ni Waziri wa zamani hivi karibuni atateuliwa kuwa Balozi
Vilevile, Nape Nnauye inatarajiwa atateuliwa awe Waziri wa habari kwa awamu nyingine na atasaidiwa na Simai. Wizara ya michezo itakuwa Wizara kamili na Mwijuma almaarufu mwana FA, rasmi atateuliwa awe Waziri wa Wizara hiyo
Paulo Makonda atahamishiwa Wizara nyeti inayoongozwa na mwanamke ambaye inatarajiwa atatenguliwa kwa sababu ya ukaribu wake na Yuda
Mda ni mwalimu.
Hiyo inatusaidia nini sisiTaarifa za ndani ya viunga vya mteuzi zinaeleza, bwana January Makamba ambaye ni Waziri wa zamani hivi karibuni atateuliwa kuwa Balozi
Vilevile, Nape Nnauye inatarajiwa atateuliwa awe Waziri wa habari kwa awamu nyingine na atasaidiwa na Simai. Wizara ya michezo itakuwa Wizara kamili na Mwijuma almaarufu mwana FA, rasmi atateuliwa awe Waziri wa Wizara hiyo
Paulo Makonda atahamishiwa Wizara nyeti inayoongozwa na mwanamke ambaye inatarajiwa atatenguliwa kwa sababu ya ukaribu wake na Yuda
Mda ni mwalimu.
Too scaryTunarudi na Polonium na Hatuogopi mtu.
Ni hii code ya waziri huyu legeza codeKwanza huyo mwanamke hawezi kutenguliwa maana shepu yake inamzuzua mtu. Makamba hawezi kuwa balozi maana huyu ni mtu wa yule Yuda
ohooo inawezekana ili kupunguza joto nchini njia sahihi kumwondoa kidogo lazima umpe kazi January usione haonekani majukwani yupo katikati Yao ccm inawagombea watatu akibaKwanza huyo mwanamke hawezi kutenguliwa maana shepu yake inamzuzua mtu. Makamba hawezi kuwa balozi maana huyu ni mtu wa yule Yuda
Kama haileti Pesa, kwetu hai make sense.Vilevile, Nape Nnauye inatarajiwa atateuliwa awe Waziri wa habari kwa awamu nyingine na atasaidiwa na Simai. Wizara ya michezo itakuwa Wizara kamili na Mwijuma almaarufu mwana FA, rasmi atateuliwa awe Waziri wa Wizara hiyo
Hii ni suche na kapetoWatu wale wale
Kikundi fulani cha watu kama 100 kinazunguka kila awamuWatu 60m kila siku circle ile ile aisee
Sifa ya uwaziri ni mpaka uwe mbunge, gombea ubunge upate uteuziWatu 60m kila siku circle ile ile aisee
KujuaHiyo inatusaidia nini sisi