Durian: Tunda tamu sana lenye harufu kali linalopatikana Unguja tu, Tanzania nzima

ubuntuX

JF-Expert Member
Aug 18, 2014
1,970
2,184
images (4).jpeg
images (5).jpeg
images (3).jpeg

Kabla hujafa ni vizuri ulionje tunda hili la ajabu.
 
Na ukitaka kufa, kula hili tunda kisha shushia na bia!!
Kwanini ufe ukishushia na bia? imeshaua wangapi? nani alifanya huo utafiti kuwa ukishushia na kilevi unakufa? ni sumu gani iliyopo katika tunda hilo hadi iueukishushia na bia? Majibu tafadhali!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom